Wakuu za sahizi,
Mimi babu yenu nimeamua kujiunga nanyi leo, hii
Baada ya kuuona huu mtandao ukipewa support kubwa sana na watu mbalimbali
Mimi nime staafu kazi X niliyoitumikia kwa mika 35, mwaka 2016 rasmi hivyo nalea wajukuu tu,
Ningependa mnipokee wanajukwaa
Natanguliza shukran...