baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Mwajiri kwenye Utumishi wa Umma atakubali cheti changu cha elimu ya juu nilichokificha

    MTU ANAHITAJI MSAADA WA MAWAZO, NA CASE YAKE NI KAMA ILIVYO HAPA Kama nilimaliza Degree yangu 2014, kisha mwaka 2016 nikasoma kozi ngazi ya cheti, na mwaka 2019 nikatumia elimu ngazi ya cheti kuomba kazi kupitia sekretariate ya Ajira, nikafaulu ule usaili na kupata kazi, na sasa nalipwa kama...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya Wabunge hawaonekani kwenye majimbo yao baada ya uchaguzi?

    Mara nyingi sana binadamu huwa ana tabia ya kusahau. Nyakati zote za uchaguzi mkuu wagombea huwa wanyeyekevu kupita kiasi, lakini mara baada ya kushinda uchaguzi ni nadra sana wabunge kuonekana. Kwenye Majimbo yao wakishiriki kufanya shughuli za kimaendeleo kwenye majimbo yao.
  3. JamiiForums Tanzania Arusha: Ashikiliwa na Polisi kwa kumuua kaka yake kwa kumzuia kumwingilia shemeji yake kimwili

    Jeshi la polisi mkoani Arusha linamshikilia Melita Ndaletyan, mfugaji na mkazi wa Noondoto wilayani Longido, baada ya kumuuwa kwa kumkata na kitu chenye ncha kali shingoni Kaka yake Kiseri Ndaletyan, baada ya mtuhumiwa kuzuiliwa kumuingilia kimwili mke wa kaka yake huyo. ==== Mwanaume...
  4. JamiiForums Tanzania Rose Mayemba, Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Njombe akamatwa na kuhojiwa na Jeshi la Polisi. Aachiwa kwa dhamana

    Yaani tunataka kweli kurudi kule kule? ---- Update: 1 JamiiForums imezungumza na RPC Mkoa wa Njombe na amethibitisha kuwa Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Njombe Rose Mayemba amekamatwa kwa Mahojiano zaidi baada ya kuweka ujumbe kwenye mtandao wa kijamii uliomhusisha Rais. RPC amesema kuwa kosa lake...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Utafiti binafsi: Baada ya miaka michache hakutakuwa na mwanamke mweusi hapa Tanzania

    Asilimia 50 ya Dar peke yake tiyari wanawake wameanza kugeuka rangi na kuwa weupe, inasemekana inasababishwa na mabadiliko ya hali ya hewa na sasa hata nywele zao zimeanza kubadilika na kuwa kama mvi au za kizungu. Wengine wanakuwa zimewabadilika na kuwa kama za kihindi au kizungu ni nadra kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Msikubali wanaotaka kuanzisha chokochoko, pakichafuka ni wewe utakayekaa ndani

    Rais Samia amewataka wananchi wa Morogoro wasikubali chokochoko zinazoanzishwa na baadhi ya watu. Amesema hao wanaotaka kuanzisha vurugu wameshaandaa na wanajua watakavyojitibia ikitokea wamepata madhara. Amewataka wananchi kutokubali na kutunza amani iliyopo. Amesema hayo akiwa Morogoro kwa...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya ng'ombe toka Kenya sasa Wakenya wanaleta ng'amia

    MY TAKE Hawa wapumbavu wakiachwa watasababisha migogoro kati ya Wakulima na Wafugaji imagine ngamia 89 wanaswagwa kwa njia za vichochoro! Hii si mgogoro unatafutwa kwa mazao ya wakulima? Ni vizuri uhamiaji wameingilia kati, wacha mahakama iamue hili!
  8. JamiiForums Tanzania Ajali: Ndege yaua watu 28 baada ya kuangukia Baharini Urusi

    Ndege ya Urusi iliyowabeba Watu 28 imepoteza mawasiliano leo na kuangukia Baharini umbali wa KM 15 hadi 25 kutoka Airport na taarifa zinadai Watu wote 28 waliokuwa kwenye ndege hiyo wamefariki Dunia. Aidha, inaelezwa kuwa Ndege hiyo yenye namba RA-26085 ilibeba abiria 22 pamoja na wafanyakazi...
  9. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Mali matatani akihusishwa na tukio la kutoweka kwa mwandishi 2016

    PICHA: Karim Keita Mtoto wa Rais wa zamani wa Mali Shirika la Interpol limetoa hati ya kimataifa ya kumkamata Karim Keita, mtoto wa rais wa zamani wa Mali, Ibrahim Boubacar Keita, akihusishwa na tukio la mwaka 2016 la kutoweka kwa mwandishi wa habari za uchunguzi, watu walio katika duru za...
  10. JamiiForums Tanzania Milango ya kibiashara yafunguka Kenya na Tanzania baada ya kuondolewa kwa vikwazo

