Kwani utajiri unamfuata mtu mwenye bahati au mchapakazi?

Weeee tafuta helaa za kukusaidiaa na maishà Yako ,hao kina mo wapo Kwa ajili ya kusaidia nchi isikose mahitaji muhimu .levo Yao n kubwa sanaaa aiseee na mitaji na elimu yakuendesha biashara zao wanayo ya kutoshaa..
 
Habari zenu wakubwa,

Naomba kuuliza hivi mpaka mtu anafanikiwa kwenye biashara zake na kuwa tajiri mkubwa kama akina Mo, Bakresa huwa inatokana na uchapakazi huu huu tulionao ata sisi au ni bahati tu ya mtu inahusika kumwinua aufikie utajiri?
Mchapa kazi kwanza
 
Uchapakazi unaleta bahati, kwahiyo ni mchanganyiko

Japo kuna zile bahati nyepesi za ghafla tu mfano kushinda jackpot
Ila hakuna mtu ambae ni tajiri kwakuwa alishinda jackpot. Hao bado ni maskini tu maana wengi hizo hela huwa zinarudi huko huko walipozitoa kwa bahati.

Japo wengi watasema ni uchapakazi (hata tajiri ukimuuliza atakuambia hivyo) ila kuna siri nyingi nyuma ya pazia hawatakuambia.

Amini hivyo. Utajiri una mambo mengi behind the scenes na hakuna tajiri atakuambia behind the scene yake. Wengi watakupa tu zile zile sababu za kimotivesheno spika.
 
Kwanza utajiri ni mali ya Mungu. So kabla ya chochote mkabidhi Bwana njia zako nae atadhithibi. Pili kuwa na ndoto halafu ziwe na goal. Kwamba unajiona wapi ndan ya miaka 10 ijayo. Then tengeneza raman ya kufikia hapo ulipopaona. Tunza Siri na usiangalie au kusikiliza watu maneno yao. Maana wewe ndie unajua unaelekea wap. Toa zaka na muombe Mungu. Nakuhakikishia hela ipo mingi tu. So along the way kuna mengi ila bana matumiz tumia kile kinachotakiwa na usibadili Life style kuna gharama ukibadili
 
Habari zenu wakubwa,

Naomba kuuliza hivi mpaka mtu anafanikiwa kwenye biashara zake na kuwa tajiri mkubwa kama akina Mo, Bakresa huwa inatokana na uchapakazi huu huu tulionao ata sisi au ni bahati tu ya mtu inahusika kumwinua aufikie utajiri?
Ni mitazamo....namna wanavyoliangalia na kulichukulia jambo..halafu zingatia hao uliowataja ni wana wa Mashariki...hivyo wanaitumia nguvu ya mashariki kwa ukamilifu wake.
 
Back
Top Bottom