DR Congo: Mji wa Beni wawatangazia wakazi wake kubaki nyumbani kwa muda 'curfew' baada ya mabomu mawili kulipuka ndani ya siku moja

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Mamlaka katika Mji wa Beni zimetangaza utaratibu wa wakazi kubaki nyumbani katika muda utakaopangwa (curfew) baada ya mabomu mawili kulipuka Jumapili ya Juni 27, 2021.

Bomu la kwanza lililipuka Kanisani na kujeruhi wawili na saa chache baadaye bomu la kujitoa muhanga lililipuka nje ya baa. Mji wa Beni ambao upo katika Jimbo la Kivu Kaskazini uliweka chini ya uangalizi ili kudhibiti ghasia za waasi.

=====

People in the Democratic Republic of the Congo’s city of Beni have woken up to a curfew on Monday after three bombs rocked the east of the country, with authorities warning they had reports more attacks were being planned.

On Sunday morning, a makeshift bomb went off in a Catholic church in the city, injuring two women, followed just hours later by a suicide bombing outside a bar.

A day earlier, a bomb exploded next to a petrol station on the outskirts of Beni without causing any damage.

Beni is in the North Kivu province, one of two regions President Felix Tshisekedi placed under a “state of siege” on May 6 in a bid to clamp down on rebel violence in the region.

“I don’t want to see anyone in the street,” Beni Mayor Narcisse Muteba said late on Sunday as he announced the curfew.

“Everyone should go inside because we have information that something else is being planned.”

The church attack on Sunday marked the first time a Catholic building has been targeted in the area, which has been beset by rising violence from the Allied Democratic Forces (ADF) rebel group, which has carried out a string of massacres in the last 18 months.

“I want to see only police and soldiers in the streets,” Muteba, who is also a police colonel, said as he announced the curfew.

The attack at the church took place just an hour before a children’s confirmation ceremony was due to be held.

Traces of blood could be seen at the church entrance in the aftermath of the explosion, while shards of glass were scattered inside and the sound equipment destroyed.

“I had just entered the church, I hadn’t even managed to sit down, I heard ‘boom’ … blood started flowing from my mouth,” Antoinette Kavira, one of the injured women, told the AFP news agency from her hospital bed.

“I lost four teeth and my arms were injured.”

The second victim was still in shock after being wounded in the leg.

Just hours later, the suicide bomb attack happened outside a bar.

The ADF is the deadliest of an estimated 122 armed groups that roam the mineral-rich east of the DRC, many of them a legacy of two regional wars that ran from 1996 to 2003.

It is historically a Ugandan group that has holed up in the eastern DRC since 1995. In March, the United States said the group was linked to ISIL (ISIS).

Source: Al-Jazeera
 
Wanao vuruga amani nchini DRC ni mjirani zake, kutokana na ajenda zao za siri kuhusu baadhi ya mikoa ya kasikazini mashariki mwa Congo DRC - Umoja wa Mataifa husipo kuwa makini ku-address suala hili kwa kuwapa onyo kali wahusika wa mgogoro huu wenye lengo la kutaka kumega majimbo yote ya KIVU - wasipo kemewa na kupewa onyo Kali basis tujae tukijua kwamba mgogoro/mapigano ndani ya kasikazini mashariki mwa Congo DRC hayata isha miaka nenda miaka rudi, labda yatokee mabadiriko ya kiuongozi kwenye nchi jirani za Congo DRC zinazo julikana kuchochea migogoro.

Si hilo tu hata baadhi ya nchi zinazo changia wanajeshi katika kikosi cha jeshi la Umoja wa Mataifa baadhi ya makamanda wao nao wanajiingiza katika biashara haramu ya kutorosha madini adimu na mazao ya misitu specifically mbao na magogo - As I said, makamanda wa jeshi la UN nao wana waiiga majirani wa DRC ku plunder mali asili za Congo DRC.
 
Ngoja USA, akawasaidie huko, kwani uzuri wa mzungu hataki unafiki, na yeye ndio atawaongoza nini cha kufanya, vita ya DRC, wala sio ngumu ni basi tu kutokana na watu kufaidika nayo!!!hayo majeshi ya MONUSCO, ni kama waangalizi tu, ila wakipewa majukumu yao kama inavyotakiwa watafanya kazi!!!
 
Back
Top Bottom