bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mabinti wenye miaka 18 - 35

    Ukihitaji salamu nenda uswahilini, kwangu utaula wa Chuya! Sikutishi Sikupangii lakini huu ndiyo uhalisia wenyewe, ipo siku utalia na kusaga meno. Yaani binti mzima mwenye umri kuanzia 18 - 30, hufanyi shughuli yeyote na huwezi kuzitumia nguvu zako kwenye uwekezaji wa maisha yako na mwanao...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Africa bado sana mwanamke kushika madaraka makubwa kama ya Urais

    Tunaona mfano mzuri kwa wanawake walioshika nafasi hiyo , they could not deliver to anybody's expectation! Tulitegemea wangelifanya vema zaidi kuliko wanaume, maana wameshajua udhaifu mkubwa wanaume na hivyo wangelijitahidi kuonesha uwezo! Kumbe bado kabisa. HILI LA SAMIA KUMVUA SLAA HADHI YA...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hadhi ya Ubalozi ya Dkt. Slaa ilikuwa mzigo mkubwa kwake, hakupewa kwa maamuzi ya Mwenyenzi Mungu bali kwa maamuzi ya wanadamu. Sasa yupo huru

    Kama Dkt. Slaa amevuliwa hadhi ya ubalozi kwa kupigania rasilimali naamini yupo kwenye mwisho mwema wa maisha yake hapa Duniani. Kwamba ameanza kwa kupigania haki na amezeeka akiwa mtetezi wa haki; alianza kwa kuhubiri uzalendo na amezeeka akipigania haki. Waliomvua Ubalozi ipo siku watasimama...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Umeme wa Zero tarrif Bado upo, wavuja Jasho changamkieni fursa

    Wakati mgao ukiendelea, tujikumbushe Moja ya KAZI murua kabisa ilofanywa na waziri Muhongo. Hili ni suala la zero tarrif, umeme nafuu Kwa watu wa kipato cha chini. Kama unatumia umeme chini ya 75 units Kwa mwezi, Andika barua, ipeleke ofisi ya Tanesco wilaya uliyopo, baada ya mwezi kupita...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya TPA kutangaza tenda kuhusu uwekezaji Terminal 2, Bado mnaamini Bandari zote zimeuzwa?

    Kwa wachache tuliobarikiwa kuielewa vizuri nchi hii na jamii yake pamoja na siasa zake tunaposimamia jambo kwa maslahi ya taifa naomba tuheshimiwe na tueleweke vizuri. Kwa miezi 2 sasa kuna kikundi cha wanasiasa na viongozi wa dini, kwa maslahi binafsi na kutumiwa na watu ambao kila siku...
  6. JamiiForums Tanzania Kijana ambaye bado hujaingia kwenye ndoa usithubutu kufanya makosa haya

    Naongea na vijana wenzangu wale ambao bado hawaja ingia kwenye ndoa bado. Kabla ya kumfuata binti hujamwambia kusudi lako, usisukumwe kumtongoza binti kwa kusukumwa na tamaa za mwilini, maana hisia zako zikikuongoza kumfuata binti utafanya maamuzi ambayo baadaye unaweza kujutia. Kuna kutokea...
  7. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu apuuza wito wa DCI Kingai, asema hatoenda ofisini kwake

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amewasili nchini leo Julai 26, 2023 kutoka Ulaya. Akihojiwa juu ya kuitikia wito wa DCI Kingai unaomtaka afike ofisini kwa mahojiano, Lissu ametoa kauli inayoashiria kuwa hatakwenda. “Kwenda (kwa DCI) kufanya nini? Unapoitwa na Polisi mahali popote...
  8. JamiiForums Tanzania Kinachotokea sasa hivi London kama kingetokea Moscow dunia bado ingeathirika?

    Zaidi ya Ndege 232 zilizotarajiwa kuondoka kwenye viwanja vya ndege (Departure) nchini Uingereza na ndege zaidi 271 zilizotaka kutua (landing) kwenye viwanja hivyo zimezuiwa kufanya hivyo kutokana na matatizo ya mifumo ya kuongozea ndege nchini humo. Tatizo hilo la kuzuiwa kwa ndege hizo kutua...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada: Nimelipia Vodacom Supakasi lakini ni wiki ya 3 sasa bado sijapewa huduma

    Naombeni msaada nimelipia huduma ili niunganishwe lakini kwasasa inaenda week ya 3 sasa sijapewa vifaa na bado sijapata huduma. Nipo mkoani, mwenye mawasiliano na watu wa makao makuu voda naomba namba zao Cc Chief-Mkwawa
  10. JamiiForums Tanzania Kutumia simu kumerahisishwa ila nashangaa wapo wenye simu za android zenye gesture bado wanatumia Vitufe vitatu vya chini?

    KUPERUZI SIMU KWA VITUFE VITATU Tukiachana na wazee and the likes, Nashangaa kuona bado kuna watu wamekomaa kuendelea kutumia vile vitufe vitatu vilivyopo chini ya screen. KUPERUZI SIMU KWA GESTURE Gesture imerahisisha sana kutumia simu, ukiswipe pembeni kulia au kushoto unarudi nyuma (back)...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Zimbabwe, upinzani Tanzania bado hatujifunzi?

