azam

  1. JamiiForums Tanzania Nauza king'amuzi cha Azam cha antenna kwa 70,000/=

    Receiver ya azam
  2. JamiiForums Tanzania Simba Sc, Lawama hazitawasaidia, Mamilioni ya fedha anazotoa Azam kila mwezi kwa kila timu zimefanya ligi iwe na ushindani kuliko miaka iliyopita

    Kila timu inapokea si chini ya Milioni 40 kila mwezi kwajili ya kujiendesha, Hivi kwa akili ya kawaida tu unategemea ubora wa hizi timu uwe vilevile kama miaka ya nyuma?? 🚨 Simba SC lawama haziwasaidii, wekezeni uwanjani zaidi kuliko nje ya uwanja !! - Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Zuhra Yunus ndiye Mkurugenzi mpya wa Azam TV

    Aliyekuwa mtangazaji nguli wa BBC Swahili, Bi Zuhra Yunus ametundika daruga za utangazaji wa BBC tangu Ijumaa tarehe 14/01/2022 na kuhamia rasmi Azam TV kama Mkurugenzi mpya kuchukua nafasi ya Charles Hillary aliyeteuliwa na Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar kuwa Mkurugenzi wa Habari na...
  4. JamiiForums Tanzania Kombe la mapinduzi kwanini penati waliyopewa simba kwa Azam haikuwa sawa?

    Dhamira ya mchezaji sakho kwa kipa wa Azam haikuwa Safi. Kama kigonya asingejilinda kwa mguu wake huenda Leo hii angekuwa Yuko mortuary. Speed ya sakho kuelekea kwa kipa ilikuwa kubwa sana hata pale alipoona kipa ameshaudaka mpira. Alidhamiria kwenda kugongana na kipa hata kama mpira uko...
  5. JamiiForums Tanzania Formation ya leo ya Simba kupambana na Azam Mapinduzi cup (4-2-3-1)

    Timu kubwa timu la ushindi. Formation kuwaua Azam. Mchezo wetu ni dakika 90 tutakuwa tumeua mtu. Mambo ya matuta ni uto kuleee!
  6. JamiiForums Tanzania Sikuwahi kujua kama Msemaji wa Azam ni mtu wa hovyo

    Ninaangalia wasemaji wa Simba Sc na Azam wakizungumzia mechi ya kesho kombe la mapinduzi. Huyu Msemaji wa Azam nadhani anaitwa somebody Zacharia anazungumza kama mvuta bangi. Anampangia Ahmed Ally cha kuzungumza. Anamkatiza Ahmed kuzungumza. Anajitahidi kuweka utani wa jadi lakini utani wake...
  7. JamiiForums Tanzania Niuzie Azam decoder used

    Wakuu habarini za majukumu! Ninaomba yeyote anaeuza decoder ya Azam aniuzie whats app 0683965391 Asanteni
  8. JamiiForums Tanzania Ahmed Ally wa Azam TV Msemaji Mpya wa Simba

    Amewahi kuhudumu Sahara Media & Azam Media Ni kijana mchapakazi, mwenye uhusiano mzuri na watu wa aina zote, mtanashati na kubwa zaidi mapenzi yake kwa Simba hayapimiki. Ahmed Ally karibu kwenye klabu ya maisha yako kuwatumikia Wanasimba kama Afisa Habari na Mawasiliano. #NguvuMoja
  9. JamiiForums Tanzania Mech ya Simba Vs Azam inaanza saa ngap ???

    Mwenye taarifa naomb aweke hapa,il nijiandae mapema kwenda kumshuhudia tukio kubwa na mhim katka soka la Tanzania Karibun
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mechi ya Simba SC ninayoigopa kama ya leo dhidi ya Azam FC, ila tukishinda nitakuwa ni mwenye Furaha japo nina Hofu nayo

    Kiufundi nawaogopa zaidi Azam FC kuliko hata Yanga SC kwani Azam FC wana Wachezaji wenye Vipaji Asilia huku Yanga SC wakiwa na Wachezaji wenye Ushindani na Morali ya Juu. Hakuna Mechi ambayo inaniumiza Kichwa Kuiwazia mpaka kuwa na Hofu nayo kama hii ya leo kati ya Simba SC yangu dhidi ya Azam...
  11. JamiiForums Tanzania Azam Tv kutoonyesha Michuano ya Afcon 2022

    Kuna tetesi kuwa AzamTv hawana haki ya kuonyesha michuano ya Afcon 2022 itakyofanyika mapema mwakani! Kama ni kweli basi, AzamTv watakuwa wamefeli pakubwa sana, maana wanashindwa kuonesha michuano mikubwa na yenye mvuto na hii inapelekea kuwashushia uweledi!
  12. JamiiForums Tanzania Kwahiyo Azam FC wamegoma kuvaa jezi za GSM?

