Granite Mkushi
New Member
- Sep 21, 2021
- 4
- 4
MMEA WA BANGI NA FAIDA ZAKE KIAFYA
Mmea wa bangi umekuwa unatumika na baadhi ya jamii za dunia, Afrika na Tanzania pia tangu kale. Kwa Tanzania, wahadazabe wanatumia huu mmea.
Mataifa tofauti tofauti hapa duniani yameanza kuutumia huu mmea kwa matumizi mbali mbali yakiwemo matumizi ya kiafya.
Baada ya ukoloni kuanza kushamiri hapa Afrika, mmea wa bangi ulipigwa marufuku kutokana na nguvu uliokuwa nayo katika kutibu magonjwa mbali mbali ukiwemo ugonjwa wa masikio.
Sikio likiwa linauma au kuvuja uchafu, inasaidia kuponya kabisa ugonjwa huo. Unafikicha na unachanganya maji kidogo Sana, kisha unakamulia kwenye sikio lenye shida na muda mfupi linapona kabisa.
Baada ya kuona umuhimu wa huu mmea, mataifa mengi yameanza kuuhalalisha utumike kwa matibabu. Mwaka 2018, mmea huu ulihalalishwa nchini Marekani katika jimbo la California kwa ajili ya matibabu.
Hatimaye mataifa mengine yaliamua kuhalalisha kwa ajili ya matumizi ya matibabu, mfano Malawi, Rwanda na Afrika Kusini.
Tafiti zinaonyesha kuwa, mtumiaji wa bangi hapati athari kama mtumiaji wa sigara, na hivyo kuimarisha mfumo wa upumuaji kwa kuyapa mapafu nguvu.
Pia bangi inapunguza unene, inapunguza kasi ya ugonjwa wa kisukari, inapunguza msongo wa mawazo kwasababu ya uwepo wa kampaundi za endocannabinoid zinazomsaidia mtu kuwa sawa.
Mwisho, serikali inashauriwa kuruhusu kilimo cha bangi ili kuimarisha afya na kukuza pia pato la taifa kwani kuupiga marufuku huu mmea ni kupoteza mabilioni ya pesa kila mwaka
View attachment 1949401.