bangi

  1. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania SIRI Iliyojificha Kwenye Bangi inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani hasa Afrika

    SIRI Iliyojificha Kwenye Ganja , Kaya , Bangi , Mmea Wa Uzima Inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani Aswa Africa na Kuruhusiwa Matumizi Ya Pombe na Sigara... Habari yako mpenzi msomaji wa makala hii , natumai wewe ni mzima wa afya kabisa,na kama ni mgonjwa usiwaze sana mungu...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaanza msako wa kilimo cha bangi

    Mamlaka za kupambana na dawa za kulevya Tanzania zimeanza msako wa nchi nzima kwa watu wanaolima bangi. Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya (DCEA) Gerald Kusaya amesema Jumatano kuwa heka 21 za bangi zilizogunduliwa katika wilaya za Arumeru na Monduli mkoani Arusha...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Gari la Serikali lanaswa likisafirisha Bangi, dereva asimamishwa kazi

    Gari la Halmashauri ya Arusha linashikiliwa na Polisi Mkoani Kilimanjaro baada ya kukutwa likisafirisha shehena ya bangi kinyume cha sheria za Nchi. Dereva wa gari hilo, Athuman Magio, anashikiliwa na polisi mkoani humo na tayari amesimamishwa kazi kwa kufanya biashara haramu. Chanzo: Ngilisho...
  4. X-Agent

    JamiiForums Tanzania Bangi Dawa na mirungi iruhusiwe kama chanzo cha Mapato

    Kutokana na Ugumu wa Maisha ni muda sasa serikali iangalie namna mbadala ya kuwasaidia wananchi wake kujikwamu kimaisha! Soko la bangi dawa lonakadiriwa kufikia USD Billion 344 kwa mwaka ( Zaidi ya Mara Tano ya uchumi mzima wa Tanzania )...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Vijana wanaamini wakivuta bangi wanapata Samaki wengi Ziwa Victoria

    Imani ya matumizi ya bangi kwa wavuvi katika Ziwa Victoria imetajwa kuwa tishio kwa vijana na watoto. Vijana hao huamini kuwa wanapotumia dawa ya kulevya aina ya bangi, hupata samaki wengi sambamba na ongezeko la nguvu za kufanya kazi nyakati za usiku. Uchunguzi wa Nipashe umebaini kwamba...
  6. dubu

    JamiiForums Tanzania Tani 68,902 za Bangi zilikamatwa Tanzania kuanzia Mwaka 2015 hadi 2020

    Tatizo la matumizi na biashara ya dawa za kulevya limeendelea kuiathiri nchi yetu. Bangi imeendelea kuwa ni dawa ya kulevya inayotumika zaidi na ikizalishwa katika mikoa yote ya Tanzania Bara hususani katika mikoa ya Mara, Morogoro, Arusha, Tanga, Mbeya, Kagera, Ruvuma, Iringa na Njombe...
  7. bafetimbi

    JamiiForums Tanzania Hivi udi unafukuza kweli harufu ya bangi kama unavutia geto?

    Maana nimezoea kila mida ya usiku kuwasha udi moja na kuvutia ganja geto sasa isije ikawa wapuuzi jirani wanasikia mjani. Wabangi bangi tupeane semina juu ya hili kama inazuia kweli ama hizuii maana kuna limama la jirani mlango wa tatu toka chumba changu kila tukionana asubuhi linaniangalia kwa...
  8. pingli-nywee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania George Wajackoyah: Nitakuwa Rais wa kwanza barani Afrika kuhalalisha Bangi

    Wakili maarufu, George Wajackoyah, amezua gumzo hivi karibuni nchini Kenya. Hii ni baada ya kujitosa rasmi kwenye kinyang'anyiro cha kugombea kiti cha urais, kwenye uchaguzi mkuu, baadaye mwakani. Alipoibuka na moja ya sera yake ya kipekee, alipozungumza na wanahabari jijini Nairobi. Wajackoyah...
  9. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hongereni majirani: Tanzania Yaongoza kwa Matumizi ya Bangi Afrika Mashariki

    Haiwezekani mshindwe kwenye vyote, hampo kwenye riadha, elimu, chumi bora Afrika na mengineyo...walau kwa hili mumewakilisha vyema, na lile pendwa la ushirikina...hehehehe December 3, 2021 by Global Publishers Licha ya sheria kali za kudhibiti matumizi ya dawa za kulevya, tafiti zilizopo...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kiasi kikubwa cha bangi ya hapa nchini ni kushabu, watu wanavuta makapi sio bangi

    Kushabu/Koshabu ni bangi ambayo haijakidhi viwango, unaweza kusema ni makapi pia. Inakuaga Ndio aina ya bangi ambayo huuzwa kwa kiasi kikubwa hapa nchini, kati ya wauzaji 10 wauzaji tisa huuza kushabu. huyo mmoja aliebaki hadi kumpata ni mpaka connection, nadra sana kumpata kiukweli, ubora...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania tunakataza watu kulima Bangi? Au tunasubiri mabeberu watuelekeze?

