bangi

  1. DR SANTOS

    JamiiForums Tanzania Je, bangi inaweza kufukuza majini?

    Poleni na majukumu wana JF, moja kwa moja kwenye hoja. Tunajua bangi (marijuana)ni mmea kama mimea mingine ambao unatokana na mbegu inayoitwa (cannabis) lakini ikitumika vibaya inaweza kukupa madhara, hasa ya kisaikolojia Kumekuwa na imani ya kwamba viumbe visivyoonekana kama majini vinaogopa...
  2. anonymous_blue

    JamiiForums Tanzania Nataka niache kuvuta bangi lakini nashindwa

    Habarin wana JF. Mimi ni kijana mwenye Umri 28. Moja kwa moja niende kwenye kichwa husika. Nimekua mvutaji wa bangi kwa miaka kama mi3 mpaka sasa, Nataman sana niache kwasabab nimeambiwa ni dhambi na dini hairuhusu kila nkijitaid kukaa bila kuvuta najikuta narud tena. Naomben ushaur nifanyaje?
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Babati: Jela miaka 30 kwa kukutwa na bangi gramu 566.9

    Mahakama ya Wilaya ya Babati imewahukumu Alex Laurent (27) na Humphley Charles (25) kutumikia kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na misokoto 200 ya bangi yenye uzito wa gramu 566.9 Hakimu wa Wilaya, Jumaa Mwambago alianza kusikiliza kesi hiyo Novemba 19, 2018...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je, huyu house boy atakuwa anavuta bangi?

    Ninaishi nje kidogo ya mji ambako nimejenga kanyumba kadogo tu ka kunisitiri. Ninaishi na mvulana wa kazi ambaye huwa ananisaidia shughuli za nyumbani kama usafi, kuangalia mifugo, kuangalia nyumba nk Juzi asubuhi nilikuwa natoka, akanifungulia geti, wakati narudisha gari nyuma nikaona...
  5. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Niwaaminishe vipi watu kuwa mimi sijawahi na sivuti Bangi?

    Jamani hili jambo linanisikitisha na linaninyima raha hadi sasa. Ni hivi miaka ya nyuma kidogo wakati nasoma nilianza kufuga Rasta hadi namaliza chuo nipo na Rasta zangu ndefu tu. Nipo Nimeingia kitaa baada tu ya kutoka chuo nikaamua nipunguze wingi wa zile Rasta, yaani niwe na Rasta tano tu...
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wezi na wavuta bangi wamekithiri Kawe Mtoni, tunaomba Polisi mtusaidie

    Niliwahi andika miezi kadhaa, .... Nirudi kwa mkuu wa kituo Kawe, ndugu yangu naomba niwajulishe kuna wizi unatokea Kawe Mtoni na maeneo ya bar za Soweto mpaka kanisa la Victory. Kila siku wamama wanaporwa wanabakwa majuzi tumekuta nguo za ndani njian.... Vigenge vya wahuni mnavijua kule Mtoni...
  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais AAFP: Ukikutwa na msokoto mmoja wa bangi hutakamatwa

    Mgombea huyu wa urais kwa Zanzibar ametoa sera zake na kaweka wazi kabisa ktk serikali yake ukikutwa na bangi 1 hutokamatwa.
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Rwanda yaruhusu ukulima wa bangi

    Serikali ya #Rwanda imehalalisha kilimo cha Bangi ili kuuza nje ya nchi, matumizi ya kujifurahisha au kujitibu bado yanahesabiwa kuwa haramu kisheria Rwanda inatarajia kukuza mapato ya kusafirisha bidhaa nje na kufaidika na soko la bangi la dunia ambalo lina thamani ya dola bilioni 345 sawa na...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Msanii Lady Jaydee atuhumiwa kuhamasisha matumizi ya Bangi kwenye wimbo wake

    MSANII mkongwe wa Bongo Fleva nchini, Judith Wambura ‘Lady JayDee’ ameingia kwenye hatari ya kufungiwa wimbo wake mpya, unaokwenda kwa jina la ‘One Time’ baada ya kudaiwa kuhamasisha matumizi ya uvutaji wa bangi. Hatua hiyo imekuja, baada ya Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), kuthibitisha...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mama wa miaka 50 akutwa na bangi gunia 3

    Mtuhumiwa mmoja pekee, Kanael Akyoo (50), ametiwa mbaroni na kikosi maalum cha kupambana na dawa za kulevya, akidaiwa kukutwa na magunia matatu na viroba tisa vya bangi nyumbani kwake. Julai 6 mwaka huu, Rais John Magufuli aliagiza kuondolewa kazini na kushushwa vyeo kwa aliyekuwa Mkuu wa...
  11. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Kumbe Bangi ina aina zaidi ya 100 na ladha tofauti

