baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Baada ya "free Juma Jux"; Hatimae Jux arejea Tanzania na kujumuika kwenye usiku wa henna wa zuchu

    Baada ya kuwepo kwa kampeni na gumzo kubwa mtandaoni la "Free Juma Jux", msanii nguli wa muziki wa Afro-R&B nchini, Juma Jux, hatimaye amerejea nchini Tanzania. Urejeo wa msanii huyo umeibua msisimko mkubwa miongoni mwa mashabiki, hasa baada ya kuonekana akihudhuria usiku wa Henna wa msanii...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Diamond amfariji Rais Samia baada ya msiba

    Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 09 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Sasa tumeelewa Nchimbi alisema Watanzania tupiganie Katiba baada ya kujua CCM wanatumia Octoba 29 kama kizuizi cha katiba mpya, wakamfukuza!

    Maneno ya Wasira yameonyesha mambo matatu makubwa sana ambayo bila shaka si Watanzania walielewa mpango huu muovu wa CCM; CCM hawako tayari Tanzania iwe na Katiba Mpya CCM waliamua kutumia kisingizio cha Octoba 29 kama kizuizi cha kuwa na katiba mpya CCM waliamua kumfukuza Nchimbi kwa sababu...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wauguzi Wasitisha Mgomo wa Siku 41 Baada ya Makubaliano na Magavana

    Wauguzi Wasitisha Muungano wa Kitaifa wa Wauguzi na Wakunga nchini (KNUNM) umesitisha mgomo wa kitaifa uliochukua siku 41, baada ya kufikia makubaliano na Baraza la Magavana (CoG). Katibu Mkuu wa KNUNM, Seth Panyako, alitangaza Jumatano, Septemba 9, 2026, kwamba mgomo ulioanza Julai 29 umefutwa...
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Ondokeni Ndani ya Saa 24”: Mkenya Akamatwa Baada ya Kuwalenga Warundi

    Mwanaume wa miaka 32 amekamatwa Nairobi baada ya kudaiwa kutoa matamshi yaliyowalenga raia wa Burundi wanaoishi na kufanya kazi Kenya, katika kipindi ambacho mjadala kuhusu wafanyabiashara wa kigeni tayari umeibua hofu miongoni mwa baadhi ya wahamiaji. Kwa mujibu wa DCI, Kevin Odiwuor Otieno...
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Baada ya Meli za Mafuta za Iran kushambuliwa na Marekani Iran yatoa ONYO tena kwa Marekani

    Kamandi Kuu ya Khatam al-Anbiya ya Iran ilionya kwamba shambulio lolote dhidi ya meli za mafuta za Iran lingesababisha mashambulizi dhidi ya kambi za Marekani kote katika eneo hilo, huku meli 3 za mafuta za Iran zikipigwa risasi karibu na pwani ya kusini ya Iran, karibu na Kisiwa cha Kharg na...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Wasanii wamfariji Rais Samia baada ya msiba

    Wasanii mbalimbali wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan, aliyefariki dunia katika...
  8. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Daktari aliyeshambuliwa na Polisi ni Specialist

    Yule Dr ni Specialist aliekua anawahi kwenda kutimiza majukumu yake ambapo Trafic alichomoa funguo ya gari yake ndipo Specialist aka react
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kaseya amfariji Rais Samia baada ya msiba

    Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Afrika cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (Afrika CDC) Dkt. Jean Kaseya akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia...
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Baada ya Emmanuel Nchimbi sasa ni zamu ya Mwigulu Nchemba

    Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Waziri Mkuu Mara ya kwanza tuliona Machawa na wanaounga mkono Wauaji wa 29.10.2025 na Wanaopenda maovu wakimuandama Emmanuel Nchimbi hadi akaitwa Yuda. Baadaye tukasikia amejiuzulu Sasa wamehamia kwa Mwigulu Nchemba. Wameanza kumuandama ili kumchafua na...
  11. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Habari ya asubuhi wakuu. Wale ambao ni watumiaji M-WEKEZA tusaidieni mawili matatu kuhusu akiba baada ya kuitumia

    Ni kweli wanakupa riba 13% kwa mwezi? Changamoto zake? UZuri wa hii huduma? Karibuni
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Wakili Johnson Johannes Kachenje asimamishwa kazi baada ya kuwasilisha hukumu zilizotengenezwa kwa AM (Akili Mnemba) AI, Mahakama Kuu, Dodoma.