    Kilimo Cha Bangi kinatumika nchi Mbalimbali na jinsi siku zinavyokwenda ndivyo Mataifa mengi zaidi yanaruhusu kulima n kuvuta Bangi. Tanzania sisi msimamo wetu ni kuwafunga wavutaji na wauzaji miaka 30, kuchoma moto mashamba nakutumia mabiliaoni kupambana na raia wanaolima wakauze kwenye soko la...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuna familia zinauza bangi / gongo mitaani toka zamani mpaka watoto wamerithi, hili linawezekana vipi?

    Kuna nyumba zimezoeleka miaka nenda rudi kuuza bangi na gongo mitaani, hadi sasa ukienda zinaendelea, unaweza kukuta watoto ndio wanaoziendeleza baada ya wazazi wao kustaafu. cha ajabu mapolisi wapo, na tena huwa wanabadilishwa wanakuja wengine wapya. Wote tunajua kuuza huu mmea ama gongo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Asikudanganye Mtu 'Usela' unalipa bhana.....Bondia Mike Tyson awa Balozi wa Bangi ( Msuba ) nchini Malawi

    Haya Wewe pamoja na Usomi wako wote na Kujimwambafai Kwako kote kuwa Umeelimika Cheo cha Balozi au hata Vyeo vingine huna, hujavipata na unavisikia tu kwa Wengine katika Bomba. Na si tu kwamba Bondia Mstaafu Maarufu duniani Mike Tyson ameteuliwa tu kuwa Balozi wa Bangi / Bange nchini Malawi...
  14. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Bondia mstaafu wa Marekani, Mike Tyson, ameteuliwa na Serikali ya Malawi kuwa balozi wa bangi nchini humo

    Serikali ya Malawi kupitia Wizara ya Kilimo, imechukua hatua hiyo ikiwa ni miezi michache tangu iidhinishe kilimo na matumizi ya bangi nchini humo tarehe 27 Februari 2020.
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kunywa Chai ya bangi kuna madhara kwa Mama mjamzito na mtoto?

    Salaam Wakuu, Juzi kati nimeenda kumtembelea Mzazi mmoja huko Kijiji cha Lyamkena Makambako. Nikakuta ile Jamii inampa Chai ya bangi Mama mzazi ili maziwa yatoke. Wanachemsha maji wanaweka majani kadhaa machanga ya bangi kama vile mchaichai then wanaweka Sukari anakunywa kama chai. Wachagga...
  16. Mantheman6

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli bangi inaweza kukinga dhidi ya wachawi?

    Habari zenu ndugu zangu wa Jf ni imani yangu kwamba nyote mko salama na niwape pole kwa mihangaiko ya wiki nzima hakika kazi inaendelea. Sasa ndugu zangu mojakwamoja twende kwenye mada yetu kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Kumekuwa na stori stori nyingi mtaani kila mtu akisema lake...
  17. Superbug

    JamiiForums Tanzania Naomba serikali ituruhusu tulime bangi Ila tuuze nje na kuwe na udhibiti

    Naiomba serikali ituruhusu tulime bangi Ila tuuze nje Mimi ni mkulima wa mahindi na mpunga Nina jumla ya hekta 290 Ila za mahindi ni 150. Kilimo cha mahindi kimenitia hasara Sana na kwa mwaka huu mbolea imepanda mno mfuko wa kilo 50 unauzwa laki na ishirini nahisi naenda kufilisika. Ila...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Arusha ni sehemu isiyo na mpinzani katika matumizi ya bangi

    Arusha bangi ni kama sigara tu, sio big deal, Mikoa miingine watu wakijua unavuta bangi huwa unaonekana kama jambazi hivi 😂 Watalii wa nchi mbali mbali waliojaa Arusha wanavuta kitu cha chuga. Watu wazito, kuanzia mtajiri wa madini, ma ceo wa makampuni, wafanyabiashara wakubwa, n.k wanavuta...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Mmea wa Bangi na faida zake kiafya

    MMEA WA BANGI NA FAIDA ZAKE KIAFYA Mmea wa bangi umekuwa unatumika na baadhi ya jamii za dunia, Afrika na Tanzania pia tangu kale. Kwa Tanzania, wahadazabe wanatumia huu mmea. Mataifa tofauti tofauti hapa duniani yameanza kuutumia huu mmea kwa matumizi mbali mbali yakiwemo matumizi ya kiafya...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mamlaka husika fanyieni utafiti haya malori aina ya FUSO

    Utafiti wa kutosha ufanyike kuhusiana na mwenendo wa haya Malori jamii ya FUSO. Magari haya yamekuwa ni chanzo kikubwa sana cha ajali zinazo poteza maisha ya Watanzania wengi!! Yaani kama utasafiri usiku ndio utaona namaanusha nini. Mwendo wa haya magari sio mchezo ni hatari sana kwa...
Back
Top Bottom