barabara

A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson: Ilani inasema barabara ya Tanzam upembuzi yakinifu umekamilika Serikali inasema utafanyika mwakani. Tuiamini CCM au Wizara?

    Mbunge wa Mbeya mjini Dr Tulia Ackson amesema kuna mkanganyiko mkubwa kati ya Ilani ya uchaguzi ya CCM na bajeti ya wizara ya Ujenzi kuhusu Ujenzi wa barabara ya Tanzam. Ilani inasema upembuzi yakinifu umekamilika lakini waziri katika bajeti yake anasema upembuzi yakinifu utafafanyika mwaka...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais anayetumia ndege na msafara wa watu 30 na anayesafiri kwa barabara na msafara wa Magari 50, ni yupi anabana Matumizi?

    Leo Krav Maga nipo Kiuchumi (Kiubahili) zaidi hivyo nawataka Political and Economic Pundits wa JamiiForums hapa mnidadavulie Kiundani ili nijue nani anauharibu Uchumi na nani pengine ndiyo anaukuza Uchumi. Na tafadhali mtakaokuja Kunichambulia (Kunidadavulia) hapa mnipe Gharama ya Mafuta ya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde ashiriki zoezi la ufunguzi wa barabara zilizokuwa hazipitiki kwa muda mrefu

    Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde ashiriki zoezi la ufunguzi wa barabara zilizokuwa hazipitiki kwa Muda mrefu Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde leo ameshiriki na viongozi wa Kata ya Chigongwe kukagua zoezi la kufungua barabara yenye urefu wa kilomita 5.2 kutoka eneo la...
  4. JamiiForums Tanzania Vibanda vilivyowekwa kando ya barabara Jijini Dar es Salaam kuondolewa

    Gari la tangazo linapita kutangaza ya kuwa ifikapo tarehe 18 mwezi huu hakitakiwi kibanda chochote kuonekana kando kando ya barabara katika jiji la Dar es Salaam. --- UPDATE MAY 11, 2021-- Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Jumanne Shauri amewataka wafanyabiashara waliojenga vibanda katikati...
  5. JamiiForums Tanzania Barabara ya Morocco - Mwenge imetanuliwa ila njia zimepungua toka 5 hadi 4

    Baada ya pesa za sherehe za Muungano kutumika kuitanua barabara hiyo toka njia 3 hadi 5, kuna ujenzi mwingime wa kimiujiza sana naona umetokea hapo. Baada ya mabilioni ya kutosha kumwagwa hapo kuitanua barabara hiyo, sasa njia za magari zimepungua toka njia 5 hadi 4, muujiza gani huu...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini kila MRADI mkubwa wa barabara anayesimamia/anayejenga ni Mchina au raia wa Kigeni? Kweli Wabongo hatuwezi?

    Nimejiuliza Sana. Kila barabara zinazojengwa sasa, hukosi WACHINA au raia wengine wa Kigeni, ni kweli tuko hoi kiasi Hicho?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Dar imechafuka, haipitiki. Ujenzi kila barabara

    Jamani Dar haipitiki barabara karibu zote zimechimbuliwa sijui upite wapi. Mwananyamala, Kilwa Road, Kawawa Road Bagamoyo Road na nyingine nyingi halafu ziko polepole sana haziishi. Hivi mainjinia wetu hawawezi maliza moja wakafata nyingine? Ona hiyo foleni ya Kawawa toka Keko mpaka Magomeni...
  8. JamiiForums Tanzania Mexico: Watu 23 wafariki baada ya barabara ya juu kuporomoka

    Takriban watu 23 wamefariki dunia baada ya sehemu ya barabara ya juu kuporomoka na kupelekea treni ya abiria kuanguka katika barabara ya chini iliyokuwa na watu wengi wakati wa jioni siku ya Jumatatu. Waokoaji walilazimika kushikilia kwa kreni sehemu ya treni hiyo iliyokuwa imebaki ikining’inia...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Pemba waomba barabara inayoenda kwenye kaburi la maalim Seif iwekwe lami ili kuwapa wepesi maelfu ya watu wanaozuru kaburi kila siku

    Wananchi wa Pemba wameiomba SMZ iijenge kwa kiwango cha lami barabara iendayo kwenye kaburi la Maalim Seif kwani imeharibika sana hali inayopelekea magari kupakiwa umbali wa km 3 kutoka eneo la kaburi. Ombi hilo limetolewa mbele ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar mh Othman Masoud aliyezuru...
  10. JamiiForums Tanzania Stendi kuu ya mkoa wa Kagera inahitaji marekebisho

    Wakazi million tatu na laki mbili wanaoishi katika mkoa huu wa kagera hasa mji mkuu wake bukoba wanazidi kushangaa ukimya wa viongozi wa mkoa, wanasiasa, wasomi nk ambao hupita kila siku katika hii stendi (maana ipo katika barabara kuu iingiayo mjini) wanavyojikausha kama haiwahusu vile hiki...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania Oxygen walalamikia Serikali kutotengeneza barabara nzuri kwenda kwenye visima vyao vya gesi

