.Natafuta mke wa kuoa
- Dini mkristo / uwe mkristo
- Mchaga / kabila lolote
- Naishi Dar/ usiwe nje ya Dar
- Natafuta mke kuanzia 24_30
- Sina mtoto/ ukiwa na mtoto asizidi mmoja
- Mwajiriwa / km uja hajiriwa hakikisha uwe na shughuli ya kufanya
Nipo serious katika hili nipo mpweke sana kwa maelezo zaidi njoo PM.