Mkuu wa mkoa wa Pwani bwana Abubakar Kunenge kwenye mkutano na waandishi wa habari amebainisha kuwa mnamo tarehe 31 July Rais Samia atawaongoza watanzania kuzindua mradi mwingine wa kimkakati wa bandari kavu ya Kwala.
Mradi huo ni wa aina yake kwani unatarajiwa kupunguza foleni jijini Dares...
Baada ya Kujiendesha kwa hasara kwa miaka kadhaa, bandari hiyo iko mbioni kufungwa mapema Jumapili hii ambapo chanzo kimesema shughuli za hapo zimeshuka kwa zaidi ya 90% , huku ikidaiwa kujiendesha kwa hasara kwa deni lisiloisha, kukosekana kwa mapato, kuongezeka kwa gharama za uendeshaji...
Nimeshangaa sana mtia nia mmoja huko Chato anajinasibu juu ya hii plan.
Eti mizigo ya kwenda Burundi, Drc na Afrika ya kati ipitie Chato kwenye bandari ya Nyamirembe kupitia Mwanza kwa njia ya treni.
Sasa huyu mtia nia mbona hajitambui? Nini maana ya kujenga Sgr mpaka Kigoma?
Hizi ni siasa gani?
Kama kuna Wizara ambayo imeshindwa kazi hapa mkoani na Jiji la Dar es salaam ni wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano.
Nadiriki kusema Wizara hii imejaza vilaza walioko katika utendaji, kuanzia Waziri wake, Katibu Mkuu na hata watendaji wengine wa ngazi za juu.
Haiwezekani katika miaka hii ya...
Ukiitoa Congo, nchi zinazo bakia ni masikini dana kiuchumi, Burundi na Malawi ziko kwemye top 5 ya nchi masikini kabisa Duniani hapa.
Zambia nao kiuchumi hawako vizuri kabisa, Hao Rwanda sawa ila nao ni nch ndogo sana.
Congo pekee ambaye ana mchango mkubwa kwenye Bandari ya Dar ingawa naye pia...
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa ameipa siku mbili Kampuni ya IFS Consulting Limited ambayo ilipewa tenda na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ya kupakia na kushusha mizigo, kuwalipa fedha wabeba mizigo malipo yao wanayodai ya wiki Tisa katika Bandari ya Bukoba
Hatua hiyo imefikiwa baada ya...
Wafanyakazi wa kubeba mizigo katika Bandari ya Bukoba mkoani Kagera wamegoma kufanya kazi wakilalamikia kutolipwa stahiki zao kwa muda mrefu, hali ambayo imeathiri maisha yao ya kila siku.
Chanzo: Azam TV
Pia soma ~ RC Kagera: Naagiza Wabeba Mizigo Bandari ya Bukoba walipwe, Mkurugenzi aje na...
Sitaki uchochezi, najiuliza tu maswali ya kijinga
La bandari maelezo yamekuwa mengi tumekubaliana nayo vema, Je hili la kuuwa shirika la ndege la nchi hiyo hiyo na kuzaliwa shirika lingine kwenye nchi hiyo hiyo moja limekaaje?
Kwa wenzetu huko vipi? Nchi moja inaweza kuwa na mashirika mawili...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari akiwasilisha maelezo ya Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2025 (The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2025) Juni 5, 2025 Bungeni Jijini Dodoma.
Aidha mara baada ya kuwasilisha maelezo hayo, Mjumbe wa Kamati ya...
bandari
bungeni
hamza
hamza johari
johari
marekebisho
marekebisho ya sheria
mkuu
muswada
mwanasheria
mwanasheria mkuu
mwanasheria mkuu wa serikali
serikali
sheria
tisa
Ndg zangu Watanzania,
Hivi mmesikia maajabu ya Ubia (PPP) yanayotokea kule Bandarini?!!
Mmesikia leo kutoa mzigo Bandarini ni siku tatu tu wala sio siku kumi (10) tena?!!
Lakini sihivyo tu kwani hamjasikia leo meli hazichukui tena siku 46 ili kutia nanga Bandarini badala yake zinachukua...
Bandari chanzo kingine cha Biashara ya Kaboni, hayo yaamelezwa na Ingvar M. Mathisen, Mkurugenzi Mkuu wa Bandari ya Oslo, Norway kwa ujumbe wa Tanzania uliotembelea bandari hiyo hivi karibuni.
Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe...
https://youtu.be/7aPJ1GP9HI4?si=3qPt-dgtRClDyksg
Wabunge wanaotoka ukanda wa ziwa Tanganyika ikiwemo Katavi,Kigoma na Rukwa wakiongozwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile wamefanya ziara Mkoa wa Katavi katika Wilaya ya Tanganyika eneo la Bandari ya Karema, ambapo wametembelea na...
Nimestaajabu wakati wa mazishi ya Cleopa Msuya akisifiwa kama alikua na uwezo wa kufanya maamuzi magumu kiongozi mmoja akaona ni nafasi kumpigia mama debe. Akasema eti mama ana uwezo kufanya maamuzi magumu kama marehemu eti kwa kuamua kuwapa DPW bandari ya Dar es Salaam amefanya uamuzi mgumu...
Wakuu!
Katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) mwaka huu, viongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Usafirishaji na Huduma za Bandari Tanzania (DOWUTA), kupitia tawi lake la TEAGTL, walijitokeza kwa nguvu kupaza sauti kuhusu mustakabali wa wafanyakazi wazawa...
Ndio bandari iliyokua inategemewa kuuza mafuta kisiri kwa China, na pia ilitumika sana kupeleka silaha kwa magaidi wa kiislamu, japo haijabainika nini kilijiri ila kuna uwezekano makomando wa Mosad walifanya yao....kwa kifupi hapo Iran hamna sehemu ambayo haiwezi kupigwa au haipigiki...
Iran bado mpaka asubuhi ya leo Inahangaika kuzima moto uliosababishwa na mlipuko mkubwa amabao Iran wenyewe wameshindwa kujua umetokana na nini na wanataka kuhaha kusingizia kuwa kuna mkono wa Mwanaume Israel!!!
Msemaji wa serikali ya Mapinduzi wa Iran amekiri kukosa uwezo wa kuu
zima moto huo...
BREAKING: Mlipuko mkubwa wa ajabu ulitikisa bandari ya Shahid Rajaee ya Iran - ardhi ilitikisika na Kusik Ikea maili nyingi kutoka hapo.
Utawala wa Ayatollah haujatoa taarifa yoyote kuhusu mlipuko huo. Kuna uwezekano mkubwa hujuma zimefanyika kwenye bandari hiyo au kuna wengi wanahisi huenda...
Mashirika mengi ya kusafirisha mizigo yameanza kukatisha kuagiza na kupokea mizigo Marekani .
Bandari ya Long Beach huko kusini ya California imesema kuendelea kwa vita vya kibiashara kutaiangusha bandari hiyo na hivyo kulazimika kuachisha kazi maelfu ya waajiriwa wa eneo hilo.
Cargo ship...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.