The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.
Kwakifupi si Moo wala Magori, wote wanaogopa sana kipigo cha kihistoria watakachopata tarehe 12/08/2026 hivyo wameona watengeneze mgogoro ili ionekane Yanga kaifumua Simba magoli 15 - 0 kipindi Simba haijakaa sawa.
HAbari ndugu zangu nahisi kuchanganyikiwa jumatano tarehe 29 nilihukumiwa faini na kifungo cha nje miez 4 kufanya usafi pugu kata, kwa sasa maisha yamekuwa magumu kesi imenifirisi mtoto karudishwa shule sina pakushika sina msaada kila siku saa 1 mpka saa 4 kufanya usafi familia iko hoi naombeni...
Habari ndugu zangu wanajamii forum,
Nimekuja huku kuomba kujengewa uwezo na wataalam wetu mliopo katika jukwaa hili la Sheria.
Mwaka juzi nilikuja na post yangu kuomba msaada baada ya kufukuzwa kazi serikalini Kwa zengwe la kutengenezwa.
Ninashukuru Kwa yote, mambo yalienda sawa nikaja...
Aachiwe huru mara moja na kisha akamatwe tena hapo hapo baada ya kesi kufunguliwa upya, ili hatimae ushahidi mpya utumike katika kumtia hatiani na apewa haki anayostahili kama watuhumiwa wa uhaini wengine duniani.
Hii itasaidia sana kutokuingilia uhuru na maamuzi ya mahakama za Tanzania, lakini...
baada
hapo
huru
kesi
kufunguliwa
kukamatwa
kwa mujibu wa sheria
lisu
mashtaka
mpya
mujibu wa sheria
napendekeza
nyongeza
sheria
tena
tundu
tundu lisu
upya
ushahidi
Nikiwa muumini wa Mungu, naiomba Serikali iangalie upya mfumo wa usajili na usimamizi wa baadhi ya makanisa. Badala ya kuwa sehemu ya kutatua changamoto za jamii, baadhi yamekuwa kero kutokana na kufanya mikesha kwa kutumia sauti kubwa zinazowanyima wananchi usingizi.
Hali hii imekuwa...
Baada ya kuona mambo yamebadilika na wafadhili wao wakikumbwa na changamoto za kifedha, Hamas sasa wanaonekana kulegeza msimamo. Afisa wa kundi hilo anayehusika na mazungumzo, Ghazi Hamad, amesema Hamas ipo tayari kukabidhi silaha zake kwa Kamati ya Kitaifa ya Palestina, chombo kinachopendekezwa...
Natumia nafasi hii kutoa mrejesho wa hoja iliyowasilishwa jukwaani kuhusu kero zilizokuwa zikijitokeza kufuatia kusitishwa kwa huduma za vyoo katika Kituo cha Mwendokasi Kivukoni.
Baada ya zoezi la ukarabati, nimebaini kuwa huduma zimerejea katika hali nzuri. Miundombinu imekarabatiwa, na kwa...
Anonymous
Thread
baada
huduma
katika
kituo
kituo cha mwendokasi
kivukoni
kusitishwa
mmoja
mwaka
mwaka mmoja
mwendokasi
mwendokasi kivukoni
vyoo
Zanzibar walifanya mazungumzo yao chini ya Wazanzibari.
Hakutakuwa na maridhiano ya Tanzania, hadi Watanganyika tutakapo ridhiana kwanza.
Wazanzibari lazima wajue ni wakati wa kurudi kwao, siku kadhaa zijazo itabidi tutumie kitabu cha Rwanda, kuidai Tanganyika.
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa ODM, Edwin Sifuna, alipata uungwaji mkono wa kipekee wakati wa kampeni zake Kimilili baada ya wakazi kujitokeza kwa hiari na kumchangia fedha hadharani katika mkutano wa kisiasa.
Kwenye video iliyosambaa mtandaoni, wananchi wanaonekana wakisogea mmoja baada ya mwingine...
Mwalimu mmoja wa Naivasha ameripotiwa kufariki kwa kujitoa uhai katika tukio linalodaiwa kuhusishwa na kupoteza Sh40,000 kupitia kamari ya michezo.
Kwa mujibu wa Mkuu wa Upelelezi wa Jinai (DCIO) wa Naivasha, Isaac Kiama, fedha hizo zilikuwa zimetengwa kugharamia safari ya wanafunzi ya mwisho wa...
Kwako Dr Emmanuel Nchimbi;
Nimechukua muda kutafakari uliyoyasema nchimbie lakini sasa acha nikujibu:
Leo umeonyesha uungwana kwa maneno maana umesema kuwa uanaharakati si uhasama - na ulinitaja kabisa pamoja na kwamba ninajua kuwa jina langu akilisikia kimama chenu hukasirika ile mbaya - so...
Sina zaidi la kueleza maana mada za Nchimbi jukwaani ni nyingi.
Je, kibano cha mabeberu kinafanya kazi yake na watu wanfikiri sawasawa sasa?
At any rate , hata Mwalimu mwaka 1977 aliwahi kusema TUJUSAHIHISHE, kama msimamo wa TANU/CCM.
Ndugu zangu Watanzania,
Nimewaona na kuonyeshwa Ma Rais 5 Watakaofuatia na kuongoza Taifa letu baada ya Kumaliza Muhula wake Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Hapo 2030.
Ni viongozi Wachapakazi ,wazalendo ,waadilifu ,wacha Mungu na wenye Dhamira ya kweli na Dhati...
Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mheshimiwa Abdel Fattah El-Sisi, amehitimisha ziara yake ya Kitaifa ya siku moja nchini Tanzania Julai 18, 2026.
Akiwa nchini Mhe. El-Sisi amekutana na mwenyeji wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na kufanya mazungumzo...
Wanajeshi wawili waliokuwa wanatumikia jeshi la Marekani chini Jordan, wameuwawa kwa makombora ya balistiki ya Iran yaliyovurumishwa usiku wa jana kwenye kambi kadhaa za Marekani
Mmoja wa wanajeshi hao haonekani alipo mpaka muda huu
Ikumbukwe, jeshi la ulinzi la Jordan ilisema lilifanikiwa...
Nilikuwa nimemwelewa single mother flani yupo tunduma, so mara kazaa nilikuwa napita mtaani kwake karibu na ofisi yake anakojumlisha viazi .
Ukizingatia umri wangu umeenda soon naikuta 40, umri niliopanga kuoa ,nilitokea kuvutiwa na yule Binti ambaye age yake 25, basi nikaomba mahusiano ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.