Kuna tuhuma imesambaa sana kwenye mitandao ya kijamii kuwa azam tv kupitia kipindi chao cha Toonami walirusha katuni yenye maudhui ya hovyo.
Azam TV wametoa utetezi kuwa sio ukweli, na ni uzushi ili kuiharibia kwa jamii
Sasa kama tuhuma zimepelekwa ka azam TV, kuchunguza kafanya azam TV na...
Kocha wa Azam P didy wa bongo zikibaki dakika kumi mpira kuisha huwa anainama kuomba dua muujiza utokee badala ya kuwapa morari wachezaji wake lakini wapi pumzi ya moto wanapelekewa,anafaa kuwa mwana hip hop ila sio mpira Aggrey Moris na wazee wenzake mafao yao pale Nsssf yameiva.
Aliyegundua...
Ahlan Wasahlan wana JF
Ni mtanange wa kukata na shoka baina ya Yanga Vs Simba katika nusu fainali ya kwanza ya kombe la shirikisho la Azam ndani ya dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza.
Ni mchezo unaozikutanisha timu mbili zenye mafanikio zaidi katika soka la Tanzania. Mara ya mwisho kwa timu...
Wanafiki wakubwa nyie na natamani mno mmalize mkiwa Nafasi ya Saba au hata ya Kumi Ligi Kuu ya NBC ikimalizika.
Yaami Michezaji yenu akina Morris, Kangwa, Asamoah, Miguna, Mudathiri na Chilunda inacheza kwa Nguvu na Kukamia pale tu wakicheza na Simba SC ila wakicheza na Yanga SC wanakuwa Laini...
Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza na Tido Mhando wa Azam TV, leo Mei 4, 2022
RAIS SAMIA: HAKUNA FUNDI WA URAIS, HAUZOELEKI
Rais Samia Suluhu Hassan amesema nafasi ya Urais haizoeleki kwa kuwa kuna mambo mengi.
“Sidhani kama kuna mtu anaweza kusema ni fundi katika nafasi ya Urais, labda...
Imeelezwa kuwa kiungo wa kazi aliyewahi kucheza ndani ya Yanga, Mukoko Tonombe yupo kwenye rada za mabosi Azam FC ili kuweza kuinasa saini yake.
Nyota huyo ni miongoni mwa wachezaji ambao waliweza kufanya vizuri ndani ya Yanga msimu uliopia wakati timu hiyo ilipomaliza ikiwa nafasi ya pili...
Mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Azam Sports Federation utapigwa usiku huu ambapo Yanga atawakaribisha Geita Gold katika dimba la Benjamin Mkapa.
Kwa live updates tukutane hapa saa 1::00 usiku
=================
Mchezo umeanza na timu zote zinashambuliana kwa zamu.
Dk ya 20: Geita...
Viongozi wa Azam ni kama walifanikiwa kuingizwa kwenye mtego wa U Yanga na U Simba hususani kulalamikia hujuma timu inayofanyiwa dhidi ya mabeberu hao wa soka hapa nchini na kupelekea wao kutokufanya vizuri.
Wakati mwingine wakaenda mbali zaidi na kuhisi pia chama cha soka kimewakumbatia zaidi...
Kwema Wakuu,
Najua hili litawafikia sababu JF ni Platform kubwa. Nyinyi Azam TV ndio mmepewa haki ya kuonyesha Mpira wa Ligi yetu pendwa ya NBC Premier League. Sisi Subscribers wenu tuna haki ya kupata Matangazo hayo katika ubora wa hali ya juu bila ukakasi. Yaani Sisi kwa kununua ving'amuzi...
Msimamo wa Ligi Kuu Bara ulivyo kwa sasa baada ya Yanga kuifunga Azam FC mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Azam Complex usiku wa Aprili 6, 2022.
Kwa matokeo hayo sasa Simba imezidiwa pointi 14 na vinara hao wa ligi licha ya kuwa Simba wana michezo miwili mkononi.
Kweli Azam fc kama jina lake lilivyo limekaa kiurojourojo nahisi wachezaji wake hula iscream tyu, Inasikitisha hata kwa kikosi hiki cha Yanga kibovu umeshindwa kutoa hata sare...
Azam wewe utaweza kucheza federation? Round ya kwanza tyu ushatolewa.... dadeki zako
Mtangazaji wenu mahamoud bin Zubery anapiga miayo wazi wazi na mbaya zaidi sio tu sauti ya miayo kusikika Bali anaonekana wazi wazi akipiga miayo...
Kama Hilo halitoshi pia anakosea kutaja muda wazi wazi saa 10:21 anasema saa saa 10:30,
Director huu ni uzembe wa hali ya juu..
Vipi kama siku...
Mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison ameshutumu maamuzi yanayofanyika katika kuita wachezaji wa timu ya taifa lake la Ghana kwa madai kuwa kuna ubabaishaji mwingi na wanatana kwa kujuana.
Morrison amesikitishwa na kitendo cha kuonekana anadharaulika wakati amecheza katika klab kadhaa kubwa...
Kwa gharama za vifurushi vyao kuacha kuonesha mechi kali kama
za leo(kutoka Afrika) za kufuzu world cup ni kutothamini wateja.
Congo vs Morroco
Cameroon vs Algeria
Ghana vs Nigeria
Mechi kama hizi hamuoneshi mnabaki kuonesha mi mbio ya baiskeli, jirekebisheni.
Ndugu mteja, kuanzia 01/04/2022, kuna mabadiliko ya bei kwa baadhi ya vifurushi; cha 20,000 kuwa 23,000; 13,000 kuwa 15,000; 4,000 kuwa 5,000: na 800 Kuwa 1000.
Vita ya Urusi na Ukraine inatuonyesha mambo.
Haiwezekani tunaroga sana ili Kuzicheza Mechi zao lakini bado Mtu wao anatetema na Kutukera zaidi.
Haiwezekani tunafanya kila aina ya Umafia ili Wakwame na Mtetemaji wao angalau hata aumie lakini Wanashinda na haumii.
Haiwezekani Posho ya Wachezaji katika Mechi mbili za Mbeya City na Kagera...
Wakuu mimi ni mtumiaji mzuri wa azam tv max app kwenye simu yangu, kuna hii ya UTV chaneli kila ukifika muda wa mechi za simba unakuta imeondolewa HAIPO KABISA au ukiikuta na ukaifungua kwa ajili ya kungalia zako mpira unaambiwa CHANNEL IS NOT AVAILABLE IN YOUR AREA.
Ajabu ni kwamba baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.