Marekani wamekuwa maharamia baharini!

Marekani wamekuwa maharamia baharini!

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
62,335
Reaction score
104,351
Kwa sasa Wamarekani hawana tofauti na wale maharamia wa Somalia waliokuwa wanazivamia meli na kuzichukua mateka, US wanavamia na kuiba meli za Venezuela, Cuba na sasa Iran, huu ni uharamia wa kitaifa(state sanctioned piracy).
 
IMG-20260418-WA0001.jpg
 
Ma-ayatollah Punguzeni Jazba Aisee
Amefanya USA Imekuwa Nongwa ,ila IRAN Tangu Vita Vianze Kashambulia Na Kulipua Meli Nyingi Zisizo Na Hatia Pale Strait Of Hormuz Na Pia Katega Mabomu Kwenye Njia Za Meli Na Hamkusema Ni Maharamia,au Iran Wao Mtawapa Jina Gani Zaidi Kwa Ukatili Wao ?
Kumbe Inauma Eeh,USA Asiachie Gia Hiyo Imepenya.
 
Kwa sasa Wamarekani hawana tofauti na wale maharamia wa Somalia waliokuwa wanazivamia meli na kuzichukua mateka, US wanavamia na kuiba meli za Venezuela, Cuba na sasa Iran, huu ni uharamia wa kitaifa(state sanctioned piracy).
International law is fractured...

Huenda Canada na Mexico pia zikavamiwa na ardhi zao kumegwa na kichaa Trump.
 
Kwa sasa Wamarekani hawana tofauti na wale maharamia wa Somalia waliokuwa wanazivamia meli na kuzichukua mateka, US wanavamia na kuiba meli za Venezuela, Cuba na sasa Iran, huu ni uharamia wa kitaifa(state sanctioned piracy).
Hehehe
 
Back
Top Bottom