    Mchezo wa jana uliisha kwa Azam FC ikishinda mabao manne. Lakini cha kushangaza hatujawaona wakivaa jezi yenye nembo za GSM. Je, TFF ni waongo!?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Azam Media na TFF mnahujumu soka letu

    Wakuu Igweeeeee. Naomba radhi sana kwa wale ambao hawatapendezwa na huu Ukweli. Azam Media kwa kushirikiana na Bodi ya Ligi na TFF mmeamua kwa sababu zenu kuhujumu Soka letu katika kipengele cha Kuhakikisha Azam Media anauza zaidi haki za Matangazo na kuzuia timu kupata viingilio vya Milangoni...
  14. JamiiForums Tanzania Inasemekana Azam na Yanga nazo zina wagonjwa wa "mafua makali"

    Habari zinazozunguka mtandaoni kwa sasa zinasema kuwa klabu ya Yanga na Azam zina wagonjwa wa mafua makali na homa ambapo zinaweza kupelekea wachezaji hao kukosa mechi za ligi kuu zinazowakabili. Kocha wa Yanga,Nasreddine Nabi amesema kuwa kuna wachezaji wagonjwa klabuni hapo kuelekea mchezo...
  15. JamiiForums Tanzania Nchi haishi vituko hii: Raul Ganzalez kutua Azam fc

    | Nahodha wa zamani wa Real Madrid na mshambuliaji bora wa zamani wa Madrid Raúl González Blanco 🇪🇸 ni miongoni mwa makocha waliotuma maombi ya kuinoa Azam FC 🇹🇿. ===== Former Real Madrid captain and Madrid's best ever forward Raúl González Blanco 🇪🇸 are among the top coaches who have applied...
  16. JamiiForums Tanzania Azam Fc yafukuza benchi lote la ufundi

    Klabu ya Azam Fc ya Chamazi imetangaza kuachana na Kocha wake Mkuu, George Lwandamina na benchi lote la ufundi baada ya kutokufurahishwa na mwenendo wa timu hiyo kwa siku za karibuni. Taarifa zaidi zitakujia
  17. JamiiForums Tanzania TV4Sale Nauza Tv smart na Azam dish Mwanza

    Nauza
  18. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa haya kuhusu ving'amuzi vya Azam

    Wakuu habari za saa hizi, Naomba kuuliza, Kati ya king'amuzi cha Azam antenna na King'amuzi cha Azam Dish kipi bora na kizuri? Naona Bei ni tofauti nilitaka kujua nini ambacho hakipo katika antenna na nini ambacho kipo katika Dish.[emoji120][emoji120]
  19. N

    JamiiForums Tanzania DVI: Kampuni hewa inayotumia jina la Azam Media na kuchota mabilioni ZBC kinyume cha sheria

    DVI: KAMPUNI HEWA INAYOJIPATIA MABILIONI AZAM MEDIA, IMETUMIA JINA LA AZAM MEDIA NA KUCHOTA MABILIONI ZBC KINYUME CHA SHERIA Ni kampuni ya mfukoni iliyosajiri jina DUBAI, UAE. Inamilikiwa na Mfaransa Gael Lancrenon. Hana Nyaraka halali wala ofisi Dubai, anatumia anuani ya Kampuni ya Ushauri wa...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Azam Media ongezeni kamera uwanjani

    Salaam, Naomba nianze kwa kuipongeza kampuni ya Azam kwa kuliheshimisha soka la bongo kwa kurusha LIVE matangazo ya mechi za ligi kuu ya NBC. Ombi langu kwenu AZAM MEDIA ni kuwa mtume timu ya wataalamu wenu waende uingereza,spain au ujerumani wakajifunze namna ya kurekodi na kurusha matangazo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…