    Kuondolewa kwa Vikwazo 30 Kati ya 64 vya kibiashara baina ya nchi ya Tanzania na Kenya, kumechangia kufunguka kwa milango ya kibiashara katika Mpaka wa Namanga. Mkuu wa Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha, Nurudin Babu. Hata hivyo, Mkuu wa Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha, Nurudin Babu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Katiba Mpya: Hoja ya Rais Samia haina mashiko

    Rais Samia anasema eti suala la kipaumbele kwake ni uchumi kwanza halafu mambo ya katiba mpya ni ya baadae huko mbeleni. Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, hoja ya Katiba Mpya ni hoja nyeti, ni suala muhimu sana na haliwezi kuwa option ya pili katika mambo yanayopaswa kufanyika nchini kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kibonzo: Baada ya siku 100, mama hataki kubalisha Tairi (katiba mpya) anasubiri tufike kwanza

  13. JamiiForums Tanzania Kuna hali ya kukata tamaa kwa vijana baada ya ajira mpya za walimu

    Baada ya ajira za ualimu kutangazwa vijana wengi wameonekana kukata tamaa huku mioyo yao ikifunikwa na wingu nzito la huzuni na majonzi yasiyoelezeka. Miongoni mwa mambo yaliyochangia vijana kukata tamaa ni pamoja na Tamisemi kutumia suala la umri kama kipaumbele cha ajira. Kama tunavyofahamu...
  14. JamiiForums Tanzania Baada ya Mdude Nyagali kutoka, sasa waliomtesa wafunguliwe mashtaka

    1. Waliohusika kumkamata wafunguliwe mashtaka. 2. Waliomtesa wafunguliwe mashtaka. Tatizo kubwa la Watanzani wengi wana short term vision. Tayari wamesharidhika. Mdude asaidiwe waliomtendea huyo Unyama wote wafunguliwe mashtaka. Wasiachwe hivi hivi. Ili next time wanapotakwa kufanya huo unyama...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

    Leo Juni 28, 2021 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemuachia huru Mdude Nyagali baada ya kutomkuta na hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kusafirisha madawa ya kulevya. Mpaluka Mdude Nyagali alikabiliwa na shtaka la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin gramu 23.4 mwaka 2020. Mdude...
  16. JamiiForums Tanzania DR Congo: Mji wa Beni wawatangazia wakazi wake kubaki nyumbani kwa muda 'curfew' baada ya mabomu mawili kulipuka ndani ya siku moja

    Mamlaka katika Mji wa Beni zimetangaza utaratibu wa wakazi kubaki nyumbani katika muda utakaopangwa (curfew) baada ya mabomu mawili kulipuka Jumapili ya Juni 27, 2021. Bomu la kwanza lililipuka Kanisani na kujeruhi wawili na saa chache baadaye bomu la kujitoa muhanga lililipuka nje ya baa. Mji...
  17. JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya kujiendeleza kwa degree baada ya ordinary diploma ya clinical medicine au kuanza na kufanya kaz kwa miaka kadhaa ndio ujiendeleze na

    Habar zenu Ningeomba ushaur hapo wakuu kuwa n vyema kuanza kaz baada ya diploma ya clinical medicine alaf ndio ujiendeleze au kujiendeleza immediately after diploma of clinical medicine
  18. N

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Zahanati yafungwa baada ya Muuguzi aliekuepo kupata ujauzito wananchi wahaha kupata huduma!

    Uvinza. Wakazi wa kijiji cha Chakulu, kata ya Uvinza wilayanii Uvinza wamelalamika kukosa huduma za afya baada ya zahanati wanayoitegemea kufungwa kwa zaidi wiki moja, hali inayosababisha usumbufu kwa wananchi. Hatua hiyo imekuja baada ya zahanati hiyo kuwa na wahudumu wa afya wawili, huku...
  19. JamiiForums Tanzania Jiwe baada ya Jiwe: BASATA isipoingilia hii vita ya hizi lebo 3 Wasanii wengine 3 watasahaulika

    Naona kina baraka prince, Nay wa mitego na wengine wmetoa kazi zao ila kwa hizi fujo zinazofanywa na WCB, Konde ganf na kiba wasanii wengine wanapata wakati mgumu sana kuvuma. Rapcha kutoka bongo records alivuma na Lisa ila hii vita ya vigogo ilipoanza katupwa
  20. JamiiForums Tanzania Je, unadhani Mashabiki 'Oya Oya' wa Yanga SC baada ya Mechi ya Simba SC na Azam FC leo walitakiwa walaumu lipi kati ya haya yafuatayo?

    a ) Rafu mbaya sana na ya Kikatili mno aliyochezewa Luis Miquissone wa Simba SC na Beki Mpuuzi Mghana wa Azam FC ambayo si tu ingemjeruhi vibaya bali ingeweza hata Kuhatarisha Uhai wake na cha Kushangaza Mwamuzi hakumpa upesi Kadi Nyekundu na akaishia tu kumpa ya Njano huku Mchezaji Mcheza Rafu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…