bandari

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mlioko Dar nasikia barabara ya bandari imefungwa

    Nasikia barabara ya bandari dar imefungwa mlioko dar tuambieni kwanini? Halafu waliovalia sare za Jeshi la wanachi wakilinda vituoni vya mabasi ni wanajeshi kweli au kuna watu tu wamejishonea sare maana ni mpya zile.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mzuri ndo anagombaniwa? Bandari, Gas, Tanzanite, Graphite etc

    Leo mama umenena , ni kweli Tanzania ni nchi Tajiri sana tena sanaaaaaaaaaaaa nimefurahi leo umewachana washenzi wanaofadhili ushenzi, List ya urembo wa mama Tanzania, 1. SURA: Diamond, Gold, , Tanzanite, makaa ya mawe, Graphite, Chuma liganga, Nickel kabanga etc 2. KIFUA CHUCHU SAA SITA...
  3. masai dada

    JamiiForums Tanzania Tuokoeni wafanyabiashara Bandari operations-internet blackout

    Tunaiomba serikali kwa mapana na mrefu…maamuzi yoyote yatakayochukuliwa yatizame madhara kwa short term na long term. Kabla ya kufanya chochote kile lazima kiangalie je utatuzi huu hautaibua matatizo zaidi. Chochote kitakachotokea huko mbeleni Naiomba serikali isizime mtandao kwa gharama...
  4. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Ujenzi bandari ya Bagamoyo kuanza Desemba 2025

    Kwa miaka kumi ujenzi wa bandari hii kwa ushirikiano wa Oman na china umesuasua Lakini sasa mambo yameiva na disemba hii ujenzi utaanza, bandari hiyo itakua kubwa kuliko bandari zote kusini mwa saha,itagharimu $10b. Itakua na kongani za viwanda,makazi ya wafanyakazi wapatao 15k,ni sehemu ya...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Stephen Wasira atema Cheche kuhusu Bandari ya Dar

    Hata hajui anaongea nini nadhani. Kwani mwaka huu CCM haawana Ilani? Wangejikita kunadi Ilani
  6. imhotep

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli M23 nao wamekuja kulinda Bandari?!

    Wakuu, wakati naperuzi huko Jasusi TV nimekutana na hii habari ya kutisha sana, wadau wa maandamano ni bora muahirishe hadi siku za usoni https://youtube.com/shorts/3GCF3WoAMNg?si=QArzIsuclu4_26AG
  7. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Kuweka bandari kavu chuo kishirikishi cha Dar es salaam (DUCE) ni kukishusha hadhi chuo

    Toka ianzishwe ile bandari kavu chuoni pale chuo hakina muonekano mzuri ni vumbi kila mahali kuanzia benki ya NBC, dispensary na mageti yote ya upande wa barabara ya kuelekea Mkapa stadium Kwa maoni yangu haikuwa sahihi kuweka bandari kavu karibu na chuo kikibwa kama kile muda wote malori ya...
  8. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia awashona Midomo waliosema ameuza Bandari. Uwekezaji wake wazaa Matunda kwa kupokea Meli yenye uwezo wa kubeba Magari Elfu 9 kwa mpigo

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Rais Samia Ni Kiongozi Mwenye Maono, ni kiongozi anayeishi mbele ya Wakati ,ni kiongozi ambaye anawaza miaka Elfu moja ijayo,ni kiongozi Mwenye akili kubwa na uwezo mkubwa sana wa kuona mbele. Ni kiongozi ambaye anafikiria kesho njema ya Taifa letu, ni...
  9. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Bandari bubu Ununio-Chimbo la bidhaa nafuu toka Zanzibar

    Wale risk takers chimbo la bidhaa nafuu njooni hapa Ununio Majahazi wanaleta bidhaa toka Zanzibar niwendo wa kupiga pesa tu. sukari kilo Tsh 800
  10. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Full Time: Yanga SC 1-0 Bandari FC | Siku ya Wananchi 2025 | Mkapa Stadium

    Klabu ya Yanga inatarajia kukipiga dhidi ya Bandari FC kutokea nchini kenya katika uwanja wa Benjamin Mkapa leo Septemba 12, 2025 katika kuadhimisha siku yao ya Mwananchi. Yanga yauza tiketi zote (Full house) Uwanjani (Benjamini Mkapa) kukiwa kunameremeta kuelekea sikukuu ya wananchi...
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kwa hii nafasi wanayoshika Bandari, leo tuwatandike hasa wakasimulie

