bandari

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mlitudanganya sana kuhusu Bandari kuwa imeuzwa leo mnatudanganya No reforms No elections, ndio maana Dotto Magari anachukia wasomi

    Mlifanya maandamano na mikutano ya kufa mtu mkishinikiza serikali isiingie ubia na wawekezaji, mlijifanya nyie mnajua sana sheria kuliko mawakili wa serikali, kila inachokifanya serikali kwenu hakuna zuri. Suala la mkataba wa Bandari ndilo lilimpa umaarufu Mwabukusi hadi leo amekuwa Rais wa...
  2. Bilionea Asigwa

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaingia mkataba na DRC kujenga bandari kavu

    Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(DRC) wameingia mkataba wa kujenga bandari za nchi kavu katika nchi zote mbili. Taarifa kutoka Tanzania zinasema DRC ndiye mtumiaji mkubwa wa Bandari ya Dar kuliko nchi zote majirani Pia kumekuwa na ongezeko la mizigo inayokwenda Kongo inayopitia...
  3. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi aagiza bandari ya Mbamba Bay kukamilika kwa wakati

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi ameielekeza Menejimenti ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuhakikisha mradi wa usanifu na ujenzi wa bandari mpya ya Mbamba Bay, iliyopo Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma unakamilika kwa wakati na kwa viwango bora. Dk...
  4. Pfizer

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TPA: Mradi wa Usanifu na Ujenzi wa Bandari mpya ya Mbamba Bay iliyopo Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma itakamilika kwa Wakati

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameiagiza Menejimenti ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuhakikisha Mradi wa Usanifu na Ujenzi wa Bandari mpya wa Mbamba Bay iliyopo Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma unakamikika kwa wakati na kwa ubora...
  5. X

    JamiiForums Tanzania China vs U.S Trade War: China yazuia uuzaji wa bandari zenye thamani ya $ 23 billion zilizo Panama Canal kwa kampuni ya Marekani ya BlackRock

    Tunakumbuka Trump alipoingia madarakani moja ya jambo alitaka ni kuona Panama Canal itumike kwa kuinufaisha Marekani. Changamoto ipo kwenye kumiliki bandari 2 za kimkakati zilizo karibu na Panama Canal zinazomilikiwa na kampuni binafsi ya Hong Kong. Bandari hizi zimekaa eneo zuri sana...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini bwawa la umeme la Nyerere na DP World havijasaidia bidhaa na huduma kushuka bei ?

    Uchumi wa bongo huwa unashangaza sana, kuna wakati watu walikuwa wanasema bwawa la umeme likikamilika na Waarabu wa DP World wakianza kuendesha bandari itasababisha gharama za uzalishaji na uingizaji mizigo kushuka na kupelekea bidhaa kuwa bei rahisi ila haijawaha hivyo mpaka sasa!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tusidanganyike, unapompa mwekezaji asimamie shirika kama Reli, Ndege, Bandari au Mwendokasi, yeye anapata faida zaidi kuliko nchi

    Kuna kitu Watanzania labda kwa ulofa wetu tu hatujakielewa kuhusu kutoa mashirika teyu kama bandari, reli, ndege, mwendo kasi nk kwa waawekezaji toka nje. Wakati tutakiri kwamba ufanisi wa haya mashirika unaweza kuongezeka, lakini lazima watu waelewe anaefaidika na faida ya kifedha hapa sio...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chongolo aiomba serikali kujenga bandari kavu na soko la kimataifa la mazao

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, amemwomba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kusaidia kujenga bandari kavu Makambako, kutokana na ukweli kwamba eneo hilo na mkoa wa Njombe unapitiwa na reli ya TAZARA na hiyo itasaidia kusukuma ajenda ya miradi mikubwa katika mikoa yote ya Nyanda za Juu Kusini...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Bandari kavu zilizopo shinyanga ziboreshwe bado kuna njia ya treni inayoweza kuleta mizigo hapo.

    Kuna mda serikali iliyopo madarakani tuna wapima uwezo wenu kwa kuwa changamoto kwenu zipo kisiasa. Leo ni ajabu msululu wa magari ya kubebea mizigo,magari yanayo kwenda mikoani na nje ya nchi kujazana kwenye barabara inayotokea dar. Kungekuwa na bandari kavu ambazo mzigo ukitoka bandarini ni...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya miundombinu yafanya ziara Tanga yasema inajivunia kasi ya maendeleo kwenye bandari ya Tanga

    Kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu imetembelea kukagua miradi mitatu ya uboreshwaji wa uwanja wa ndege, reli pamoja na bandari ambapo pia watatembele ujenzi wa barabara ya Tanga - Pangani, katika Mkoa wa Tanga. Akiongea kabla...
  11. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Tanga kinara wa uchumi Mkoa wa Tanga

