barabara

A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.

View More On Wikipedia.org
  1. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Hongera DAR jiji kupata magari ya kuzoa taka; bado magari ya kufagia barabara sasa

    Kwa kweli moja ya vitu ambavyo ni kero kwenye jiji la Dar es Salaam na Manispaa zake ni hawa wafagizi wa barabara ambao kwa kweli hawafanyi kazi kwa ukamilifu kwa kuwa barabara nyingi bado ni chafu sana zikiwa zimejaa michanga na vumbi. Hii inatokana na ukweli kwamba haiwezekani manpower...
  2. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Upanuzi barabara Bagamoyo, Kawawa na Mwenge anayeelewa haya atueleze

    Hivi jamani kuna mtu anaelewa kitu gani kinaendelea upanuzi wa barabara kati ya kawawa road na mwenge atueleweshe. Hapo kinachoonekana kila siku ni vurugu tu mtu hupati picha kitu gani kinafanyika. Mara magari yahamishwe huku mara kule huku siku zinaenda mtu hupati picha kitu gani wanafanya...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uzalendo: Video ikionesha wananchi wakisafisha barabara baada ya lori kumwaga mafuta huko Singida

    Hii hapa
  4. JOESKY

    JamiiForums Tanzania Ndugu wahandisi wa majengo na barabara, natafuta kazi

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ndugu zangu niko hapa kuomba nafasi ya kuunganishwa mradi wowote wa ujenzi ili niweze kupata kazi ya kibarua sina taaluma ya uhandisi mimi ni mwalimu ila mambo yamekuwa magumu sana nisaidieni nipate kibarua. Kwa kifupi hali si nzuri naamini humu kuna...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Sakata La Kanisa Lililolipotiwa Kupiga Muziki Saa 24 Na Kujengwa Kuziba Barabara Serikali Yachukua Hatua Lapigwa Stop Mchungaji Akaidi ( 3 ) .

    Sakata la kanisa lililoripotiwa kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 na lililojengwa katikati ya barabara , limeingia sura mpya baada ya serikali kuchukua hatua na kulizuia kuendelea kujengwa na kuendelea na shughuli zozote za ibada , baada ya maofisa wa serikali kufika kanisani hapo Jana na...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kanisa lililoripotiwa kupiga muziki saa 24 za siku na kujengwa kuziba barabara Tabora lapigwa stop kuendelea na ujenzi

    Sakata la kanisa liliripotiwa kupiga muziki masaa 24 na kujengwa kuziba barabara Tabora lapigwa Stop kuendelea na ujenzi na huduma ya kanisa. Notice ya kulisimamisha hii hapa, mchungaji Jackson aendelea na kiburi achana notice iliyowekwa mlangoni pa kanisa.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Tunaomba matuta barabara ya Saigoni Kigoma

    Niaje wakuu, mimi ni mkazi wa Kigoma Mjini, kuna hii barabara mpya ya lami ambayo inapita katika mtaa wa Saigoni Kigoma mjini, naomba mamlaka husika zifanyie kazi suala la kuweka matuta katika hii barabara mpya kwa sababu magari na pikipiki zinashuka kwa kasi sana. Tuna watoto zetu na wake zetu...
  8. J

    JamiiForums Tanzania UBUNGO: Rais Magufuli afungua daraja la juu la Kijazi (Kijazi Interchange)

    Rais Magufuli leo anaanza ziara ya siku tatu mkoani Dar es Salaam ambapo atafungua miradi mbalimbali. Kituo kikuu kipya cha mabasi ya mikoani Mbezi ni moja ya miradi itakayofunguliwa leo. === MATUKIO MBALIMBALI YALIYOJIRI: Rais Magufuli amewasili Ubungo tayari kabisa kufungua barabara za...
  9. mgt software

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Miundombinu unapigwa hela barabara Mwenge - Tegeta inayofanyiwa marekebisho Lugalo

    Wana jf, Waziri wa miundombinu kakague lami inayojengwa Lugalo jeshini, sehemu iliyomalizika ina mawimbi ya kufa mtu. Watanzania wa sasa tuko macho hatuibiwi kodi, Lami mbovu mno haitamaliza mwaka, waoondoeni au wairudie. Ushahidi nenda mkajionee msijesema hamkuona.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la Kanisa lililoripotiwa kupiga muziki saa 24 na kujengwa kuziba barabara Tabora lajengwa usiku kucha kuwahi kulimaliza

    Wiki iliyopita ililipotiwa hapa jukwaani kuhusu wakazi wa Kariakoo Tabora kata ya Kitete wakilalamikia kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 Sakata limeingia sura mpya baada mchungaji Jackson wa kanisa hilo kuonyesha jeuri na kuwaweka viongozi wote wa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania RC Kunenge amtaka Mkandarasi wa Barabara ya Mwinyijuma Mwananyamala kuikabidhi ifikapo 30 Juni

