Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,219
- 79,511
MY TAKE
Hawa wapumbavu wakiachwa watasababisha migogoro kati ya Wakulima na Wafugaji imagine ngamia 89 wanaswagwa kwa njia za vichochoro! Hii si mgogoro unatafutwa kwa mazao ya wakulima? Ni vizuri uhamiaji wameingilia kati, wacha mahakama iamue hili!