Leo kutakuwa na Mtinange wa Kukata na Shoka kati Yanga na Azam FC, mechi hii itaanza majira ya saa 1:00 usiku Uwanja wa Benjamini Mkapa
Tunajua ugumu wa game hii ya leo kizingati timu hizi zinapokutana hupigwa mpira wa nguvu sana.
======
⚽ 36' Fisto Mayele, Yanga 1-0 Azam
⚽73' Jésus Ducapel...
Nimesafiri na Boti za Azam kutoka Dar kwenda Unguja mara nyingi, wamefanikiwa kuwa wasafi, ndani ya boat na hata kwenye vyoo vyao.
Zile "boat" zinazofanya safari ya Unguja kwenda Pemba na Pemba kuja Unguja kwa kweli ni chafu. Ni chafu kuanzia kwenye viti hadi vyooni.
Sielewi ni kwa nini...
Hili niliseme maana naona wengi wanafatilia mpira lakini hawalijui.
Mnyama Simba bado atapanda ndege. Amepelekwa kwenye CAF confederation cup yaani shirikisho kule ambako kina Azam na Biashara wametolewa.
Ukiwa mkubwa ni mkubwa tu. Maana watu wanaumia na kwa wale mashabiki wenzangu na mi...
Maombi Yanahitajika. Ni Half time. WaTz hawa Wa Azam FC Wako nyuma Kwa Bao 1. Kimsingi Hawako Vibaya...ni game tu imekuwa Katili upande Wao kipindi cha Kwanza. MUHIMU...DUA.!
Ali Mayai na wenzanke wanavaa suti zimewabana na zinaonyesha kushonwa na mafundi ambao hawana viwango kabisa.
Azam Tv wanapata pesa nyingi kupitia matangazo ya soka. Kwa nini wasiwanunukie wachambuzi suti za ukweli?
Azam Tv katika Ukurasa wao wanasema Mechi ni Saa 9 Alasiri leo.
Simba SC katika Kurasa zao wanasema Mechi ni Saa 10 Jioni leo.
Watangazaji wa Vipindi vya Michezo Redioni wamegawanyika wapo wanaosema ni Saa 10 na wengine wakisema ni Saa 9.
Tafadhali mwenye uhakika Kamili wa muda wa Mtanange (...
Kuna wachezaji ambao hawana na mapenzi na Azam lakini wamewalazimisha kubaki kucheza Azam. Wachezaji hawa baadhi Yao wamewafungia kwa kisingizio Cha utovu wa nidhamu.
Ukweli ni kwamba club zisiwababinie wachezaji wanaotaka kuondoka hata kama wanaenda kwenye timu ambazo viongozi hawazipendi.
Timu za simba na yanga mtazamo wangu simepewa Muda wa kutosha na zimethibitisha zaidi ya majungu, marktime za kisoka na Maneno maneno hazitatufikisha popote...
Nilipoiona AZAM na bosi tajiri yuko nyuma yake nikasema afadhali angalau tumepata team ambayo itakwenda hadi club bingwa duniani...
Jana baada ya kusajili laini ya Azam nataka kuanza kuitumia baada ya kusikia sifa zake.
Wadau wanasema ina vifurushi vizuri na mtandao huko stable.
Mliotumia vipi mtandao wa internet mfano MB 500 wanauzaje hawa jamaa?
Natanguliza shukrani
Baada ya Dstv kupandisha vifurushi vyake mwezi septemba, nimedokezwa muda wowote kuanzia sasa, AzamTv nae atapandisha vifurushi vyake, kile cha kuona mpira elfu 20 sasa kuwa 25! Ni matokeo ya mlolongo wa kodi walizopanfishiwa. Je tutafika?
Kampuni kubwa na iliyoenea katika nchi ya Tanzania pamoja na nchi jirani 'Bakhresa Group' imeleta sokoni huduma mpya ya kifedha ijulikanayo kama 'Azam Pesa'.
Huduma hii ni kama zilivyo huduma nyinginezo za M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa and the like.
Ili kuielewa zaidi huduma hii, nitaenda...
Wakuu kama naomba masada kama wiki3 zilizopita kuna uzi uliwekwa wa FREE AZAM APP..
ambayo hulipii chochote, kuna KITU kama code scanner ndio iliwekwa ukishascann unakuwa uninstall...
Hivyo niljkuwa mayo baada ya kurestore simu imepotea na huo uzi humu siuoni naomba mwenye hiyo APP anisaidie...
Habari za wakati wana jamii forum,
king'amuzi changu cha azam ghafla kimegoma kuonesha ili hali kila kitu kiko sawa kwa maana nkifunga kingine kina fanya kazi vizuri tu je shida inaweza kua nini hapo?
Kazi iendelee | Soka liendelee,
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka kwa niaba ya CCM na kwaniaba ya Mkt wa CCM Taifa ambae pia Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan.
Wamezitakia heri na baraka timu nne zitakazopeperusha bendera ya Tanzania kwenye...
Leo timu ya soka Azam iko kwenye hatua za awali za kombe la shirikisho, mechi ya kwanza Azam iliibuka na ushindi wa 3-1. Kwa sasa mechi inaelekea mapumziko na Azam inaongoza kwa goli 0-1 goli lililofungwa na Ismail Kader dakika ya 37. Aggregate Horseed 1-4 Azam. Horseed inahitaji magoli matatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.