Kibonzo: Baada ya siku 100, mama hataki kubalisha Tairi (katiba mpya) anasubiri tufike kwanza

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
1625057446200.png
 
Sijui huyo Fundi atakula wapi maana anatarajia kupata chochote akishabadili hilo tairi
 
Ukweli ni kuwa hakuna safari hapo na matokeo yake abiria watashuka kuungana na fundi.
Wakati akihutubia kwa Mara ya kwanza akiwa Rais alisikika akisema watu waangalie mbele kwa matumaini, ila kwa kuja na kauli za kusubirisubiri mie naona kama matumaini ya katiba mpya hayapo hivi. Ingawa kama kuna jambo historia ingemkumbuka ni kuimarisha hiyo katiba. Maana Bila hiyo katiba ambayo wengine walikaa chini bila kuahirisha, kwayo yeye imemruhusu akawa Rais.
 
Haya ni maoni ya mchoraji/mwanafasihi

Turudi kwenye uhalisia, je ni kweli tukibadili katiba ndo tutafika?
 
Hivi hilo Tairi si ndio limetufikisha hapa..., kwa ninavyofahamu wamiliki wa hilo gari hata uwape tairi jipya hawatalitumia..., na hata ukibadilisha gari wataliweka garage na kuendelea kutumia hilo hilo (ukizingatia abira wanasikiliza / watasikiliza chochote dereva anasema)...
 
Ni fundi tu ndiye anaewaza kubadilisha tairi lakini dereva na abiria hawawazi hilo.
Sisi wengine tulitahadharisha mapema kuwa like her predecessors, huyu naye hana jipya atakaloleta. Wengi tuliotahadharisha tuliitwa MATAGA, hata kama the late JPM tulikuwa tukipinga mambo yake kwa sauti. Tuliwatahadharisha watu kuwa waache kuwa wasahaulifu. These are just sparks, consuming flames are underway in the tunnel
 
Back
Top Bottom