bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kudai katiba mpya ili uchaguzi uwe huru na haki ili taifa likae sawa ni kukosa hoja ? Mbowe bado kibaraka wa CCM

    Nimeona mitandaoni juu ya kauli hii ya Mbowe kuwa CHADEMA ya sasa chini Lissu haijengi hoja kama ilivyokuwa akina Mtei na Bob Makani. Hii sio kweli kabisa. Sasa Hivi Lissu na Heche ndio wanahoja za mashiko. Kwa katiba hii ya CCM ambayo hata mtu hajapigiwa kura anakuwa madarani utaingia ikulu...
  2. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Ungepata nafasi ya kuzaliwa tena je, bado ungechagua kuzaliwa katika familia hiyo hiyo na wazazi hao hao?

    Wakuu, naombeni experience zenu hapa chini! Mdahalo huu unalenga tafakari ya kina kuhusu nafasi ya familia katika maisha ya mtu. Swali ni “Ungepata nafasi ya kuzaliwa tena je, bado ungechagua kuzaliwa katika familia hiyo hiyo na wazazi hao hao?” Kuanzia malezi, upendo, changamoto, maadili, na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Heche aendelee kuwa Makamu Mwenyekiti, Kuwe na mwenyekiti wa muda kuokoa jahazi, Chama kinazidi kuoteza ushawishi wake

    Simaanishi kusema waliowahi kuwepo nafasi za juu hapo awali warudi, Hawastahili kurudi kwasababu walikigeuza chama kwajili ya maslahi yao. Bila nia ya kubeza wala kupunguza mchango wa yeyote, ni muhimu kutazama hali halisi ya chama kwa jicho la kimkakati. John Heche ni kiongozi mwaminifu...
  4. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Kumbe kwa wagogo kila kitu/jambo kina Mungu wake! Kweli hii Afrika bado sana

    Mimi sishabikii ukabila lakini hili la wagogo wa Dodoma limenishangaza. Eti Chatu ni nyoka wa mvua na haupaswi kumuua hata kukimkuta ndani mwako. Kenge, ni kiumbe wa mavuno na ukimuua basi wagogo watakuala sahani moja nawewe. Pimbi, ni kiumbe wa mitishamba hivyo kuharibu kumfhuru ni kutaka...
  5. Mshamba wa kusini

    JamiiForums Tanzania Hivi wakubwa bado kuna nyumba wanatumia ving'amuzi badala ya streaming kwa kutumia internet kwenye TV?

    Mimi sijalipia king'amuzi mwaka wa tatu sasa huduma nyingi natumia mtandao
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Upishi na ushonaji bado ni fani zinazoweza kumfanya mtu asilale njaa

    Majirani zetu kama Kenya, Uganda, Zambia, DRC na nchi zingine zinazotuzunguka hawatuwezi kabisa kwenye mapishi. Wabongo kwa upishi ni hatari. Mara zote ninapokuwa nje ya Tanzania huwa ninapata taabu sana kwenye suala la vyakula. Kwa mfano Zambia ni jipu. Huko Zambia wanajua ugali tu. Vitu kama...
  7. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi telegram bado imefungwa wazee maana ninaugwadu

    Naombeni kujua wakuu telegram bado imefungwa na upwiru kinyama nataka demu wa kusuuza rungu
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Alafu viharusi vingi vya namna hii unakuta mshikaji na manzi yake bado wapo tight miaka 10+

  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania CCM na Project yao na ‘LUCY Mkatoliki’ bado hawajakoma. Wasikilize tena

    GT. Ila Mungu anajua kuwaumbua wajinga leo wansema FR Kitima ni Askofu. Hii ni project endelevu ya kujaribu. kulichafua kanisa ikiongozwa na Mwigulu Nchemba.
  10. Mind stone

    JamiiForums Tanzania 2026 Natafuta kazi bado sijapata wakuu

    Nipo Arusha, Naombeni connection yeyote tafadhali 🙏🏽
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini watanzania wengi bado wanapenda magari ya zamani yenye gearbox za 4AT badala ya gearbox za kisasa yenye CVT ?