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Kunenge amekagua ujenzi wa barabara ya Mwinyijuma Mwananyamala na kusikitishwa na kusuasua kwa ujenzi huo. Kunenge ameagiza Mkandarasi afanye kazi usiku na mchana na ahakikishe amekabidhi barabara hiyo ifikapo 30/6/2021 ikiwa imekamilika vinginevyo...
  12. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kutembelea Temeke zazua taharuki, barabara zaanza kutengenezwa usiku na mchana

    Tetesi za Raisi Magufuli kutembelea Temeke zazua taharuki barabara zaanza kutengenezwa usiku na mchana nyingi zilikuwa mbovu na midimbwi kibao nimepita leo Tandika nikashangaa nikaambiwa kuna tetesi Rais atatembelea Temeke. Watendaji ofisini hawaonekani wanashinda site kusimamia kazi. Raisi...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba mkoa wa Pwani

    Habari wadau wa ufugaji. Natafuta shamba liwe karibu na barabara za mitaa kiasi nilichonacho ni laki na nusu kwa kila heka. Nahitaji heka kumi. pia lisiwe Na migogoro yeyote.
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huku mkilala barabara zilikuwa zikioshwa. NMS is doing a great job!

  15. T

    JamiiForums Tanzania Ubovu wa barabara kutoka mataa ya Chang'ombe (VETA) hadi kona ya Uwanja wa Taifa

    Hii barabara kwa Muda mrefu sana imekuwa ikizalisha foleni kutokana na ubovu wa hiyo barabara. Ukianzia kipande cha kutoka kona ya uwanja wa taifa au ukianzia JKT Kuelekea VETA hiki kipande kimekuwa kikitupatia sana usumbufu sisi Abiria na watembea kwa miguu kipande hiki kinazalisha foleni...
  16. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Alichokisema Rais Magufuli Tabora ni kweli; majungu watu hawafanyi kazi. Kanisa lajengwa katikati ya barabara, lapiga muziki masaa 24

    Nikiwa Tabora ambapo nilikwenda kwenye msiba wa rafiki yangu aliyefiwa na mama yake mwezi huu. Nilikutana na kituko cha mwaka ambapo tukiwa hapo msibani ulisikika muziki mkubwa sana kiasi ambacho huwezi kuongea na mtu jirani yako, huwezi kupokea simu au kusikiliza simu. Nilipouliza nikaambiwa...
  17. Requal

    JamiiForums Tanzania Marehemu Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye alipata ajali lini na wapi?

    Habari za jioni wakuu Nimeona taarifa za msiba za huyu mheshimiwa naibu Waziri wa zamani na sababu ya kifo chake imeelezwa ni ajali.. Binafsi sijawahi hata kuona picha wala hababri kuhusu hii ajali yake inayotajwa kuondoa uhai wake, hii ni ajali kweli au ni futa linatumaliza huku tukificha...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Taletale: Serikali ishirikiane nami tulete mkandarasi wa Finance and Building barabara za jimboni kwangu

    Mbunge wa Morogoro kusini Mashariki Mh Taletale ameitaka Serikali ishirikiane naye waweze kuleta mkandarasi wa kujenga barabara za jimboni kwake kwa utaratibu wa Finance and Building. Naibu waziri wa ujenzi alimjibu Taletale kwamba serikali ina utaratibu wake katika kutafuta wakandarasi na...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Utupaji masalia ya makaa ya mawe (coal ash) katika Barabara za mitaa kwenye makazi ya watu maeneo ya Kunduchi Salasala

    Kuna kiwanda kimoja maeneo ya Kunduchi Salasala kinachotumia nishati ya makaa ya mawe (coal) kuzalisha bidhaa za sabuni. Ni hivi majuzi kimeanzisha utaratibu wa kusambaza, kwa kutumia magari ya kiwanda, masalia ya coal iliyotumika (coal ash) na kuyamwaga katika Barabara za mitaa. Kabla ya...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Kawe tuna barabara za urefu wa KM 1400 sawa na Dsm - Kigoma tumepewa fedha ya km 130 tu hii haikubaliki!

    Mbunge wa Kawe baba askofu Gwajima amesema jimbo lake la Kawe lina barabara zenye urefu wa takribani kilomita 1400 sawa na umbali wa kutoka DSM hadi Kigoma lakini Tarura wamepewa bajeti ya kukarabati kilomita 130 tu. Gwajima amesema hii haikubaliki na kuwataka watu wa Tarura kujiongeza kwani...
Back
Top Bottom