bajeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    TAMISEMI yaomba Bajeti ya Tsh. Trilioni 10.1

    Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imeliomba Bunge likubali kuidhinisha Sh10.1 trilioni ambazo ni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2024/25 kwa wizara hiyo. Fedha hizo ni ongezeko la Sh981 bilioni ikilinganishwa na fedha zilizoombwa...
  2. B

    TAMISEMI kuwasilisha bajeti yake bungeni kesho 16/04/2024

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa kesho Jumanne Aprili 16, 2024 atawasilisha Hotuba ya Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha 2024/25. Hii ni Wizara ya Wananchi, basi kesho Watanzania wote...
  3. Stephano Mgendanyi

    MHE. DKT. ALICE KARUNGI KAIJAGE, Akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu Mwaka 2024-2025 ya Tsh. Bilioni 350.9.

    MHE. DKT. ALICE KARUNGI KAIJAGE, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani Akichangia Bajeti katika Majadiliano ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu Mwaka 2024-2025 ya Tsh. Bilioni 350.9. "Ushauri wetu Wabunge utasaidia Serikali kuimarisha utekelezaji wa Vipaumbele ambavyo...
  4. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Esther Malleko akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi a Waziri Mkuu Mwaka 2024-2025 ya Tsh. Bilioni 350.9

    MHE. ESTHER EDWIN MALLEKO, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro Akichangia Bajeti katika Majadiliano ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu Mwaka 2024-2025 ya Tsh. Bilioni 350.9. "Natoa pongezi za dhati kwa Rais wetu Mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan kwa namna...
  5. Mjanja M1

    Bajeti yako ya sikukuu jana ilikuaje, umetumia kiasi gani kusherehekea ?

    Mm Mjanja M1 bajeti yangu ilikuwa ni nauli tu za kunifikisha kwenye majumba ya watu kuupiga Ubweche, maana nimezipitia nyumba kama 5 ivi kwa haraka haraka kuupiga kwenye sikukuu ya jana. Nilitumia Buku tu, 1000/= Vipi wewe bajeti yako ilikuwaje.?
  6. J

    Kafulila: Watanzania zaidi ya mil 40 ni Wakulima mil 28 kati yao ni Wanawake tunapunguza Umasikini kwa nchi yetu kuwekeza zaidi kwenye Sekta ya kilimo

    Akizungumza katika maadhimisho ya miaka mitatu ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchini PPP Mhe David Kafulila amesema, Nchi ya Tanzania kwa awamu hii ya sita imeamua kujikita zaidi kwa kuwekeza kwenye Sekta ya Kilimo ambayo...
  7. BARD AI

    Serikali inatarajia kutumia Tsh. Trilioni 9.59 katika Mikopo kwenye Bajeti ya 2024/25

    Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amesema kuwa Tanzania ni nchi ya mfano Afrika kwa kutimiza viashiria vya Malengo ya Milenia ambapo imefanya vizuri katika sekta za Afya, Elimu, Maji. Dkt. Nchemba alitoa ufafanuzi huo wa ukomo wa Bajeti kwa mwaka 2024/25, wakati alipokuwa akiweka...
  8. Pfizer

    Bajeti ya Mwaka 2024/2025, Serikali inatarajia kutumia kiasi cha shilingi trilioni 49.34

    Na Saidina Msangi na Joseph Mahumi, WF, Dodoma Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amesema kuwa Tanzania ni nchi ya mfano Afrika kwa kutimiza viashiria vya Malengo ya Milenia ambapo imefanya vizuri katika sekta za Afya, Elimu, Maji. Dkt. Nchemba alitoa ufafanuzi huo wa...
  9. DodomaTZ

    Dkt. Biteko ataja ongezeko la ajira kwa Walimu, madaraja na Bajeti ya Elimu, ataka Walimu wawe na Siku Maalum ya Motisha

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, uwekezaji wowote unaofanywa katika Sekta ya Elimu lazima umguse Mwalimu kwani ndiye injini na kiongozi wa rasilimali zote zinazowekwa kwenye mfumo wa elimu nchini. Dkt. Biteko mesema hayo tarehe 13 Machi 2024 wakati...
  10. BARD AI

    Serikali yawasilisha Bungeni mapendekezo ya Bajeti ya 2024/25 iliyofikia Tsh. Trilioni 49.39

    Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amewasilisha Mapendekezo ya Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/25, kwenye Kamati ya Bunge zima, katika Ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni jijini Dodoma, ambapo Serikali imependekeza kukusanya na kutumia jumla ya shilingi...
  11. K

    TV gani smart nzuri nitapata kwa bajeti ya 600k-700k?