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mheshimiwa Selemani Kakoso, Wamefanya ziara Mkoa wa Tanga kukagua Miradi ya Miundombinu inayoendelea Mkoa wa Tanga Kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Balozi Batilda Burian, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANROADS Katavi yalipa fidia ya Tsh. Bilioni 2.4 kupitisha ujenzi wa barabara ya kwenda Bandari ya Karema

    Zaidi ya fedha Bilioni 2.4 zinatolewa kwa Kaya 435 za Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi kwa ajili ya kupisha ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami yenye urefu wa Kilometa 112 kutoka Kijiji cha Kagwira hadi Bandari ya Karema. Ujenzi wa barabara hiyo ya lami unatajwa kuwa kichochea cha...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Malalamiko ya wafanyakazi wa Bandari waliosimamishwa kazi kwa tuhuma za kushindwa kukusanya tozo za wharfage katika bandari kavu

    Habari wanajamvi wote wa Jamii Forums, Naomba kushea nao maumivu waliyonayo baadhi ya waliokuwa wafanyakazi wa Mamlaka ya BAndari Tanzania (TPA) ambao walikutwa na kadhia ya kusimamishwa kazi kwa tuhuma za kushindwa kukusanya tozo za wharfage katika bandari kavu. Wafanyakazi hawa...
  14. Naxria abdalla

    JamiiForums Tanzania Kupewa maelekezo ya kuingiza gari bandari ya Dar kutoka Zanzibar

    Naitaji agent atakaenitolea gari langu bandarini linatoka znz plz naomba msaada,nilishalipia ushuru wote ninalohitaji mtu aniambie nimpe bei gani ili gari nilipate nilikiwa limepatiwa usajili na plate number kabisa
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia akagua Maboresho ya Bandari Tanga, Bilioni 429 zatumika ikiwemo ujenzi wa gati mbili mpya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akitembelea Bandari ya Tanga na Kuzungumza na Wafanyakazi wa Bandari, leo tarehe 01 Machi, 2025. --- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Machi 1, 2025, ametembelea Bandari ya Tanga kukagua maboresho...
  16. Y

    JamiiForums Tanzania Hatimaye zigo la Bandari ya Bagamoyo atwikwa PPP

    :::::: Serikali ya Tanzania kupitia kwa Waziri wake wa Mipango na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo imeliambia Taifa hilo kuwa Ujenzi na Uendeshaji wa Bandari ya Bagamoyo bado haujaanza na kama utaanza basi Serikali hiyo itaufanya mradi huo kwa sharti la Ubia kati yake na Sekta binafsi yaani PPP...
  17. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Saudi Arabia yapewa haki ya umiliki na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo kama sehemu ya mradi wa East Gate

    Eneo la uwekezaji la Bagamoyo iliwepo Bandari limepata mwekezaji Mpya ambae ataliendeleza, kampuni ya SADC kutoka Saudi Arabia baada ya China na Oman Kushindwa Kuendeleza. Pia soma Serikali yafufua mchakato ujenzi Bandari ya Bagamoyo Swali ni Je mfupa ulimshinda fisi, saizi utatekelezeka...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Sakata la bandari ya Bagamoyo kuuzwa kwa Waarabu latua Bungeni. Prof. Kitila asema Serikali haijaingia makubaliano yoyote ya uwekezaji

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo ajibu sakata la Bandari ya Bagamoyo. Asema Serikali haijaingia makubaliano yoyote ya uwekezaji Soma: Ubalozi Wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Watoa Maelezo ya Kina juu ya Upotoshaji unaoendelea Mitandaoni "Serikali ipo...
  19. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Video ya Balozi wa Saudi Arabia akitolea maelezo kuhusu mkataba wa bandari ya Bagamoyo

    Maelezo ya Balozi wa Saudi Arabia katika Televisheni ya Taifa ya Saudia ni haya; "Utiaji saini wa Mkataba wa Nia ya kufanya utafiti wa fursa za uwekezaji na ushirikiano wa kujenga na kuendeleza Bandari mpya ya Bagamoyo nchini Tanzania.. ====== Kwa mujibu wa shirika la habari la Saudi Arabia...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Makisio ya kodi na ushuru bandarini

    Wakuu wazima? Katika process za kutoa kontena bandarini, naomba mwenye uelewa anifungue macho hapa. Ni kodi zipi na asilimia ngapi hulipwa kwa kontena la 40HQ, mzigo ni machines za kiwandani, rawmaterials na packages. Itapendeza kama nikipata mchanganuo wa gharama zote. Natanguliza shukrani..
Back
Top Bottom