Tetesi: Saudi Arabia yapewa haki ya umiliki na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo kama sehemu ya mradi wa East Gate

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
67,119
76,096
Eneo la uwekezaji la Bagamoyo iliwepo Bandari limepata mwekezaji Mpya ambae ataliendeleza, kampuni ya SADC kutoka Saudi Arabia baada ya China na Oman Kushindwa Kuendeleza. Pia soma Serikali yafufua mchakato ujenzi Bandari ya Bagamoyo

Swali ni Je mfupa ulimshinda fisi, saizi utatekelezeka? Tusubirie tuone.

My Take
Hawa wajenge Bandari from scratch kama China inavyofanya Peru na wakishindwa watimuliwe kama mbwa bila fidia.

View: https://youtu.be/EuCAghUvins?feature=shared

Binafsi napendelea hii Bandari ijengwe haraka,tumecheleshwa sana ndugu zangu 👇👇
media="youtube:8oPVZVrymdk"]
View: https://youtu.be/8oPVZVrymdk?feature=shared[/URL]

====

1739465499851.jpeg

Saudi Arabia ilitangaza uwekezaji wa Bandari ya Bagamoyo nchini Tanzania, kama sehemu ya mradi wa “East Gate,” ambao unalenga kuboresha nafasi ya Saudi Arabia kama kitovu cha biashara duniani.

Uwekezaji huu mkubwa una lengo la kufungua kufungua fursa mpya za uwekezaji kwa kampuni za Saudi Arabia katika sekta muhimu, na kutoa fursa za masoko kwa kusafirisha bidhaa za Saudi kwenda katika masoko ya Afrika.

****

In a major strategic move, the Kingdom of Saudi Arabia announced its acquisition of Bagamoyo Port in Tanzania, as part of the “East Gate” project, which aims to enhance the region’s position as a global trade hub.

This huge investment comes within the framework of the Kingdom’s efforts to open new investment horizons for Saudi companies in vital sectors, and provide marketing outlets for exporting Saudi products to African markets.

Project details

Port location: Bagamoyo Port is located on the eastern coast of Tanzania, and is considered one of the most important ports in East Africa.

Total area: The project area is 800 hectares, making it one of the largest maritime projects in the region.

Capacity: The port will be able to accommodate 20 million containers annually upon completion, making it a strong competitor to major ports in the region such as Mombasa Port in Kenya and Dar es Salaam Port in Tanzania.

Project cost: The total cost of the project is $10 billion, which includes the development of infrastructure and logistics facilities.

Angalizo:
Zingatia Taarifa ya Serikali ya Tanzania & Saudia kwamba Bandari ya Bagamoyo Haijuzwa Wala Kutolewa popote.

View: https://www.instagram.com/p/DGBF7YZo7h9/?igsh=c2JjbGMwdGdoY2Z2
[URL unfurl
IMG-20250214-WA0008.jpg




Source: Archup.net
 
Eneo la uwekezaji la Bagamoyo iliwepo Bandari limepata mwekezaji Mpya ambae ataliendeleza.

Swali ni Je mfupa ulimshinda fisi ,saizi utatekelezeka? Tusubirie tuone.

My Take
Hawa wajenge Bandari from scratch na wakishindwa watimuliwe kama mbwa bila fidia.https://www.argaam.com/en/article/articledetail/id/1789763
Masharti ya DPw ilikuwa hakuna kujenga wala kuendeleza bandari nyingine besides ya Dar
 
Back
Top Bottom