Ujenzi wa barabara ya mwendokasi, Magomeni - Karume waanza kwa fujo

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,066
40,725
Naona barabara ya kuelekea Karume tokea Kigogo 2014 inayotokea magomeni imeshaanza kufumuliwa na kutanuliwa kwa fujo, tayari kwa kutandikwa mkeka wa BRT. Taarifa zimfikie CAG. Leo naweka picha kabisa.

F3CFC4F7-D06F-42B7-A90F-375035D382AA.jpeg
 
Hizo zote ni juhudi za Magufuli na mama anaziendeleza.

Anatokea huko msukule wa Mbowe anaharisha Magufuli hakufanya lolote. Zero brain kabisa.
Hiyo yote alikuwa ni mipango ya JK. Mipango ya JPM ni ile ya ujenzi Wa chato, vitambulisho vya machinga, wakulima kusamehewa kusafirisha mazao yao yasiyozidi gunia 10, machinga wasiguswe wafanye biashara popote, na ujenzi Wa njia 8 kwenda Kibaha na ukuta Wa melerani.
 
Vasco da gama
Huyo Vasco dagama ndiye kajenga Barbara zote za lami kuunganisha mikoa na wilaya, ndiye kajenga UDOM, ndiye kajenga mwendokasi, ndiye kaja na mpango Wa SGR, ndiye kajenga terminal 3 Dar ea salaam airport, kajenga kambi na vyuo vya kijeshi, ukumbi Wa meal nyerere ulijengwa na yeye, mlimani city je?

Ndiye kaja na mpango Wa flyovers zote, ndiye kajenga nyumba za gorofa za askari na usalama, ndiye kavuta maji kutoka wami kwenda Handeni na Chalinze, ndiye kaanzisha kuvuta maji kutoka ziwa Victoria kwenda mikoa ya Mwanza, shinyanga, tabora, hadi Dodoma, ndo kajenga shule za kata na dispensaries kila kijiji, magora yote Dar yamejengwa wakati wake. Hivi JK utamfananisha na nani?
 
Wasiwasi wangu pia ni kama upanuzi wa Uhuru Road (Karume-Kkoo) utawezekana maana zile njia mbili zimemaliza space yote
Labda kama BRT itaunga Nyerere Rd (Mataa ya Changombe) to Kkoo
 
Back
Top Bottom