Hii barabara inapitia mitaa hii ambayo ina wakazi ambao nyumba za zimewekewa X na namba nyekundu. Ni Mwembeduga-Mwan'gombe- Mwakidila- Mwahako- Neema mpaka Pangani.
Sehemu nilizotaja watu wako wansubiria kwa hamu walipwe wapate ziada wajenge na kupata myaji. Lakini nijuavyo (I stand to be...