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dodoma, imemsimamisha kazi ya uwakili kwa miezi sita Wakili Johnson Johannes Kachenje, baada ya kubainika kuipotosha Mahakama kwa kuwasilisha hukumu za uongo zilizotengenezwa na mfumo wa Akili Mbandikiza (Artificial Intelligence - AI). Hukumu hiyo imetolewa...
  13. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Nataka nidundulize kuweka akiba kidogo kidogo pesa na baada ya miaka mitatu ndio niichukue. Ni service gani hapa bongo itanipa riba nzuri.

    Karibuni
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Baada ya kipondo toka IDF kuzidi Magaidi wa Hamas waenda Iran kuomba msaada!!

    Iran: Ujumbe wa Hamas ukiongozwa na afisa mkuu wa Hamas Bassem Naim uliwasili Tehran kwa ziara, ambapo Naim alikutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi na Spika wa Bunge la Iran Mohammad Bagher Ghalibaf.
  15. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuandika ujumbe huu 15 Novemba 2016, hakuonekana Tena.

    Eti kwamba kama Rais Magufuli ni jasiri au la? Ni Jasiri. Nakiri Ujasiri hu sina.Muungwana hukiri asichokuwa nacho na kumkubali mwenye nacho.Kwanza ule ujasiri wa kupingana na risala ya Marehemu msibani ulikua ni uthibitisho. -Ujasiri wa kutamka ukweli kuhusu fisadi aliyekua akiibia nchi kila...
  16. aise

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufika ukweni nilichokiona

  17. Manyanza

    JamiiForums Tanzania P.Didy kutoka gerezani mapema baada ya tarehe kubadilishwa

    Rapa na mfanyabiashara wa muziki wa Marekani, Sean “Diddy” Combs, ameongezewa matumaini ya kutoka gerezani mapema baada ya tarehe yake ya kuachiwa kusogezwa mbele kwa mara nyingine. Kwa mujibu wa taarifa mpya kutoka Bureau of Prisons, Diddy ambaye anahudumu kifungo katika Federal Correctional...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania TANZIA:- Buluba James amepatikana akiwa amekufa baada ya kupotezwa/ kutekwa mwezi wa sita

    TANZIA Kwaya ya AICT Nyarugusu, wanasikitika kutangaza kifo cha Mwl Buluba James (1997-2026) Mwl Buluba alipotea tangu mwisho wa Mwezi June 2026 alipoiaga familia yake kuwa anaelekea Mkoani Morogoro kununua Kinanda(used) kwa watu aliokubaliana nao. Kinanda hiki kilikuwa ni sehemu ya...
  19. _-_-_-

    JamiiForums Tanzania Innovation Week Tanzania 2026: Baada ya Uzinduzi wa Jana JNICC, Je Tunavuka kutoka Mipango (Dira 2050) kwenda Utekelezaji?

    Wana-Jamii, Jana tarehe 31 Agosti 2026, Innovation Week Tanzania (IWTz2026) ilifunguliwa rasmi pale JNICC Dar es Salaam chini ya kaulimbiu: "From Aspirations to Transformation: Innovating Tanzania's Path to Inclusive Prosperity." Uzinduzi wa jana umeonyesha nia kubwa ya kuunganisha ubunifu wa...
  20. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Lionel Richie alazwa ICU baada ya tamasha lake

    Kwa mujibu wa TMZ, mwanamuziki mkongwe wa Marekani, Lionel Richie (77), amelazwa ICU huko St. Louis, Missouri, baada ya kufanya tamasha Agosti 29 katika Ukumbi Wa The Muny. Richie alipelekwa hospitalini kwa ajili ya vipimo, huku madaktari wakichunguza uwezekano wa upungufu wa maji mwilini...
Back
Top Bottom