Simba bado ni mnyama?

___pennie

Member
Jan 3, 2023
12
155
Kwa waliofuatilia mpira wa jana kati ya Simba vs Al ahly nani mnyama?. Wewe ubashiri wako ulimpa nani?.

Mimi nilimpa simba pale sokabet bwana nikiwa na uhakika atamuua mwarabu.

Lakini tuipe Simba maua yake bado wamefanya vizuri sana. Najua watani walisubiri simba wapigwe.

Haya sasa Mwezi ujao mtani yuko na mwarabu. Je atatoboa kweli????.:(:(:(:(:(
 
Kwakweli jana Simba walicheza mpira mzuri bas tu bahat haikua upande wao!
 
Back
Top Bottom