Miki123
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 288
- 502
Dunia ina double standard sana.
Hivi karibuni USA ilitoa tenda Kwa nchi ya Australia kuunda Submarine Nuclear na Korea Kusini wanafanya jaribio la kombola kutoka kwenye nyambizi.
Mpaka sasa ni nchi kama Saba zinazoweza kuunda Aina hii ya nyuklia.
USA haikufahamu kuwa Korea Kaskazini ina uwezo wa kuunda nuclear submarine.
Na kuthibitisha kuwa nchi ya Kim Jung Un ina hiyo technolojia muda mrefu, Jana Korea Kaskazini imefanya jaribio la kombola la nyuklia kutokea kwenye nyambizi.
Hili limewashtua USA, Japan na Korea Kusini. Cha kushangaza USA na UK wanaunda Aina hii nyuklia na Korea Kusini pia wamefanikiwa jaribio.
Hawa kwao ni Sawa na maendeleo ya teknolojia Ila Taifa jingine likifanya wanaonekana washari.
Wataalamu wa silaha za nyuklia wanasema submarine Nuclear ni ngumu kulitrack.

N.Korea confirms submarine launch of new ballistic missile
North Korea test-fired a new, smaller ballistic missile from a submarine, state media confirmed on Wednesday, a move that analysts said could be aimed at more quickly fielding an operational missile submarine.
www.reuters.com