    Magari mengi yenye gearbox za 4at ni yamiaka zaidi ya 15 iliyopita Magari ya CVT ni ya kisasa zaidi na yanatumia mafuta kidogo Lakini unawakuta watu wapo radhi kununua gari yenye 4at yenye gharama kubwa zaidi kuzidi yenye cvt. Kwanini watanzania wanaogopa CVT ?
  12. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tukio hili niliamini kama nchi bado tuna safari ndefu sana

    Hili Tukio ndio niliamini Hii nchi tuna safari ndefu sana 🤣. Siasa za Kijinga sana hizi, Imagine ilikua Trending sana, Ikawa na Bango la kimkakati kabisa.
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Bunda Mji: Watumishi Wapya Bado Hawajalipwa Fedha za Kujikimu na Mshahara wa Kwanza tangu Julai 2025

    Ninaandika ujumbe huu nikiwa mtumishi wa umma niliyeajiriwa ajira mpya mwezi wa saba (Julai) mwaka 2025 katika Halmashauri ya Bunda Mji. Kwa masikitiko makubwa, hadi leo hii bado hatujalipwa fedha za kujikimu kama ilivyoelekezwa kisheria. Aidha, baadhi yetu bado hatujalipwa hata mshahara wa...
  14. technically

    JamiiForums Tanzania Samia jisafishe kwanza bado unanuka damu

    Narudia Tena hutoboi Jisafishe kwa damu ya October 29 Wafungwa wote wa kisiasa watakutesa Sana. Utekaji utakutesa sana Jioshe warudishwe waliopotea hata Kama Ni mafuvu yao. Mrudie Mungu wako tubu Ongea na moyo wako damu ni nzito kuliko maji
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mbona yeye bado hajaolewa?😂

    Ila CCM kila muuni,mjinga,chawa,vichaa,walamba miguu na kila aina ya sampuli unazipata huko. Msikilize huyu
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ingependeza kila ukanda ugekuwa na chuo kikuu cha serikali, mgawanyo wa vyuo vikuu bado ni kikwazo kwa baadhi ya kanda

    Naomba tuelewane ni chuo kikuu kilichojitosheleza chenye vitivo mbali mbali vya Uhandisi, Sheria, Ualimu, Biashara, Udaktari, n.k. Sio kampasi ya chuo kikuu au institute au college ambayo inatoa fani chache. Kila ukanda sikuhizi una toa wahitimu wengi sana wa form 4 na form 6, ni haki yao...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Hodi Arusha Bado tunamsubiri SHOZINIGA?

    Wanasemaga kaskazini hatokagi fala. Sasa huyu jamaa anayejiita Paul Makonda, alitoa ahadi kama anaongea na wanafunzi wa chekechea—ahadi hizo ziko wapi? Kwa sasa yuko zake Morocco kwenye AFCON; no Shoziniga, no Makonda. Happy New Year watu wa Arusha.
  18. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Watu wanatumia Jina la CHADEMA kuendesha donation za kitapeli wanaweka account zao binafsi ili waishi na familia zao siyo chama huu ni wizi

    Nashangaa mtu anaamka asubuhi kwa kutumia jina la chadema anaweka account number yake binafs anaanza kutafuta hela za mwaka mpya kwaajili ya kula na familia yake na watu wanamchangia kweli hii ni aibu mno huu ujinga utaisha lini, acheni kuwalisha hawa matapeli ya chadema na ikumbukwe kuwa hizo...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya kijana Jovin mhaini yanasisimua; moyo usinifanyie hivyo

    Aiseeh! 1. Mungu mwenyewe anajua. Na yeye ndiye ataamua. 2. Moyo usinifanyie hivyo. Nimejikuta katika Hali ya kupatwa na simanzi nilipoiona video ya Jovin Yule kijana aliyembeba mhaini mwenzake aliyevunjwa miguu. 3. Video inamuonyesha Jovin akipokelewa huko kwao Arusha kama sijakosea. 4...
  20. hungary

    JamiiForums Tanzania Je, umebima? Kama bado unasubiri nini?

    Habari.. karibu kwa elimu na huduma ya bima za magari, BAJAJI, PIKIPIKI malipo ni kwa control number unapata cover note yako ndani ya dakika 10 Linda chombo chako cha moto na NIC insurance NIC SISI NDIO bima
Back
Top Bottom