baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia, baada ya madarasa kituo kinachofuata kiwe vifaa tiba vya msingi kama mashine za Ultrasound, Haematology, Analyserachine na X-ray

    Kukosekana kwa vifaa hivi kwenye vituo vya afya vingi imekuwa changamoto kubwa kwa matibabu Ushauri baada ya kufanya vizur kwenye madarasa sasa nguvu ihamishie huko pia kuna vituo vingi vikubwa vya afya vyenye hadhi ya kuwa na vipimo hivyo lakini havina hali inayo pelekea wangonjwa kusafiri 20...
  2. JamiiForums Tanzania Ilani za uchaguzi za vyama vya siasa zinaweza kubadilishwa baada ya kupewa ridhaa ya kutawala?

    Wajuzi wa siasa na sheria tujuzeni katika hili tujuwe na tuchukuwe tahadhali siku zijazo. Nawasilisha kwa mwongo wenu
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi Imekua rahisi sana kufanya tendo na mpenzi wako muda mfupi tu baada ya kuwa wapenzi?

    Habarini! Najiuliza sana hili swali nashindwa kupata Majibu kulikoni sasahivi imekua very easy kufanya Mapenzi na mpenzi wako mpya yaani anaweza akakubali asubuhi, mchana akaja mkafanya yenu. Au akakubali leo kesho akaja, hii imeletwa na nini? Kitambo kidogo ilikuwa hadi mkae muaminiane...
  4. JamiiForums Tanzania TANZIA Pemba: Watu 9 wafariki dunia baada ya boti kuzama baharini. Zoezi la uokoaji kuendelea asubuhi

    Watu 9 wamefariki dunia na wengine 6 kuokolewa wakiwa hai baada ya boti kuzama baharini Kisiwani Pemba wakati watu hao wakitokea Chakechake kwenda kisiwa cha Panza kwenye shughuli za mazishi. Zoezi la uokozi limesitishwa usiku na litaendelea Januari 5, 2022 asubuhi. Shahidi katika tukio hilo...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya Rais Samia kusifia matusi ya Wenyeviti wa Mikoa, sasa tutarajie yafuatayo

    To declare my interest mi siyo mwanasiasa ila nafuatilia siasa hasa vituko vya JOB pale mjengoni. Tangu awamu ya tano ilivyopita ambayo ilijaa KUSIFU NA KUABUDU kwingi ili upate kacheo,Sasa wanaCCM wote walikuwa kimya kupima mama anataka nini ili akuteue. Hotuba yake leo imeonesha wazi kitu...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya maneno haya ya Rais Samia, kama ni timamu, je, tumshauri to do "The needful?" au akomae nao, till they do him away?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la ma GT, hivyo hatutataji majina na naomba usitaje jina lolote!. Hatua ya kwanza ni sikiliza kauli hii Hivi hata baada ya kauli kama hii, kama wewe ni mtu mzima na akili zako timamu, bado unasubiri nini to do the right thing, the needful?. Swali ni jee tumshauri...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yarejea mauzo ya mifugo Oman baada ya miaka 16, hivi karibuni hii itafanya na bandari ya Lamu

    Lengo ni kufiksha mifugo 500,000 kwa mwaka Kenya on Monday resumed direct export of livestock to Oman after more than 16 years ban. A ship carrying more than 14,000 goats and sheep from different livestock keeping zones left Mombasa port on Monday afternoon to Salalah Port, Oman, as the two...
  8. JamiiForums Tanzania Aliniacha baada ya kugundua namiliki bastola

    Miaka kadhaa iliyopita kabla sijafulia nikiwa kwenye kilele cha ukwasi niliopoa binti mmoja mtoto mzuri sana ila mpekupeku.wale wanawake ukienda bafuni unakuta kaishasoma sms zako zote na kaishakusachi,wale ukilala anachukua kidole chako anaweka kwenye simu ili kufungua biometric password,demu...
  9. JamiiForums Tanzania Hayo magari yalikuwa ya nani na kwanini baada ya ufichuzi ule aliyekuwa Katibu wa chama kile aliandika barua ya kujiuzulu?!

