bahati

David Bahati (born 8 June 1973) is a Ugandan accountant and politician. He is the State Minister of Finance for Planning in the Cabinet of Uganda. He was appointed to that position in a cabinet reshuffle on 1 March 2015, replacing Matia Kasaija. He is a Member of Parliament for the constituency of Ndorwa West in the Parliament of Uganda and is a member of the National Resistance Movement, the ruling party. He is chief of the Scout Board of Uganda.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa kiwango cha Omar pa Jobe na Fred Michael, hata mimi enzi zangu nakiwasha ndondoni hawakunifikia, ila bahati iko kwao

    Habari wadau, nawatazamaga hawa jamaa wawili strikers wa simba sc, hata siwaelewi, kipindi hiki tunakuwaje na viongozi wa kubahatisha kwa upande wa uteuzi wa wachezaji!!! Unawezaje kutuaminisha fred na jobe na proffessional players ilhali kiwango chao ni zero? Hapana, hapa tumepigwa na kitu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Paccome, Aucho na Yao kukosekana ni jambo la bahati mbaya sana

    Kukosekana kwa hao wachezaji kunanipunguzia sana matumaini ya Yanga kufanyanya vizuri na ninaona kama Yanga wana bahati mbaya ingawa bado wanaweza kufanya vizuri kwa kikosi kilichotangazwa kuanza katika mechi ya leo. Nimekumbuka ile fainali ya kombe la CAF ya mwaka jana ambapo Aucho tena...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Kaka kimbia kabla mambo hayajawa mengi, jaribu bahati sehemu nyingine

    Una mpenzi wako na una matarijio awe mke wako wa ndoa, kazi unayoifanya anaijua vizuri tu kuwa kipato chake ni kidogo. ''Mnatoka out mara ya kwanza unatumia pesa nyingi kweli, mnakula , mnakunywa mna enjoy kweli. Mwenzio hata haulizi pesa umepata wapi ndo kwanza anaagiza bucket. ''Mara ya pili...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi tuna bahati kutokula milo mitatu kwa siku.

    Mzuka wanajamvi. Watanzania wengi na waafrika kwa jumla kusini mwa jangwa la Sahara tumshukuru Mungu kwa kutufanya kuwa maskini hadi kutoweza kumudu kula milo mitatu kwa siku. Hii ni advantage kwetu na imetufanya Tuwe na afya bora na kufanya kinga za mwili zetu ziwe thabit. Professor Janabi...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini sana na simu. Sitokuja kusahau siku niliyoposti kwa bahati mbaya status ya pilau 18+ na simu ikazima, kijasho kilinitoka

    Ni 2017 nilikuwa nachati na wadau whatsapp mida ya saa tatu usiku, muda huo umeme ulikuwa umekatika, simu ikawa inakaribia kuisha chaji nikaona sio mbaya niweke status kabla simu haijazima. Nikiwa nimeingia sehemu ya status kwenye gallery ghafla ni kama nilimis touch nikachagua video ya x...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Bi. Christine Mwakatobe alifeli kuendesha KADCO, Je, tutegemee mafanikio AICC? Au maisha ni bahati?

    KADCO imefeli kutoa huduma, Mkurugenzi wake pamoja na kufeli kwake amepelekwa AICC kwenda kujaribu kama atafanikiwa kufanya Mapinduzi yoyote Je, tutegemee jambo jipya kwa huyu mwanamama?Au ndio tuseme omba uzaliwe na bahati? Soma: - Uteuzi: Rais Samia Christine Gideon Mwakatobe kuwa Mkurugenzi...
  7. JamiiForums Tanzania Mchele wa msaada haukuja kwa bahati mbaya, ni baada ya Benki ya Dunia kuitahadharisha Tanzania kupunguza kuzaliana, CCM mnapunguziwa wapiga kura

    Sikushangaa kuona mchele wenye virutubisho. Huo haukuja kwa bahati ni baada ya siku mbili tu kupita baada world bank kuitahadharisha tanzania juu ya wananchi wake kuendelea kuzaliana kwa wingi bila kikomo kama walivyoambiwa na shujaa Magufuli wazaliane mpaka mayai yaishe. Wakaenda mbali kwa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Siku yangu ya kwanza kuingia ofisi za kubeti kwa bahati mbaya

    Salaam, Shalom! Siku moja nilitoka nyumbani kwangu nilipanga kwenda mjini kununua baadhi ya mahitaji muhimu ya vifaa vya umeme, Niliondoka nyumbani majira ya saa tisa hivi, baada ya nusu saa, nilifika mjini, Sasa Pana duka la vifaa vya umeme kubwa nililokuwa nikitumia kununua mahitaji yangu...
  9. JamiiForums Tanzania Tukumbushane kisa cha mwamba aliyejinyonga kwa bahati mbaya uwanja wa golf Morogoro

    Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na mwamba mmoja mbabe sana pale Morogoro akiitwa Hamisi Kambaya. Yule jamaa Bwana alikuwa ana kawaida ya kumtania demu wake kwamba siku akimzingua atajinyonga. Sasa siku hiyo walikuwa pale uwanja wa golf Morogoro jamaa akamtania tena demu wake leo najinyonga...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwani utajiri unamfuata mtu mwenye bahati au mchapakazi?

