bandari

  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ethiopia yenye nguvu ilishindwaje kupenya baharini kupata bandari pembe ya Afrika?

    Ethiopia huwa inahesabika kama taifa lenye nguvu na mojawapo la himya za kale zaidi katika bara la Africa, kinachonishangaza ni wao kukosa upenyo wa baharini kuwawezesha kuwa na bandari yao tena wakiwa karibu kabisa na bahari za Hindi na Red Sea. Karne zote hizo wamishindwaje kumpata mnyonge...
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nilisikia DP world wanapakua mizigo haraka kwa mashine za kisasa kwanini sisi tusiende kununua mashine kama hizo ili tupakue haraka

    Nilisikia kuna watanzania waliopewa dhamana kusimamia rasilimali za nchi walio gawa rasilimali zetu ikiwemo bandari zetu kwa wageni bila ushiriki wa wananchi Wanasema heti sababu ya kugawa bandari kwa DP world kuendesha bandari zetu ni kwasababu wao wana mashine za kisasa hali inayo pelekea...
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Tanga imekusanya bilioni 96 ndani ya miezi mitano ambapo bilioni 38.53 zilikusanywa na Bandari ya Tanga na bilioni 57 zimekusanywa na Mamla

    Bandari ya Tanga imekusanya bilioni 96 ndani ya miezi mitano ambapo bilioni 38.53 zilikusanywa na Bandari ya Tanga na bilioni 57 zimekusanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Tanga. Wakati huohuo Bandari ya Tanga imefanikiwa kuhudumia meli 172 ikiwa ni zaidi ya lengo la kuhudumia...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania David Kihenzile: Serikali Itaendelea Kuboresha Bandari Katika Maziwa Makuu

    DAVID KIHENZILE: SERIKALI ITAENDELEA KUBORESHA BANDARI KATIKA MAZIWA MAKUU Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile amesema kuwa Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imewekeza na itaendelea kuwekeza Katika Maziwa makuu kwa kuboresha Bandari, Kuendelea...
  5. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Tanga yaingiza mapato ya Tsh bilioni 100, Katika kipindi Cha miezi 5.

    Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Profesa Makame Mbarawa, ameipongeza Bandari ya Tanga kwa kuandika historia kwa kuwezesha kukusanya takribani bilioni 100 ndani ya miezi mitano. Hayo ni matokeo ya uboreshaji wa miundombinu ya bandari hiyo uliofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam yavutia Mataifa ya Ulaya, Asia na Afrika

    Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam. Maboresho makubwa na uwekezaji unaoendelea kufanywa katika Bandari ya Dar es Salaam yamekuwa kivutio kwa mataifa mbalimbali ya Afrika na Ulaya kuja kuangalia na kushuhudia utendaji kazi wake na uwezekano wa kuanza kufanya kazi nao. Serikali ya awamu ya sita...
  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania PBPA yashauri ujenzi wa matenki ya mafuta bandari ya mbamba bay

    Bodi ya Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA) wameishauri Mamlaka ya Bandari Tanzania kuangalia uwezekano wa kujenga maghala ya kuhifadhia mafuta Bandari ya Mbamba Bay kwa ajili ya kurahisisha usafirishaji wa mafuta nchi jirani za Malawi na Msumbiji. Akizungumza baada ya kutembelea eneo...
  8. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kamishna Mwenda: Ufanisi wa Bandari waongeza mapato TRA

    UFANISI WA BANDARI UMEONGEZA MAPATO YA TRA - KAMISHNA MWENDA Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda amesema Uwekezaji uliofanywa katika Bandari ya Dar es Salaam na Kampuni za DP World na ADANI umechangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la Mapato kwa TRA ndani ya kipindi...
  9. X

    JamiiForums Tanzania Baada ya China kujenga bandari kubwa na ya kisasa nchini Peru nayo Marekani yajibu. Kwa sasa China ndiyo taifa lenye ushawishi mkubwa Amerika Kusini

    Chancay port ni bandari ya kisasa iliyojengwa na kampuni ya China COSCO kama project ya BRI. Imezinduliwa 17th Nov 2024 na Xi na raisi wa Peru Ni smart port au full automated port kila kitu kinafanywa na mitambo au mashine na ndio smart port pekee barani humo. Robotic megaport that operates...
  10. P

    JamiiForums Tanzania DP World kapewa bandari zote au ni Dar peke yake?