    Hayo magari yalikuwa ya nani?! Kwa nini TRA ilitishwa kwamba ni ya ofisi ya Rais ilhali anuani haikuwa siyo?! Kwa nini Kamishna wa TRA wakati ule aligwaya kuchukua hatua?! Kwa nini Ikulu ya 2015 haikuchua hatua za kuyakana magari yale kwa kuingizwa nchini kwa ulaghai ni ya Ofisi ya Rais...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Issue kubwa ni watu kutaka kutimiza ndoto zao za urais 2025 baada ya Mwendazake kuondoka

    Yatasemwa mengi na mtasikia mengi, ila issue kubwa ni watu kuutaka urais wa nchi hii mwaka 2025. Wakati Magu yuko hai, walikosa ujasiri wa kuonyesha hadharani mtatamani yao na kwa Mama, bado hawajaanza, ila ili wapate hiyo fursa(waanze) ni lazima Mama asigombee (bahati mbaya alishasema...
  11. JamiiForums Tanzania Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika

    Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika Joyce anaonekana mwanamke anayejali sana pale anapopenda, ila huwa kile kinachotokea baadae huwa nje uwezo wake. Sababu ya uwazi wake Mahusiano yanapoanza kuyumba huwa hakuna siri. Na sio kwamba...
  12. JamiiForums Tanzania CCM msiompenda Mama Samia, mlitaka nani awe Rais baada ya Hayati Magufuli kufariki?

    Ninashangaa kuona kuna vikundi vya kijinga ndani ya chama changu cha CCM vinajifanya kua wajuaji sana na kwa wao ndio wanaojua sana nchi kwakua walikua sehemu ya utawala wa awamu ya 5. Vigenge hivi vinajifanya kua active kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali ya awamu ya 6, utafikiri mama...
  13. JamiiForums Tanzania Njia nzuri ya ku move on baada ya kuachana na umpendaye

    Wakuu habarini za wakati na poleni kwa majukumu ya kila siku, Iko hivi suala la break ups, usaliti na maumivu ya kimapenzi limekua suala linalosumbua takriban watu wengi sana katika mahusiano now days. Watu ku move on toka kwenye mahusiano yanayotatiza pia limekua kipengele kigumu sana kwa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenendo huu Diamond tutamsahau baada ya miaka miwili ijayo

    Nikiwa kama shabiki kindaki ndaki wa Diamond Platnumz since kamwambie hadi leo hii, nauona mwisho wa msanii huyu kuwa hauko mbali. Diamond wa miaka miwili iliyopita siyo huyu wa sasa. Kila analogusa linaangukia pua skendo zake, kiki, na vitu vingi vya kimaendeleo hiviwi kama ilivokuwa mwanzo...
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya Ushindi wa 'Nibebe Nibebe' wa Jana 'Kwa Mkapa' Mchambuzi Mahiri wa EFM & TvE Oscar Oscar ana Ujumbe wenu huu mzuri

    "Hatimaye tumeshuhudia Ushindi wa Mchongo kwa mara ya kwanza tangu tusherekee Christmas" Oscar Oscar. Tafadhali namuombea Ulinzi mkubwa.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hivi baada ya wamachinga kufikuzwa mwenge wadada mnanunua wapi viatu vikali?

    Marry Christmas to you all, Sina mengii Ila napenda kufahamu baaada ya wamachinga kufukuzwa eneo la mwenge ,ni wapi wadada wanapata now viatu ,maana Mimi mwenge ndio Ilikuwa sehemu yangu pendwa
  17. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mbowe, Jumapili ya kwanza baada ya kutoka Mahabusu/Jela, itumie kushiriki Ibada katika kanisa la Mzee wa Upako

    Pamoja na mapungufu yake yote, Mzee wa Upako ni mmoja wa viongozi wachache wa dini waliojitokeza hadharani kukemea kitendo cha wewe kuwekwa ndani bila kujali gharama anayoweza kulipa kwa uamuzi wake huo. Hivyo, Mheshimiwa Mbowe, katika kuonyesha shukrani zako kwa vitendo, nakushauri Jumapili...
  18. JamiiForums Tanzania Askari aliyekataa Rushwa na Milioni 10, ashushwa cheo, ni baada ya kukataa kwenda kozi

    Salaam Wakuu, Askari Meshack Samson aliyekataa Rushwa ya Mil 10, ameshushwa cho baada ya kukataa kwenda Kozi baada ya kupandishwa cheo.
  19. P

    JamiiForums Tanzania Je, ni upepo tu au itakuwa upepo baada ya upepo?

    Eneo lote huku ukanda wa pwani, ni karibu kila familia inauguza, kama sio kila mtu kuugua Mafia iliyochanganyika na homa, kchwa, kiuno n.k Kila mtu ukimsalimu anasema anajisikia homa, sijui kichwa, sijui mwili umechoka n.k Kwanza kabisa nadecrea interest kuwa, Mimi si mwanasayansi na sjasomea...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya kugundua jinsi Kijana alivyowafanyia wazazi wake, nimelia sana. Kwanini lakini mtu afanye hivi?

    Huyu ni kijana mdogo dereva wetu hapa ofisini. of course yeye ndo huwa ananiendesha maana alipata mafunzo ya udereva marekani na kuwa anaendesha mabalozi wa marekani n.k sasa tupo naye kazini mwezi wa tano sasa. juzi akawa anasema kuwa baba yake anaumwa mafua makali na kikohozi nikamuuliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…