    Habari zenu wakubwa, Naomba kuuliza hivi mpaka mtu anafanikiwa kwenye biashara zake na kuwa tajiri mkubwa kama akina Mo, Bakresa huwa inatokana na uchapakazi huu huu tulionao ata sisi au ni bahati tu ya mtu inahusika kumwinua aufikie utajiri?
  11. T

    JamiiForums Tanzania Je utumwa ilikua mipango ya Mungu ana ilitokea bahati mbaya?

    Watu wa dini husema kila kitu ni mipango ya Mungu. Kwamba hakuna jambo linatokea tu from no where, lazima lilishapangwa kutokea huko kabla. Sasa ningependa kufahamu, je utumwa ambao tulifanyiwa waafrika kwa karibu niaka 400 na mataifa mengine ya Ulaya na Asia, ilikua imepangwa hivyo kwamba...
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge Bahati Ndingo Aiomba Serikali Kuwalipa Wazee Wastaafu wa NARCO Mbarali

    "Je, lini Serikali itawalipa mafao wastaafu wa shamba la Kapunga Wilayani Mbarali lililokuwa linamilikuwa na NARCO? - Mhe. Bahati Ndingo, Mbunge wa Jimbo la Mbarali "Wakati wa ubinafsishaji kati ya mwaka 2003 na 2004 Serikali ililipa mafao ya wastaafu wote wa shamba la Kapunga isipokuwa mafao...
  13. JamiiForums Tanzania Siasa si uadui: Dk. Tulia amtembelea mama wa Halima Mdee aliyelazwa hospitali

    Siasa haziondoi utu wetu. Hivi karibuni Mbowe aliwaalika wabunge hao maarufu sana katila hafla ya kuchangia ujenzi wa kanisa. --- Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, leo Januari 31, 2024 amemtembelea na kumjulia hali, Theresia Ngowi ambaye ni mama mzazi wa...
  14. JamiiForums Tanzania Ifahamu 'Bahati' inavyopatikana katika maisha ya mtu

    Bahati ni jambo au matukio yasiyowezekana, yanaweza kuwa mazuri au mabaya. Kwasisi wanaadamu matukio chanya na hasi yanaweza kutokea wakati wowote, kwa sababu ya michakato ya asili na isiyo ya nasibu, na kwamba hata matukio yasiyowezekana yanaweza kutokea kwa bahati nasibu. Kwa mtazamo huu...
  15. C

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanzania tunaongozwa na Watanzania? Yanayotokea ni bahati mbaya? Asante CDF

    Idara ya uhamiaji ya Tanzania inadaiwa wamejaa Wakenya! How come tunaruhusu haya..afu Wakenya wenyewe waliopo wengi ni TOP. (But Anna ni mtu wa kusini). Idara ambayo ni mama ya inchi kama uhamiaji wanadaiwa wameajiri Wakenya tena top position. Ndiyo maana unakuta kazi hata ndogo km hotel wapo...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali kujitenga na mazoea kwenye maandamano haikuwa Bahati mbaya

    Kama ni mfuatiliaji mitandao ya kijamii hasa u tube utanikubalia kuwa Zama zimebadirika. System ime benefit kwa muda mrefu kutokana na ujinga wa jamii tuliyonayo Kwenye mitandao ya kijamii watanzania wamekuwa kaa la Moto. Akili zilizoko huko ndani ndo zinezaa matunda mahsusi ya haya...
  17. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kupata bahati ya kufanikiwa kwenye maisha ukaichezea?

    Ndugu zangu ama kweli bahati haiji mara mbili. Huu ni ushuhuda nilionao dhidi ya rafiki yangu kipenzi, rafiki yangu huyu baada tu ya kumaliza masomo yake. Mungu si Athumani ni bahati iliyoje alipata kazi haraka sana huko bandarini kwenye moja ya kampuni kubwa sana ya mafuta. Kaka yake ni moja...
  18. JamiiForums Tanzania vijana msome mjaribu bahati ya ajira, mjiajiajiri / biashara, kuwa msanii au mwamichezo ni kundi halizidi watu elf 1 nchi nzima waliofanikiwa.

    >> MOVED <<
  19. JamiiForums Tanzania Hawa watu Mbezi Mwisho wanatumia kivuli cha Bahati Nasibu kuwaibia watu

    Ndugu zangu katika pitapita zangu nimefanikiwa kufika mitaa ya Mbezi Luis karibu na ilipo Stendi ya Mabasi ya Magufuli, nadhani ile ni Kata ya Mbezi, kuna mambo kadhaa yanaendelea yanayohusu utapeli kama ilivyo kawaida kunapokuwa na purukushani za watu Jijini Dar. Karibu na Daraja la kuelekea...
  20. JamiiForums Tanzania Je, ukijamba kwa bahati mbaya au kwa kulazimika uwapo Kanisani au Msikitini Dua yako inapokelewa na aliyeketi Juu Mbinguni?

    Najiandaa kusoma Comments zenu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…