    Wakuu msaada wenu hapa. Nataka nivute TV ya bei ndogo naomba ushauri wenu. Ipi nitapata kwa bajeti hiyo na itakuwa na ubora kiasi wa kuridhisha?
  12. R

    Natafuta Toyota Landcruiser - Bajeti milioni 40

    Habari wakuu.. Natafuta Toyota landcruiser station wagon au pickup kwa ajili ya kuifanyia conversion kuwa safari car ya kubeba watalii. Tuma picha za nje, ndani na engine pamoja na details za gari kwa whatsapp 0656388678. Iwe model ya kuanzia mwaka 2000 na kuendelea. Bei isizidi milioni 40...
  13. The dumb Professor

    Kwa bajeti ya milion 2 niwekeje ghetto liwe Kali?

    Wataalam, Asiwadanganyeni mbwa yeyote kukaa kwa baba mkwe jau sana...Hii nyumba nayoishi masaki ni ya baba mkwe, Sasa juzi kati luku iliisha nikampigia kumuomba anunulie nyumba yake umeme,looh hayo maneno niliyomwagiwa ni heri kumwagiwa maji ya ukoko. Sasa kwa hasira nachofanya mshahara...
  14. K

    Bajeti ya Wizara ya Ujenzi 2023/24 ilikuwa 812 billioni zilizopokelewa ni asilimia 12 tu?

    Kwanza nimeshukuru Mhe. Chege - Mbunge wa Rorya kwa ufafanuzi na swali alilouliza kuhusu fedha za barabara zilizoidhinishwa kwenye bajeti na zilizopokelewa. Mpaka sasa tumebakiza miezi minne tu kuanza na bajeti mpya ya 2024/25. Ninauliza ninyi Wabunge tuliwatuma kuisimamia Serikali, Je...
  15. Roving Journalist

    Katavi: Mkuu wa Wilaya ya Mpanda ahimiza vipaumbele vya Bajeti ya 2024/2025

    Kikao cha Kamati ya Ushauri wilaya ya Mpanda (DCC) Mkoani Katavi kimepitisha rasimu ya Bajeti ya 2024/2025 kwa jumla ya zaidi ya Shilingi Bilioni 53 (Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda zaidi ya Shilingi Bilioni 27 na Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo zaidi ya Shilingi Bilioni 26). Mbali na...
  16. BARD AI

    Wakulima waandamana kutaka Waziri ajiuzulu, Bajeti ya Kilimo iongezewe

    BULGARIA: Wakulima wakubwa na Wadogo wameandamana kwa siku ya pili walishinikiza Serikali kuweka Uongozi Unaowajibika pamoja na kuongezwa kwa Fedha za Ruzuku ya Kilimo nchini humo. Kamati ya Mipango ya Wakulima hao imesema Umoja huo hautasitisha Maandamano hayo hadi Waziri wa Kilimo, Kiril...
  17. ubongokid

    Tusome kidogo Bajeti ya Serikali yetu ili tunapodai uwajibikaji na haki tujue tunadai nini

    Ni Jumatatu Nyingine Mahususi kabisa ambayo ni ya kwanza kwa mwezi huu wa February wa mwaka 2024.Nikiwa hapa Ofisini kwangu na mshahara ukiwa bado haujatoka. Pamoja na andiko hili naambatanisha link ya ukurasa ambao utakupatia vitabu vya Bajeti vya Serikali yetu ili tujue Pesa yetu inapelekwa...
  18. Mjanja M1

    Mtoto wa Nyerere alalamika Bajeti finyu Wizara ya Ndani

    Mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Madaraka Nyerere amelalamikia ufinyu wa bajeti uliopo wizara ya mambo ya ndani. Nini maoni yako? Written By Mjanja1
  19. R

    Kwanini Tanzania haikutenga bajeti ya kuandaa timu ya Taifa kama Mataifa mengine yaliyofanya?

    Tunayoyaona ni Matokeo ya maandalizi mabovu. Timu haina bajeti, badala yake inabidi tufanye harambee Tena harambee yenyewe inafanyika tayari timu ipo Ivory Cost, sijajua hizo pesa zilikuwa za wachezaji au za kazi gani. Ni kwamba wizara haikufahamu kuhusu haya mashindano?
  20. BARD AI

    Rais Ruto adaia Serikali ya Uhuru Kenyatta ilikuwa na Bajeti ya kuhonga Mahakama

    Rais William Ruto ameutuhumu Utawala wa Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kuwa ulitenga Bajeti maalum kwaajili ya kuwahonga na kuwarubuni Majaji na Mahakimu ili wawe wanatoa maamuzi ya kuipendelea Serikali. Amesema Serikali yake haiwezi kuyumbishwa na Kesi zinazofunguliwa katika Mahakama nchini humo...
Back
Top Bottom