bajaji

Bajajirao Mudhoji Naik Nimbalkar was a Maratha nobleman and sixteenth Raja of Phaltan Jagir during 1644-1676. He was sardar of Deccan Sultanates and Maratha nobleman.

View More On Wikipedia.org
  1. Bodaboda na Bajaji msijione mmesaidiwa kwa faini kuweni makini eshimuni sheria za barabarani

    Niseme tu kwamba hawa bodaboda na Bajaji nimewaona wakiwa na furaha kedekede bila ya kujua kuwa pamoja na kupunguza faini lazima watii sheria za barabarani na kuhakikisha vyombo vyao vya moto viko sawa na havina itilafu ambayo huenda vikasababisha trafiki wakawakamata. Sikatai wafurahie ila...
  2. Punguzo la faini kwa bodaboda na bajaji: Serikali imejiridhisha kuwa halitaongeza vurugu na ajali barabarani?

    Mwanzo mwanzoni nikiri kuwa nimefuatilia na bado naendelea kuchambua Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/2022. Kuna jambo, lakini, nimeliona kwa haraka. Ni kuhusu pendekezo la kupunguzwa kwa adhabu kwa makosa ya barabarani kwa waendesha pikipiki almaarufu kama bodaboda na bajaji...
  3. Serikali iliwaza nini kuondoa Hiace na kuruhusu Bajaji?

    Wakuu habari, Najaribu kufikiria haswa sababu iliyopelekea serikali kupiga marufuku hiace na kuruhusu bajaji. Kwa tathimini ya haraka haraka bajaji ndio chanzo kikuu cha foleni. Mfano: bajaji moja inabeba watu watatu kwenye kituo cha bus zikikaa bajaji nne ambapo ratio yake jumla ni watu 12...
  4. Mwigulu Nchemba: "Napendekeza kupunguza adhabu kwa makosa ya pikipiki na bajaji lengo ni kuweka adhabu kwa kuzingatia uwezo wa kulipa"

    Good evening jamiiforums Soma hapa>>> Kwanini tozo kwa makosa ya usalama barabarani zisishabihiane na uzito wa kosa husika? WAZIRI MWIGULU NCHEMBA LEO BUNGENI ===== "Mh. Spika napendekeza kupunguza adhabu kwa makosa ya pikipiki na Bajaji kutoka elfu thelathini za sasa hadi elfu kumi kwa kosa...
  5. Naomba nifahamishwe kuhusu biashara ya kuuza Pikipiki na Bajaji

    Habari za leo, Kumekua na thread nyingi zinazohusiana na biashara ya bajaj na pikipiki. Nyingi zikijikita katika mambo ya uendeshaji wa vyombo hivyo na uuzaji wake wa spare parts. Lakini sijakutana bado na thread inayoongelea kuhusiana na bei za vyombo hivi (uhakika) maduka vinapouzwa n.k...
  6. Daladala Mbeya zagoma siku ya tano, mgogoro sugu ulioshindwa kutatuliwa wa bajaji

    Jana usiku nimefika mjini Mbeya nikafikia maeneo ya Igawilo, leo nilikuwa nina appointment na daktari kwa magonjwa yetu ya uzeeni. Asubuhi hii nimejihimu stendi ili nipate gari niende mjini. Nimeshangaa sana kuona hakuna daladala. Nimepanda bajaji toka Igawilo hadi Kabwe kwa kutoa 1,500/=...
  7. Morogoro: Mwanamke, dereva wafariki dunia baada ya bajaji kugonga treni

    Mwanamke aliyetambulika kwa jina moja la Fatuma anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 35 hadi 39 na dereva wa bajaji ambaye naye jina lake halijafahamika wamefariki dunia leo baada bajaji waliokuwa wanasafiria kugonga treni eneo la Modeko Kata ya Mazimbu mkoani Morogoro.
  8. M

    Kama Wabunge wana Magari yao ya 'Kifahari' unadhani ni kwanini hupenda Kutumia 'Bodaboda' na 'Bajaji' tena Nyakati za Usiku tu wakiwa Dodoma?

    Hatimaye Spika Ndugai Uvumilivu umemshinda na kaamua Kuwaonya Wabunge wanaopenda Kupanda 'Bodaboda' na 'Bajaji' wakati wana Magari yao tena ya 'Kifahari' kabisa kuwa yakiwakuta ya kuwakuta Wasilaumu. Chanzo: Daily News Ukurasa wa Pili Na nyie Wabunge ifike muda mjitathmini hivi Magari yenu...
  9. I

    INAUZWA Nauza Bajaji ipo kwenye hali nzuri kabisa kwa Tsh 2,200,000 tu

    Habari za leo wakuu, Nauza
  10. Biashara ya Bajaji ya Abiria kwenye Jiji la Arusha