    Msimu huu ea mvua madereva wa malori ya TOL wamelalamika kuhusu kuisahau barabara ya kutoka Katumba kwenda Mwakaleli ambako huko.kuna visima vyao vya gesi. Wanasema mtwara kwenye gesi wameoeleka barabara nzuri ambako gesi imegunduliwa juzi tu lakini kule kwenye visima vyao serikali haitaki...
  12. JamiiForums Tanzania Wabunge wa Mbeya hatujasikia kelele zenu juu ya barabara zetu mbovu Bungeni

    Wabunge wetu mlioko Bungeni, Dodoma mnaotoka Mbeya. Mtajionyesha umahiri wenu toka siku ya kwanza kabisa bungeni, lakini umahiri huo hatuuoni. Kero kubwa za Mbeya, kwanza ni barabara. Main road ya Tanzania kwenda Zambia ni mbaya sana, ukiingia Mbeya mjini malori ya mixigo mizito inapishana na...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kero ya kusubirishwa kupisha msafara ya viongozi barabara za mikoani haivumiliki hakika viongozi mnatuumiza sana kwa hili

    Hakika huu ni UNYAPARA mambo leo! Barabara za mikoani kila kuchwao zinapitiwa na kila aina ya binadamu; Wenye afya na wagonjwa wote wanategemea barabara hiyo hiyo. Wazima na maiti wote wanapitidhwa hapo wenye haraka na wasiyo na haraka Wenye bidhaa za kuoza na zisizo oza Wenye pesa ya kula na...
  14. JamiiForums Tanzania TARURA Dodoma angalieni barabara hizi hazileti picha nzuri kwa nchi

    Awali ya yote, napenda niwapongeza TARURA kwa juhudi zao za kuimarisha barabara za mijini na vijijini, kazi ambayo wanaifanya vizuri pamoja na kuwa na bajeti ndogo. Hivi karibuni nimefanikiwa kutembelea Makao Makuu ya nchi Dodoma na katika mizunguko yangu nimekutana na maeneo yenye hali mbaya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ni kona kali na milima, kwa barabara nchini, taja nyingine

    Habari jamvi?, kwa wale wazurulaji nchini Ukizunguka nchini utakutana na sehemu maarufu , kimandhari na kimuonekano. Leo naongelea sehemu za barabara nchini ambazo Zina Kona Kali na sehemu ya milima, nataja chache nyingine ongeza 1. Kona za Iyovi - ukitoka tu mikumi kuelekea Iringa utaziona...
  16. JamiiForums Tanzania Video: Anayehusika na hii barabara ya Shaurimoyo (Al-haramain), ana akili sawasawa kweli kichwani?

    Hii hali ipo mwaka wa 5 huu, sasa utasema huyo mtu ana akili zilizotimia kichwani kwake, huu si ujinga huu kabisa?! Na hapa ni katikati ya jiji kabisa
  17. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa barabara ya mwendokasi, Magomeni - Karume waanza kwa fujo

    Naona barabara ya kuelekea Karume tokea Kigogo 2014 inayotokea magomeni imeshaanza kufumuliwa na kutanuliwa kwa fujo, tayari kwa kutandikwa mkeka wa BRT. Taarifa zimfikie CAG. Leo naweka picha kabisa.
  18. K

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha na Waziri wa Ujenzi, msijisahaulishe kuweka ahadi ya barabara za jimbo la Kibamba aliyotoa JPM (RIP) wakati akizindua stand ya mbezi

    Kwa kuwa kila anayesimama anasema tutamuenzi kiongozi wetu Hayati JPM, basi waziri wa ujenzi na yule wa fedha msije kusahau kuwa kabla ya umauti kumkuta mzee wetu alikuwa ameagiza TANROAD kuanza kushughulika na barabara za jimbo la Kibamba kwa maana ni jimbo pekee ndani ya Dar ambalo lina chini...
  19. JamiiForums Tanzania Kero ya barabara ya King'ori - Ngarinanyuki - Oldonyosambu

    Naileta hii habari hapa kwa imani kwamba viongozi wa serikali na hasa wizara ya ujenzi na miundo mbinu ni wapenzi wa jf na hulitumia jukwaa hili kupata habari sahihi zisizochakachuliwa. Barabara tajwa hapo juu (King'ori - Ngarinayuki - Oldonyosambu) ni barabara muhimu inayounganisha mikoa ya...
  20. K

    JamiiForums Tanzania TANROADS, vipi ile kasi ya kumalizia barabara kuingia stand kuu ya Mbezi Luis na njia sita Kimara hadi Kibaha? Mbona hakuna kinachoendelea?

    TANROADS, mbona barabara ya kuingia stand ya mabasi Mbezi Luis progress yake ni zero? Au ndo imeyeyuka hivyo? Je, hii ya njia sita mbona pia hakuna kinachoendelea?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…