bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Baada ya kumzuga mara tatu bila mafanikio, Rafiki wa kazini bado analazimisha nimfundishe kuchoma kaya, Nichukue uamuzi gani?

    Ni kama rafiki japo naweza kumuita bro, ana miaka 40 na kitu ? Binafsi hii ndio starehe yangu japo kwa sasa huwa ni stiki mbili ama tatu kwa wiki. Sasa huyu bro sijui ni kipi kilichomshawishi atake kujaribu haya mambo umri ukiwa umeshaenda mithiri ya jua la saa kumi na moja. Mara ya kwanza...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanza hapajabadilika kwa miaka 13, bado nyumba zinachungulia kutoka milimani

    Mwaka 2010 nilikaa mwanza kwa mwezi mmoja nikifanya kazi pale TPA. Niliwahi kuja mara kadhaa kwenye mikutano ya siku moja moja hivyo sikuwa nazunguka sana. Sasa nimeingia jana napita mjini pako vilevile, nyakato, miti mirefu, nyegezi, kirumba, capripoint, airport hamna chochote kipya. Gold...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 27, bado nina ndoto ya kuwa Daktari (Médical Doctor)

    Mimi ni kijana wa kiume miaka 27 'nilimaliza Form 4 2013 nikapata division 3 lakini nikakosa nafasi form 5 Since day one ndoto yangu ilikuwa ni kuwa DAKTARI +Business man 2014 nikachomoka Moshi Kuja Dar ku strugle Nimepambana from 2014 up to this moment MUngu akanibariki kiuchumi kwa kiasi...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wengi wana wapenzi lakini bado wanajichua?

    Unakuta kijana wa kiume yuko na wapenzi si chini ya wawili lakini haachi kujichukulia sheria mkononi (Kujichua) Je, ni kwamba anakua haridhiki anapofanya ngono na mwanamke wake au mwanaume wake? Sina uhakika sana kama watoto wa kike nao huwa wanajichua hata kama wana boyfriends ila hata kama...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna kundi kubwa la watumishi ambao bado hawajapata mshahara mpaka leo tarehe 25-10-2024

    Ni kweli taasisi nyingi tu za umma bado hawapata mishahara yao hadi muda huu saa7 kasoro dakika 13 mchana. Naomba Mungu anipe nguvu na huruma ya kuwavumilia watumishi niliowakopesha, nilipatwa na jazba sana kwa hatua ya kuchukua simu zao. Nimetafakarii sana hatua Ile, nimejifunza jambo kama...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Rais kawekeza pakubwa, na bado anaendelea kuwekeza

    Rais Samia Suluhu Hasan, kamwe hawezi kujilaumu kwa kutofanya jitihada, tokea mwanzo wa utawala wake kuona umuhimu wa kushawishi makundi mbalimbali katika jamii kuungana naye katika juhudi zake za kusaka ngwe yake mwenyewe ya utawala hapo ifikapo 2025. Mwanzo kabisa, katika makundi aliyoyawekea...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini bado wazazi waliofanikiwa kibiashara ni waoga kuwashirikisha, kuwaamini na kuwatumia watoto wao kuendeleza miradi yao ?

    Nashangaa kuona bado hizi fikra za kale zinaendelea "kila mtu ajitafutie cha kwake", mtoto wa mfanyabiashara anafika miaka 23 hana utofauti na watoto wa mwalimu, yani hajui kitu kuhusu biashara kiasi kwamba hata akimaliza chuo anafikiria mshahara, hata akikosa ajira mzazi kwenye account ana...
  8. JamiiForums Tanzania Unasaini mkataba wa bandari wakati huo huo unamrudisha Makonda. CCM Bado ni wahuni

    Pole pole anasema kataa wahuni na wahuni wenyewe wako ndani ya CCM. Matukio haya ya leo yamekuja ilimradi kutuchanganya tu ...tujadili lipi tuache lipi ... Kwa ufupi sisi tutajadili yote pamoja na uhuni huo ...hasa hasa la Bandari. Je vipengele vimerekebishwa? Huyo makonda wenu mtajuana wana...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Makonda bado ana kidonda cha kutengwa, kutwezwa na kususwa na system pamoja na marafiki zake. Kazi ya uenezi itamshinda

    Kabla ya kumpa uenezi angepewa japo uRC ambao ungempa nafasi ya kujenga urafiki na ukaribu na viongozi mbalimbali ambao walikuwa wanamkatia simu ama kugoma kupokea simu zake. Makonda ana hasira na watu wengi ambao anapaswa kufanya nao kazi kwa sasa. Hivyo itakuwa ngumu kwa yeye kupata ufanisi...
  10. JamiiForums Tanzania Kati ya 100 kilos ya Ferre Gola VS Associe ya Fally Ipupa ipi ilikuwa na bado ni ngoma kali

    Kuna hizi ngoma kali mbili za hawa miamba kutoka Congo Associe ya Fally Ipupa na 100 kilos ya Ferre Gola. Mbivu na mbichi itajulikana. Ni ngoma ya mkali gani imenyooka vizuri upande wako kati ya Associé - Fall Ipupa [Intro] Assoc, associé L'empereur Tchatcho Mbala Kashogi Ba diamants ebele...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali bado imelala usingizi mzito wakati ajali inamaliza wananchi wake na kuwaachua ukilema mamia?