    Jamani naomba msaada wa kujua kama Biashara ya Bajaji ya Abiria inalipa kwenye jiji la Arusha? Maana kwa sasa na bei imepanda sana ni 7.5 mpya. Nimevutiwa kununua nimpe kijana anileteee pesa kwa Siku ama wiki, mwenye uzoefu na hii kitu naombeni jamani! Pia soma: Wazoefu wa biashara ya boda...
  11. Ushauri: Nina milioni 6 lakini sijui nifanye biashara gani

    Wapambanaji mambo ni vipi, Mwezi unakata hata sijui nifanye biashara gani sababu kila nikicheki biashara ya kufanya sioni. Nilikua najichanga changa mwezi uliopita nikapiga hesabu nikapata million sita na point kazaa ila sasa shida inakuja kwenye kuchagua biashara ya kufanya kwani sipati...
  12. D

    Pata huduma ya kufungiwa GPRS kwenye chombo chako. Pikipiki, bajaji, gari

    GPS TRACKING SYSTEM NI NINI Ni mfumo ambao unawezesha chombo cha moto ambacho kimefungwa kifaa hicho kuweza kutoa taharifa mbalimbali kwa muhusika. Mfano ---- Sehemu chombo kilipo ---- Mwendokasi wake ---- Kupata ripoti mbalimbali za mwenendo wa chombo husika ---- Chombo kuwashwa na kuzimwa...
  13. D

    NATAFUTA BAJAJI MBEYA MJINI

    Habari...Mimi ni kijana wa kiume wa miaka 26 na ninaishi Mbeya mjini..Natafuta Bajaji kwa ajili ya kufanya kazi ya kusafirisha abiria..Hivyo kama wew mwana Jf mwenzangu una bajaji na unahitaji dereva naomba unipatie mimi hiyo kazi..Ni mwaminifu na mchapakazi...Kikawaida kila siku kwa boss...
  14. Wasomi jifunzeni kwa dada Mwasu, dereva wa bajaji msomi mwenye shahada mbili

    Tofauti na mawazo ya wengi kuwa ukisoma hadi chuo kikuu lazima uajiriwe, Mwasu Mavere ameonyesha upande mwingine wa shilingi, kwamba unaweza kujiajiri na kufanikiwa zaidi. Licha ya kuwa na shahada ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), yeye ameamua kuwa dereva wa pikipiki ya miguu...
  15. Nimeshafanya Service Bajaji yangu nataka kuondoka kwenda Mwanza na abiria wawili

    Naombeni ushauri wenu katika hili. Mambo yamekuwa tight kidogo nlisafiri Tanga nimerudi now nataka kwenda Mwanza. Gari nilizo nazo zina CC kubwa na mambo yamekuwa mengi sitaki shida January watoto wawili wanasoma Int. school n.k Sasa nmewaza nikagundua naumiza kichwa bure tu nina bajaji...
  16. D

    Natafuta bajaji ya kuendesha Mbeya Mjini

    Habari, Naitwa Daud Benjamin mhitimu Chuo Kikuu IFM Dar es Salaam mnamo mwaka 2019. Nina degree ya Social Protection. Kwa sasa ninaishi Mbeya. Dar es salaam nilihama kutokana na gharama za maisha kuwa juu sana na kukosekana kwa ajira. Nimetafuta ajira bila mafanikio mpaka sasa. Nilivyohamia...
  17. D

    Natafuta mdhamini wa kunipatia bajaji kwa makubaliano ya kumletea kiasi kadhaa kila siku Mbeya Mjini

    Habari.Mimi naitwa David Benjamin. NI muhitimu wa chuo kikuu IFM kilichopo Dar as salaam ambapo nilipata degree ya Social protection and Actuarial studies. Toka nimehitimu nimekua nikitafuta ajira bila mafanikio yoyote mpaka sasa licha ya kuwa na matokeo mazuri katika masomo. Nilifanikiwa...
  18. Natafuta Bajaji au gari ndogo ya mkataba kwa kusafirisha abiria

    Habari wakuu, mimi ni dereva mwenye leseni inayoniruhusu kuendesha abiria na nina hati ya tabia njema kutoka wizara ya mambo ya ndani. Natafuta bajaji au gari ndogo ya mkataba kwa ajili ya kazi ya kubeba abiria. Namba zangu ni 0742783775
  19. K

    Dereva wa Bajaji anahitajka

    Heshima zenu wakuu, natafuta dereva wa Bajaji ambaye amejiunga Uber na Bolt kwa ajili ya biashara ya Bajaji. Awe mkazi wa dar maeneo ya Tabata, Mwenge, Msasani, Mikocheni au Kawe au maeneo ya karibu. Dereva awe na leseni, kitambulisho Cha taifa, barua ya utambulisho na pia awe mchapakazi hasa...
  20. INAUZWA Bajaji mpya iliyosajiliwa inauzwa million 6

    Ilianza kazi tarehe moja mwezi wa tatu, ikafanya kazi miezi 2 dereva akazingua, so imepaki toka mwezi wa 5 , mwenyewe hataki tena biashara ya bajaji 📞 0758851175, 0713220021
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…