bandari

  1. JamiiForums Tanzania Interview bandari

    Habari ndugu Wana jamiii forum! Poleni kwa waliofanya interview ya operation officer TPA, naomba mwenye kulikumbuka vizuri swali la mwisho paper ya operation officer anipe please
  2. JamiiForums Tanzania Ukraine yasema ikipatiwa makombora ya MLRS atakomboa bandari zake zote mwenyewe

    Ofisi ya raisi Zelensky mjini Kiyv imesema inasubiri makombora hayo aina ya MLRS haraka kutoka Marekani ili kazi ianze. Office of the President: Ukraine itself will unblock the Black Sea if it receives MLRS systems
  3. JamiiForums Tanzania Fursa Congo: Sasa tuboreshe Tazara kuwa SGR, njia nne Mbeya -Songwe na tujenge Barabara na reli ya Kisasa hadi bandari ya Kalemi, Katavi

    Baada ya DRC kuingia rasmi EAC , mataifa makubwa katika Jumuiya hii Uganda Kenya na Tanzania,yanaendelea kupambana kukamata fursa ili kushika soko la nchi hii yenye watu zaidi ya Milioni 100 Wakati Uganda akijenga Barabara kuingia majimbo ya kaskazini mwa Congo, Kenya anafungua Ofisi Mombasa...
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: Aibu bandari ya Tanga shehena ya clinker inayoelekea Rwanda imekwama

    Wheel loader pekee iliyokuwa inafanya shughuli ya kupakia shehena ya clinker kuelekea Rwanda imeharibika tena tokea majuzi na operation ya kupakia shehena ya clinker imekwama hali iliyosababisha msongamano mkubwa wa maroli bandarini hapo. Ikumbukwe wheel loader lile lilianza kuharibika tokea...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Hainan: Kijana Mwafrika anafurahia sera ya kupunguza na kusamehe ushuru ya bandari ya biashara huria ya Hainan

    Kingsford na wenzake walikuwa wakijadili mpango wa biashara katika eneo la uvumbuzi na ujasiriamali wa mtandao wa internet la Fuxing City, huko Haikou, mji mkuu wa mkoa wa Hainan. Kijana huyu kutoka Ghana alianzisha kampuni ya biashara ya kimataifa ya Kingsford ya Hainan mjini Haikou, na kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Bandari Salama, bandari ya TPA, itakapopokea meli kubwa ya kihistoria

    Kishindo kikuu 'Bandari Salama', bandari ya TPA, itakapopokea meli kubwa ya kihistoria. Kaa tayari kujua. Kuna jamaa kaandika; "It's our Vessel called Frontier Ace is coming direct from Singapore carrying 4342 units. Accordingly to Vessel Captain tomorrow morning at 0900Lts confirmed will be...
  7. JamiiForums Tanzania TPA elezeni ukweli juu ya mapungufu yenu na mkwamo wa serikali kuboresha mitambo na ufanisi wa bandari ya dar es salaam bila kuuma maneno

    Nimeleta uzi huuu baada ya ile hotuba ya Rais Samia Alipokuwa akipokea Riport ya CAG na TAKUKURU..na Taarifa ya Tarehe 1/4/2022 iliyotolewa kwa wafanyakazi Wa TICS kuvunja rekodi kwa mwezi huu wa 3/2022 "Kwa siku Thelathini na moja zilizopita (31 ) kuanzia tarehe 1 - 31 Machi 2022, Kontena 61...
  8. JamiiForums Tanzania Tatizo la ubovu wa kijiko cha bandari ya Tanga lakwamisha makumi ya malori ya kubeba shehena ya clinker

    Hii nchi ina vituko sana! Huko Tanga wheel loader ama kijiko kwa lugha maarufu kimekwama kupakia maroli ya kubeba shehena ya material ya kutengenezea cement yaani clinker kwa ubovu wa kuvuta miss. Hali hiyo imesababisha makumi ya maroli kukwama kubeba shehena hiyo kwa sababu hilo la mashine...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Chris Lukosi: Gharama za kusafirisha kontena kwenda Bandari ya Dar es Salaam zimepanda sana

    Ukimsikiliza huyo bwana hapo analalamikia gharama za kusafirisha container 40 fit umefikia mpaka US dollar 2300-2500 wakati bandari ya Mombasa ni US dollar 1300 anasema kuna hatari ya wateja kukimbia kama serkali haitachukua maamzi kuzuia hiyo hali!
  10. JamiiForums Tanzania Mradi wa bandari ya Tanga ulifia wapi?