    Habari za jioni wakuu, naomba kuuliza, DP world amepewa aendeshe Bandari ya Dar Pekee au zimo na za mikoani pamoja na Tanga na Mtwara? Pia kampuni ya MRC pale bandarini inajihusisha na Nini?
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina aibana Serikali ataka mikataba ya Bandari na DP World ipelekwe Bungeni

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameitaka Serikali kueleza kwa nini mikataba ya uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam na kampuni ya DP World haijawasilishwa Bungeni ili wabunge waweze kujua maudhui yaliyokubaliwa kwenye mikataba hiyo. Akiwasilisha hoja yake wakati wa kujadili...
  12. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Uboreshaji mkubwa wa Mamlaka ya Bandari kuongeza mara mbili idadi ya abiria katika Ziwa Victoria

    Uboreshaji mkubwa wa Mamlaka ya Bandari kuongeza mara mbili idadi ya abiria katika Ziwa Victoria Mwanza. Idadi ya abiria wanaosafiri katika Ziwa Victoria inatarajiwa kuongezeka mara mbili mwaka ujao, kutokana na miradi mikubwa ya upanuzi wa bandari na uzinduzi unaosubiriwa wa meli ya MV Mwanza...
  13. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa mradi wa maboresha bandari ya Mwanza Kaskazini umefikia asilimia 44

    MRADI WA MABORESHO YA BANDARI YA MWANZA KUKAMILIKA APRIL IMEELEZWA kuwa mpaka sasa ujenzi wa mradi wa maboresha bandari ya mwanza kaskazini umefikia asilimia 44 ambapo kukamilika kwake kutasaidia kuongeza idadi ya abiria waliokua wakisafiri kwa siku ni mia 6 kwa mwaka abiria milioni 1.64 na...
  14. Ritz

    JamiiForums Tanzania Maisha ya kawaida yanaendelea katika Eneo Maalum la Kiuchumi la Bandari ya Imam Khomeini huko Khuzestan huku Israel ikidai mashambulizi dhidi ya malen

    Wanaukumbi. Maisha ya kawaida yanaendelea katika Eneo Maalum la Kiuchumi la Bandari ya Imam Khomeini huko Khuzestan huku Israel ikidai mashambulizi dhidi ya malengo ya jeshi la Iran. https://x.com/haiderali099/status/1850040504513163449?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  15. Faana

    JamiiForums Tanzania Bandari College: Je ni sawa script za wanafunzi kutupwa zikawe vifungashio mtaani?

    Swali kwa nia njema tu, je kwanini script za wanafunzi zisirudishwe kwa wenyenazo ziwasaidie kujua makosa yao kwenye mitihani badala ya kuzi discard zinaishia kuwa vifungashio mtaani?
  16. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Mamlaka ya Bandari na wenzake wafikishwa Kizimbani kwa Wizi wa Mafuta lita Milioni 9

    DEREVA wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ,Tino Ndekela na wenzake saba, wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashitaka 20 liliwemo la wizi wa mafuta ya Petrol na dizel zaidi ya lota milioni 9.9 na kuisababishia hasara Kampuni ya Kimataifa ya kuhifadhi Mafuta (TIPER) Tanzania ya zaidi ya sh...
  17. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Tanga sasa inashughulikia meli kubwa baada ya uwekezaji wa Tsh 429.1 Bilioni

    Tanga. Utendaji wa Bandari ya Tanga umeimarika kwa kiasi kikubwa katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na uwekezaji wa serikali wa Sh429.1 bilioni. Bandari ya Tanga ilijengwa kwa mara ya kwanza mwaka 1914 ili kukidhi mahitaji ya kibiashara na kilimo kaskazini mwa Tanzania. Bandari hii...
  18. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Tsh 678.6 bilioni wa TPA kuleta mapinduzi ya upakuaji mafuta katika bandari ya Dar es salaam

    Dar es Salaam. Tanzania, kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inatekeleza mradi wa Sh678.6 bilioni ambao utaboresha utaratibu wa upakuaji mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam. Ujenzi wa Tanks Farm (Matanki ya Mafuta), ambao umefikia asilimia saba, unatarajiwa kuboresha...
  19. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania KERO Tuliohamishwa kupisha Mradi wa Bandari maeneo ya Kaskazini Unguja hatujalipwa fidia

    Mimi ni Mkazi wa Kaskazini Unguja, huku kwetu baadhi ya Watu ambao maeneo yetu yalichukuliwa kwa ajili ya uwekezaji wa Bandari ya Mafuta na Gesi hatujapata fidia. Hadi kufikia leo hii Oktoba 2024, inatimia Miaka miwili hatujafidiwa licha ya kuwa maeneo yetu yalikuwa na uwekezaji wa mazao na...
  20. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Bandari ya uvuvi ya Kilwa kuleta mapinduzi ya sekta ya uvuvi Tanzania

    Ujenzi wa Bandari ya kwanza ya uvuvi nchini Tanzania, Kilwa Masoko, iliyoko kwenye pwani ya Bahari ya Hindi katika mkoa wa Lindi, uko karibu kukamilika, ikiwa tayari imefikia asilimia 70. Mradi huu ni hatua muhimu katika mkakati wa Tanzania wa kukuza sekta ya uvuvi wa bahari kuu na kuboresha...
Back
Top Bottom