    Inafikirisha sana kusikia kila leo kumetokea ajali na vifo vya abiria vikiwa vingi sana hadi unajiuliza, je serikali inashirikiana na madereza pamoja na wamiliki wa mabasi kutengeneza ajali? Je, mabasi haya kabla ya kusafiri/kuanza safari zinakaguliwa na chombo gani na kuruhusu waendelee na...
  12. JamiiForums Tanzania Simba bado ni mnyama?

    Kwa waliofuatilia mpira wa jana kati ya Simba vs Al ahly nani mnyama?. Wewe ubashiri wako ulimpa nani?. Mimi nilimpa simba pale sokabet bwana nikiwa na uhakika atamuua mwarabu. Lakini tuipe Simba maua yake bado wamefanya vizuri sana. Najua watani walisubiri simba wapigwe. Haya sasa Mwezi...
  13. JamiiForums Tanzania Askari wa barabarani kazi bado ngumu

    Elimu ya matumizi ya zebra na taa za kuongoza magari na waenda kea miguu bado haijawafika wananchi wengi hasa kwenye Manispaa mbalimbali, walau kwenye majiji watu wanaelewa. Ongezeni jitihada ya elimu hii live in majority siyo mnatumia vyombo vya habari tu. Leo nimepita mahala taa ya kuzuia...
  14. JamiiForums Tanzania Askari wa barabarani kazi bado ngumu

    Elimu ya matumizi ya zebra na taa za kuongoza magari na waenda kea miguu bado haijawafika wananchi wengi hasa kwenye Manispaa mbalimbali, walau kwenye majiji watu wanaelewa. Ongezeni jitihada ya elimu hii live in majority siyo mnatumia vyombo vya habari tu. Leo nimepita mahala taa ya kuzuia...
  15. JamiiForums Tanzania Tusisahau vita vya Sudan, waarabu bado wanachinjana na kuwindana mji mkuu

    Jamaa hawachoki, yaani ndio kama wanaanza vile.............. Clashes involving armoured vehicles and heavy weapons continued between the Sudan Armed Forces (SAF) and Rapid Support Forces (RSF) across large parts of the Sudanese capital of Khartoum on Tuesday, especially focused on the SAF...
  16. JamiiForums Tanzania Pamoja na huo utu uzima wako, ni kitu gani bado unakiogopa

    Ni kitu gani unakiogopa tangu utotoni umeshindwa kuacha kukiogopa Najua kuna wengine mpaka wanafaika 30 bado wanaogopa sindano (manesi wana siri nyingi), siwezi kuwacheka maana tunatofautiana tu vitu vya kuogopa. Binafsi huyu mdudu wa kuitwa nyigu akiingia chumba nilichomo huwa nakosa amani...
  17. JamiiForums Tanzania Bukoba msipofuata ushauri wa Hayati Magufuli bado mtakuwa na safari ndefu sana ya kuwa na maendeleo kwenye hako kamji kenu

    Bukoba mugumile watani zangu. Kwa hayo tunayoyasikia na kuyaona huko kwenu watani zangu ni yaleyale ya miaka ya nyuma sjui nani kawaloga ninyi watani zangu,watalaamu wa mambo ya kiroho wanaita laana/tatizo la kujirudia rudia. Mwendazake aliwaasa watani zangu kuwa muache kukwamishaana ninyi kwa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Waziri wa TAMISEMI fumua uongozi wote wa TARURA Mkoa wa Mara

    Wakandarasi karibu wote wa Mkoa wa Mara tumepata mateso makubwa kutokana na vitendo vya rushwa vinavyoendekezwa na Mameneja hawa. Kwanza kupata kazi lazima utoe millioni tano. Bila millioni tano hupati kazi. Pili, kama ukiwa umepata kazi lazima utoe asilimia 10 ya malipo yako kama rushwa...
  19. JamiiForums Tanzania Miamala ya mpesa bado inaendelea au tunakatwa ujanja?

    Hiv serikali bado ina yale makato kwenye mpesa au walifuta. Muda huu nimefanya muamala imekuja hv
  20. JamiiForums Tanzania Kama mapenzi hayajawahi kukuumiza jua wewe bado hujakua

    Ukiona nyani mzee jua kakwepa mishale mingi. Kumcheka au kumdharau mtu aliyeumizwa na mapenzi ni dalili ya immaturity. Kama hujawahi kuumizwa na mapenzi jua wewe bado hujakua na hata kama umekua hujapevuka yaani unakuwa mtu mkubwa na sio mtu mzima (tofautisha)
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…