Kunywa Chai ya bangi kuna madhara kwa Mama mjamzito na mtoto?

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Salaam Wakuu,

Juzi kati nimeenda kumtembelea Mzazi mmoja huko Kijiji cha Lyamkena Makambako. Nikakuta ile Jamii inampa Chai ya bangi Mama mzazi ili maziwa yatoke.

Wanachemsha maji wanaweka majani kadhaa machanga ya bangi kama vile mchaichai then wanaweka Sukari anakunywa kama chai.

Wachagga Wanaweka kwenye Mtori.

Ni kweli maziwa yanatoka, je haina madhara?

Kuna utafiti wowote umefanyika kuhusu chai hii?

Je, kuna elimu inatolewa huko kiliniki ya Mama na Mtoto? Nasikia sikuhizi na wanaume wanatakiwa kwenda.

Je, Mtu akipack majani ya mumea huo kwaajili ya kuwasaidia Wazazi wanaonyonyesha ni kosa?

Asante
images.jpg

images-1.jpg
 
Acha hizo mkwe, mie sijaiona lami huu mwaka wa ngapi sijui vile.

Ni vile tu hukutaka kunipa mrejesho wa yule chalii wa mbeya kule, je kesi imefikia wapi.
Mbeya nimekata kamba. Mawazo yangu ni Tanga na Kilimanjaro. Naomba mawazo ya kihenga kuhusu hii mada.
 
Salaam Wakuu,

Juzi kati nimeenda kumtembelea Mzazi mmoja huko Kijiji cha Lyamkena Makambako. Nikakuta ile Jamii inampa Chai ya bangi Mama mzazi ili maziwa yatoke.

Wanachemsha maji wanaweka majani kadhaa machanga ya bangi kama vile mchaichai then wanaweka Sukari anakunywa kama chai.

Wachagga Wanaweka kwenye Mtori.

Ni kweli maziwa yanatoka, je haina madhara?

Kuna utafiti wowote umefanyika kuhusu chai hii?

Je, kuna elimu inatolewa huko kiliniki ya Mama na Mtoto? Nasikia sikuhizi na wanaume wanatakiwa kwenda.

Je, Mtu akipack majani ya mumea huo kwaajili ya kuwasaidia Wazazi wanaonyonyesha ni kosa?

Asante
View attachment 2020737
View attachment 2020739
Duh.....
 
Chai ya bangi aina ya cannabis sativa( also called marijuana) inasaidia kuondoa stress, kukosa usingizi, maumivu ua misuli, nausea..
 
Sukari ina madhara
Nyama nyekundu ina madhara
Chumvi ina madhara
Mafuta ya mimea /wanyama yana madhara
Kitimoto ina mdhara.
Juzi tumeambiwa maji yana mdhara.

Kiasi nimechoka kusikia haya madhara.

Out"
 
Hivi mtoto akinyonya hayo maziwa hawezi kusizi kama teja kweli?
 
Sukari ina madhara
Nyama nyekundu ina madhara
Chumvi ina madhara
Mafuta ya mimea /wanyama yana madhara
Kitimoto ina mdhara.
Juzi tumeambiwa maji yana mdhara.

Kiasi nimechoka kusikia haya madhara.

Out"
Alafu sijui kwanini vitu vyenye madhara vinakuwaga vitamu Sana mfano kitimoto + bia tamuu
 
afu nilicho kiskia kwa wachaga hiyo ni kama desturi, katoto kakiwa hivyo hivyo kachanga wanakachapa na konyagi kukatoa mawenge
Nilienda kibosho kipindi flni nikatoa ofa ya bia kwa vibibi kama 9 hivi..walinitemea mate siku hyo hd ikabidi nikabadili nguo na kuoga kabisa..
Hizo ndio baraka wanakupa
 
Back
Top Bottom