    Uchaguzi wa karibuni kwenye mazingira kama yetu, ni huu wa juzi Zimbabwe. Waangalizi mbali mbali mbali wakiwamo SADC, Carter Center na wengine, wamelazimika kuuita kwa majina yake. Yaani kwa ufupi, wameuona siyo uchaguzi bali ni wizi wa mchana kweupe. Hapa chini ni sampuli za yale matokeo...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Al Merrikh keshatoboa huko, Yanga itaitoa kuingia makundi?

    Timu ya Al Merikh ya Sudan imefanikiwa kusonga mbele hatua ya mtoano ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa faida ya bao la ugenini dhidi ya Otoho d'Oyo ya Jamhuri ya Congo baada ya kutoka nayo suluhu ya bila bao katika mechi ya marudiano leo. Katika mechi ya kwanza kuzikutanisha timu hizo...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

    Prigozhin ahofiwa kufariki katika Ajali ya Ndege Watu 10 wameripotiwa kufariki kwenye ajali hiyo ya ndege Watanzania tumuombee apumzike kwa amani! Source: Al jazeera ==== Kwa mujibu wa Idara ya Habari ya Urusi (TASS), abiria 10 waliokuwa kwenye Ndege Binafsi wamefariki ambapo inaaminika...
  14. JamiiForums Tanzania Mwamba huyu amesema haoi mwanamke mwingine zaidi ya Bikra, je wewe?

    Kumbe mabikra bado wapo? Kwenye huu ulimwengu wa social medias na uzinzi na talaka na makasiriko Sasa mwamba hapa anasema mwanamke mwingine haoi lazima awe Bikra Safi ( brand new) hata akiwa na Miaka 50 anatoa
  15. JamiiForums Tanzania Thamani ya kitu hutengenezwa katika akili ya mtu. Unaweza kumfanyia mtu mambo makubwa lakini akaona hayana thamani kwake

    Katika MAISHA thamani ya kitu inatengenezwa katika Akili ya mtu. Hivyo kabla ujamfanyia MTU Jambo lolote hakikisha analipa thamani katika Akili Yake . Mfano Kuna watu wanahitaji tu MUDA wako na sio Jambo lolote ila pia Kuna wengine wanahitaji pesa zako hivyo inahitaji utulivu wa kifikra kujua...
  16. JamiiForums Tanzania Nimekupa kila kitu, na bado umeniacha" Malalamiko ya madada wengi

    " Nimekupa kila kitu na bado umeniacha?" Alisikika dada mmoja akilalamika Kwa mashemeji JE wanaume?! Sentensi hii ukiiskia, huyu aliepewa kila kitu unamwelewa kweli? Kwani wanaume hii sentensi ina maana gani ukiskia mwanamke analalamika hivi? NYUZI ZANGU ZINGINE 1. Hii ndiyo sababu ya nguvu...
  17. JamiiForums Tanzania Halotel bado mnatoza tozo za serikali?

    Unapotao fedha kutoka kwa wakala bado unatozwa tozo za serikali wakati serikali ilishatamka kuwa tozo za serikali imeshaondolewa kwenye miamala ya simu.Je hii ni sawa au kwa anayefahamu tafadhali ufafanuzi.
  18. JamiiForums Tanzania Ni kwanini watu wengi hasa wafanyabiashara bado wanakomaa na excel badala ya kutumia Microsoft Access yenye ufanisi zaidi?

    Kwa wale wasio na mambo mengi mfano wanaandaa tu ripoti ya mauzo excel inawafaa lakini utawakuta kuna hawa wafanya biasahra wana mafaili kibao ya mauzo, madeni, stock, matumizi, n.k. bado wanatumia excel, yani kitu kimoja wanajaza mara tatu tatu au zaidi Kwanini hakuna mazoea ya kutumia...
  19. JamiiForums Tanzania Dkt. Ananilea Nkya: IGP kusema Rais atapinduliwa ni kutweza utu wa Rais, kuonesha jeshi limeshindwa kumlinda

    Ipo script inazunguka mitandaoni inayojaribu kuonyesha waliokamatwa hawana tuhuma zenye kuhatarisha usalama wa serekali yetu. Nimeshindwa kuwaelewa zaidi pale wanapoona mtu / watu wanakamatwa kwa kauli zenye utata na hatari kwa taifa letu, Wao kazi yao huwa ni kukemea vikali waachiwe...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali kuwapa watu case za uhaini bado sijibu la Maswali ya DP World! Kuna maswali lazima uyajibu wewe! Usijifiche

    Toka limetokea sakata la kusaini mkataba wa DP world ambao wengi wameukosoa na kuonesha ni mmoja ya mkataba mbovu kabisa kuwai kutokea bado watu wengi wamekuwa wakijiuliza ni kweli Samia amesaini yeye mwenyewe mkataba wa aina hii? Bahati mbaya au nzuri kila akipata nafasi amekuwa akikwepa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…