    Nilikuwa sijui kama bangi ina ladha tofauti tofauti, sasa jana kuna muuzaji mmoja wa Bangi huko Marekani kanipa kazi ya kumwandikia review za species 100 za bangi ambazo alinipa majina yake, ili aweze kuuza Amazon na kwingineko. Hivyo nikaingia chimbo kabla ya kuanza kuandika hiyo review...
  12. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Dola vifuatilie kauli ya Mbasha kuhusu bangi inaweza kuwa siku ya Tamasha bangi ilikuwepo jukwaani

    Kwa jinsi vita ya kupambana na bangi ilivyo ngumu kuna umuhimu vyombo husika kufuatiria matamasha mbalimbali ya wasanii kujua nini kinachofanyika,kwa tukio lile la tamasha la uzinduzi nyimbo za kuisifu CCM lazima bangi ilikuwa inapulizwa mle mle uwanjani na Mr. Polepole akisikilizia halufu...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Wataalamu: Bangi sio salama kwa moyo wa binadamu

    Wataalamu na watafiti nchini Marekani wameonya wavuta bangi kua sio salama kwa moyo wako. Chama cha madaktari wa Moyo Marekani wamesema uvutaji bangi sio salama kwa moyo wa binadamu, hivyo kabla hujaanza kuvuta bangi shauriana kwanza na wataalamu wa afya. Weed is not good for your heart...
  14. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Shehena ya Bangi yanaswa Arusha ikisafirishwa nchi jirani

    Shehena ya Bangi yanaswa Arusha ikisafirishwa nchi jirani Jeshi la Polisi mkoani Arusha limekamata shehena ya Bangi inayokadiriwa kufikia magunia 15 yakisafirishwa kwenda nchi jirani kwa kutumia gari dogo la abiria aina ya Noah. Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha ACP Salumu Hamduni amesema...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Nguvu na ladha ya Bangi iko mafichoni; ikiruhusiwa Bangi haitakuwa na madhara na ndiyo njia bora ya kuitokomeza

    Power of Meditation! Nguvu ya bangi iko kwenye maficho yake! Vile mvuta bangi anapovutia bangi chooni hiyo ndo inamfanya awe na mental illness Vile mvuta bangi anapovutia bangi msituni hiyo ndiyo inamfanya ajione mwamba vile mvuta bangi anapovutia bang beach, Starehe ya upepo wa beach huzani...
  16. J

    JamiiForums Tanzania DC Jerry Muro: Watendaji wa vijiji wanamsubiri DC atoke ofisini akachome bangi wakati Rais Magufuli sisi alishatukataza

    Mkuu wa wilaya ya Arumeru mh Jerry Muro amesema watendaji wa vijiji wamekuwa na tabia ya kuwataka wakuu wa wilaya watoke ofisini kwenda kuchoma moto mashamba ya bangi ilhali wao madc walishakatazwa na Rais Magufuli. Muro amesema hayo wakati wa mkutano kati ya mkuu wa mkoa wa Arusha na viongozi...
  17. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Bangi Meru yawaponza OCD, OCCID, DSO. Rais Magufuli awaondoa | Amthibitisha James Kaji kuwa Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya

    Rais Magufuli wakati wa hafla ya kuwaapisha viongozi wateule amewaagiza wakuu wa vyombo vya usalama nchini kuwaondoa Mkuu wa Polisi wilaya ya Meru na Mkuu wa Usalama wa Wilaya Meru kuondolewa maeneo yao ya kazi kutokana na kukithiri kwa zao la bangi bila kuchukuliwa hatua madhubuti. Rais...
  18. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha bangi ni fursa yenye hatari kwa nchi za Afrika

    Katika miaka ya hivi karibuni serikali za nchi za Afrika Mashariki zimepata mafanikio makubwa katika vita dhidi ya mihadarati na kupongezwa na jumuiya ya kimataifa. Kwa sasa upatikanaji wa dawa za kulevya kama vile Cocaine, Heroinna dawa nyingine kama hizo umepungua sana. Mwaka 2017 Lesotho...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Polisi yabaini hekari 100 za bangi

    KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa, atoa siku mbili kwa viongozi wa vijiji vitano mkoani humo kujisalimisha polisi baada ya operesheni iliyofanywa na jeshi hilo, kubaini hekari 100 za mashamba ya bangi. Vijiji hivyo amevitaja kuwa ni Bunduki, Misengere, Kododo, Vinile, na...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunapoambiwa Siku zote kuwa Bangi / Bange si nzuri kwa Matumizi ya Binadamu tujaribu kuwa Wasikivu tafadhali

    " Sio kwamba tumemtelekeza Idris Sultan bila sababu, yeye anajiita msanii lakini mimi sijawahi kuona sanaa yake. Najua ni mtu aliyeshiriki Big brother ambapo tunafahamu ni jumba lisilo na heshima, ndio maana hata serikali imepiga marufuku " @afandesele_king, Msanii wa Muziki Chanzo Taarifa...
Back
Top Bottom