    Hawa tunapaswa kuwatandika si chini ya bao 3. Ni team ambayo ipo nafasi ya chini kwenye ligi yao. Ni kipimo kizuri cha kutupatia ushindi na kutuchangamsha.
  12. Mshindi wa Vita

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Wanapropaganda Waliozunguka nchi nzima kuipaka matope serikali kuhusu ubia wa Bandari hawakujua tofauti kati Ubinafshaji na Ubia

    https://youtu.be/aelk3E55QHA?si=n_yvK4_P-DV6jWtd Na Mwandishi Wetu Mjadala kuhusu mustakabali wa bandari nchini Tanzania umekuwa ukivutia hisia kali katika nyanja za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Katika mahojiano maalum, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia (PPPC), Bw. David Kafulila, ametoa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwenye bomba la mafuta ya Uganda, Tanzania itakwangua kiasi gani kwa kila tone linalofika bandari ya Tanga ?

    Pamoja na madhaifu yetu najua wenye nchi hawakuwa wachovu kwenye ku negotiate. Ni kiasi gani kina Museveni na Muhoozi wanakiacha ili mafuta yao yafike Tanga ?
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bandari yahudumia tani milioni 32 kutoka tani milioni 18

    BANDARI YAHUDUMIA TANI MILIONI 32 KUTOKA TANI MILIONI 18 Kufuatia maboresho, Bandari ya Dar es Salaam imehudumia tani milioni 32 kutoka milioni 18 mwaka 2021. Hayo yameelezwa Agosti 26, 2025 wakati wa kikao cha wadau wa Kamati ya Maboresho ya Bandari, kilichoendeshwa na Katibu Mkuu wa Wizara...
  15. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Serikali kujenga bandari Kizimkazi hadi Kunduchi huko Zanzibar

    Habari ndiyo hiyo. Ile akili iliyotaka kujenga bandari Bagamoyo imetuma tena ujenzi bandari Kizimkazi. Lengo na nia ni kujiimarisha kiuchumi kwa watawala. Watoto wa Nyerere na Magufuli nadhani wanawalaumu sana wazazi wao. === Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inaendelea kukamilisha taratibu...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kuhusu bandari kavu ya Kwala

    Tunamshukuru Mhe. Rais kwa kufungua Bandari kavu ya Kwala. Kwenye taarifa ya Mhe. Waziri wa Uchukuzi mbele ya Rais alitamka yafuatayo:- (1) Bandari kavu itahudumia makasha takriban laki tatu kwa mwaka. (2) Huduma ya Bandari kavu ya Kwala ni asilimia 30 tu ya makasha yote yatakayoingia nchini...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Wabunge walionyamazia vitendo vya utekaji na kushiriki kuuza bandari zetu wasirudi bungeni

    Salaam! Hili swali naomba liulizwe majukwaani kwa wabunge wanaomaliza muda wao na hapo hapo wanaomba ridhaa kuendelea. 1. Waulizwe kwamba, ikiwa mlinyamazia vitendo vya utekaji visijadiliwe na kukemewa bungeni, mnaomba ridhaa Ili vitendo vya utekaji viendelee? 2. Ikiwa mllishiriki kugawa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu bandari kavu ya Kwala

    Jana Mhe. Rais alifungua Bandari kavu ya Kwala. Hongera sana. Kwenye maelezo ya Mhe. Mbarawa kwa Mhe. Rais alitaja mambo yafuatayo:- (1) Bandari kavu ya Kwala itahudumia makasha yanayokadiriwa 300,000 kwa mwaka. (2) Bandari kavu ya Kwala itahudumia 30% ya makasha yote ktoka Bandari ya Dar es...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa bandari kavu ya Kwala ni kama kumsumbua Rais, kama unabisha tazama picha ya bandari kavu yenyewe ilivyo

    eneo kubwa la bandari kavu ya kwala ni pori tu, limejaa nyasi tu, ila wamejenga kisehemu cha kuwekea hayo ma container kidogo sana, halafu rais ndio anaenda kukizindua, why wasijenge mpaka bandari kavu ikakamilika ndipo wakamuita rais akazindue ?
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzindua Bandari kavu ya Kwala na uanzaji rasmi wa Treni ya mizigo ya SGR

    RAIS DKT. SAMIA KUZINDUA BANDARI KAVU YA KWALA NA UANZAJI RASMI WA TRENI YA MIZIGO YA SGR Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala na kuanza rasmi kwa safari za treni ya mizigo ya reli ya...
Back
Top Bottom