    Hakuna asiyeujua umuhimu wa bandari kwa maendeleo mapana ya nchi yoyote iliyojaliwa kuwa nayo. Tunaweza kushabihisha umuhimu huo kwa kuangalia mifano halisi ya bandari zilivyochochea uchumi wa mataifa kama Singapore, Vietnam, Malaysia (bandari ya Klang), China (bandari za Dalian, Xiamen...
  11. JamiiForums Tanzania Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi

    Nimeona Rais akisema Serikali kutafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar es Salaam ili kuleta ufanisi na kuongeza mapato. Ni kweli tunahitaji mbia wa kuiendesha bandari ya Dar? Sisi wenyewe imeshindikana kabisa? Tumewahi kufanya hivi kwenye reli, shirika la ndege lakini tunajua kilichotukuta...
  12. B

    JamiiForums Tanzania TPA na kampuni ya Dangote waingia makubaliano ya kibiashara kupitia bandari ya Mtwara

    Mamlaka ya usimamizi wa bandari Tanzania (TPA) Leo Jumatano Machi 16, 2022 imeingia makubaliano ya kibiashara na kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo Mkoani Mtwara yenye lengo la kurahisisha usafirishaji wa Saruji kwa kutumia bandari ya Mtwara. Makubaliano hayo Yanawezesha kampuni ya...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia, imulike Bandari ya Dar nchi inahujumiwa, kaweke Kambi pale Bandarini

    Meli za kutoka Dubai kuja DSM huchukua siku 14, Mzigo ukifika Dar Es Salaam bandarini utakaa siku hata 20-28 ukisubiri kupakuliwa. Meli ikitoka UK au China itatumia siku 28-30 kufika Dar, Mzigo ukifika hapo Bandarini unachukua siku 20-28 zingine kupakuliwa. Gharama za Usafiri imebidi...
  14. JamiiForums Tanzania Gabriel Mwita Thobias, Mkurugenzi bandari aandamwa na rushwa ya ngono

    WAKATI Serikali ikiongeza nguvu kupambana na rushwa ya ngono na unyanyasaji wa kingono, Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Mamlaka wa Bandari (TPA) Gabriel Mwita Thobias anadaiwa amekuwa akitumia madaraka yake kutekeleza vitendo hivyo. Taarifa zilizoifikia Tanzania PANORAMA Blog zimedai kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Urusi wakamata mji muhimu wa bandari Ukraine

    Wanajeshi wa Urusi wameukamata mji mmoja muhimu wa bandari wa Ukraine na kuuzingira mwingine kama sehemu ya juhudi za kuitenganisha nchi hiyo na Pwani yake. Jeshi la Urusi limesema limechukua udhibiti wa Kherson na maafisa wa Ukraine katika eneo hilo wamethibitisha kuwa wanajeshi wamechukua...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada wa chuo na course

    Nimemaliza form four na nimepata 2 katika masomo yote nimepata c kasoro math ndio nimepata f upande wa art lakini Nilikua naomba msaada wenu kuhus course GAni nzuri ambayo naweza soma upande wa MASWALA ya bandari hata kama ni diploma ipi ni nzuri Pia huwa Nina interest katika IT napo pia...
  17. JamiiForums Tanzania Bodi za Bandari na Shirika la Meli zitaundwa lini?

    Tunaofuatilia utendaji wa mama kulinganisha na mtangulizi wake tulimsikia mama kwa mbwembwe huku akionesha ukali akitangaza kumtimua mwenyekiti wa bodi wa bandari na kuamuru bodi yake ivunjwe. Pia aliamuru kuvunjwa bodi ya shirika la meli linalomilikiwa na bandari. Uamuzi huo aliuchukua baada...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Awamu ya kwanza ya bandari ya Lamu yakamilika, mpaka sasa meli tisa zimeitumia

    Mambo yanakwenda kimya kimya.... Construction of the $400 million first phase of Kenya’s second commercial port in Lamu has been completed. The second and third berths were completed in December, paving the way for the government to float a tender to private companies to construct 20 more...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yarejea mauzo ya mifugo Oman baada ya miaka 16, hivi karibuni hii itafanya na bandari ya Lamu

    Lengo ni kufiksha mifugo 500,000 kwa mwaka Kenya on Monday resumed direct export of livestock to Oman after more than 16 years ban. A ship carrying more than 14,000 goats and sheep from different livestock keeping zones left Mombasa port on Monday afternoon to Salalah Port, Oman, as the two...
  20. JamiiForums Tanzania Kelele za Bandari ya Bagamoyo zimeishia wapi? Haitojengwa, hakuna wa kukujengea bure!

    Ni lini Watanzania tutakuja kuelewa kwamba hakuna kitu cha bure? Yaani Mchina atoke kwao aje kukujengea wewe Bandari kwa lipi hasa? Inanikimbusha Mji wa Kigamboni kwamba USA wanakuja kujenga Mji wa kisasa Kigamboni, USA wachukue fedha za walipa kodi wao wakujengee wewe Mji, kwa lipi haswa? Ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…