The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.
Ijumaa ilopita Iran wamezungumza na shirikisho la kandanda Duniani FIFA kuomba kuhamisha timu yake ta taifa ya kandanda na maofisa wote wanoandamana na timu hiyo nchini Mexico, baada ya kukikiri kuwa wachezaji karibu wote wamepitia mafunzo maalum kutoka jeshi maalum la mapinduzi la Iran maarufu...
Hii chupa ya dripu ina nusu lita ya kimiminika aina ya ‘maji’. Lebo hapo inasema "0.9% w/v" Sodium Chloride (chumvi). Kwa kifupi, maana yake ni kwamba 99.1% ya hii chupa ni maji. Kwenye hii dripu ya 500 ml, kuna gram 4.5 ya chumvi. Kilichobaki 495ml ni maji.
Haya maji yamekuja kutoka India kwa...
OW-TAMISEMI wanatumia vigezo gani kuhamisha mishahara na taarifa za utumishi?
Kama wanataka rushwa waseme ili niwatumie wanihamishie taarifa zangu, haiwezekani mwaka wa pili huu tangu nihamie halmashauri nyingine lakini taarifa na mshahara zinasoma halmashauri nilikotoka hii siyo sawa...
Anonymous
Thread
baada
halmashauri
kuhama
kutoka
kwenda
moja
mshahara
nyingine
Hili ni kokoro linasomba yeyote yule.
Maisha ya Ajabu sana. Leo hii Selasini aliyekaribishwa na Mbatia NCCR alimtimua Mbatia aaliyemkaribisha baada ya kutumiwa na TISS. Huyu pia alitumika kudhoofisha NCCR ya akina Mabere / Mrema miaka ya 1990s
Selasini ni bingwa wa siasa za majungu, unafiki na...
Trump alijua vita ya Iran itamuongezea points na MAGA wenzake kuelekea uchaguzi wa wabunge na magavana mwezi Novemba. Kilichotokea ni amepoteza points nyingi.
Sasa juzi serikali yake imemfungulia mashtaka Raul Castro kwamba mwaka 1996 akiwa waziri wa ulinzi kwenye serikali ya Fidel Castro...
mimi ni mkristo nishaamuaga sifanyi maombi yoyote sijui kuombea taifa sijui kuombea mambo mbalimbali mara kulia sijui kunena kwa lugha sijui kusali rozali mimi huwa nasali sala moja tu..ya baba yetu uliye mbinguni na huwa nasubiri ifike saa fulani kamili..07;00,08;00 n.k kwa hiyo kwa siku...
Kwenye Video hapo chini usiku wa kuamkia leo Kikosi kizima cha Arsenal kilikuwa Kwenye chumba uwanjani kwao Emirates wakifuatilia mubashara mechi kati ya City na Bournemouth.
Unaweza kumuona Martinelli akikata tamaa baada ya Haarland kusawazisha goli.
Lakini baada ya kipenga cha mwisho ni...
Arsenal imetwaa ubingwa wa Premier League 2025/26 baada ya Manchester City kulazimishwa sare ya Goli 1-1 kutoka kwa Bournemouth, matokeo hayo yanamaanisha hakuna timu itakayoweza kufikia alama za Arsenal na zote zikiwa zimesaliwa na mchezo mmoja.
Hadi sasa Arsenal ina pointi 82, Man City ni ya...
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Petroli nchini Kenya (EPRA) imetangaza marekebisho mapya ya bei za mafuta, Katika mapitio hayo, bei ya dizeli imepunguzwa kwa Sh10.06 kwa lita, huku mafuta ya taa yakiongezeka kwa Sh38.60 kwa lita, wakati bei ya Super Petrol ikibaki bila mabadiliko. Mabadiliko...
Mamlaka ya Kudhibiti Nishati na Petroli nchini Kenya (EPRA) imetangaza kupunguza bei ya dizeli kwa Shilingi za Kenya 10.06 kwa lita baada ya shinikizo kutoka kwa waendeshaji wa sekta ya usafiri waliopinga ongezeko kubwa la bei ya mafuta.
Katika mapitio mapya yaliyotangazwa Jumatatu jioni, bei...
Wakazi wa Faza, Lamu East bado wako kwa shock baada ya msiba wa kutisha kutokea ndani ya msikiti mchana kweupe. Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 33, anayejulikana kama Khalid Maka, aliuawa kwa kuchomwa kisu akiwa ndani ya Faza Jamia Mosque wakati wa swala.
According to taarifa za polisi...
Wakati tunaanza na kumpatia uhakika wa huduma alikuwa anatoa ushirikiano nzuri tu kunipatia sifa kedekede za 'uhandsome'. Leo, baada ya kuyafikia malengo yake kwa asilimia kubwa, amenizingua kwa kauli kama hiyo. Nimfanyie uhuni gani.
Nje ya mada; hivi miaka 40+ unaweza kumpata bint wa 2005 kuja...
Hii ni picha ya makatibu wa kwanza baada ya nchi yetu kuwa jamhuri mwaka1962.
Katika picha hii walikuwa wamebaki watatu waliohai kabla ya kufariki dunia Paul Sozigwa aliye wa pili kulia msitari wa pili.
Tunao waombea mmaisha zaidi ni fredrick mchauru 97yrs aliye wa pili kushoto mstari wa pili...
Baada ya Fortunatus Buyobe kuanikwa nina hofu na wasiwasi pia na askofu Bagonza.
In your life don't trust anyone even your own shadow you'll survive. Always seek divine guidance.
adriz de mbusii
Ni feeling Gani unaipata baada ya kupima HIV na kukuta upo salama yaani Negative? Hasa baada ya kushiriki tendo bila Kinga, kupata wasiwasi hasa baada ya kuwa na mgogoro wa kiafaya kama kupata homa za mara Kwa mara, tumbo kusumbua na uchovu?
Wadau, au nikapime mara ya pili maana baada ya...
Kaa chini kwa dakika chache na utafakari maisha.
Fikiria watu uliowahi kuwaona wakifanikiwa sana — leo hawapo tena.
Fikiria wafanyabiashara waliotikisa miji kwa utajiri wao — leo majina yao hayasikiki.
Fikiria kampuni zilizokuwa kubwa, maduka yaliyokuwa yamejaa watu, biashara zilizokuwa...
Mwanamke kukuacha wakati wa struggles inaweza kueleweka.
Lakini kumrudisha baada ya wewe kusimama tena — hiyo inaweza kuwa kujisaliti mwenyewe.
Wapo wanawake ambao hawawezi kuvumilia kipindi kigumu cha mwanaume.
Kipindi cha kujijenga.
Kipindi cha uncertainty.
Kipindi ambacho maisha bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.