azam

  1. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Mech ya Simba Vs Azam inaanza saa ngap ???

    Mwenye taarifa naomb aweke hapa,il nijiandae mapema kwenda kumshuhudia tukio kubwa na mhim katka soka la Tanzania Karibun
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mechi ya Simba SC ninayoigopa kama ya leo dhidi ya Azam FC, ila tukishinda nitakuwa ni mwenye Furaha japo nina Hofu nayo

    Kiufundi nawaogopa zaidi Azam FC kuliko hata Yanga SC kwani Azam FC wana Wachezaji wenye Vipaji Asilia huku Yanga SC wakiwa na Wachezaji wenye Ushindani na Morali ya Juu. Hakuna Mechi ambayo inaniumiza Kichwa Kuiwazia mpaka kuwa na Hofu nayo kama hii ya leo kati ya Simba SC yangu dhidi ya Azam...
  3. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Azam Tv kutoonyesha Michuano ya Afcon 2022

    Kuna tetesi kuwa AzamTv hawana haki ya kuonyesha michuano ya Afcon 2022 itakyofanyika mapema mwakani! Kama ni kweli basi, AzamTv watakuwa wamefeli pakubwa sana, maana wanashindwa kuonesha michuano mikubwa na yenye mvuto na hii inapelekea kuwashushia uweledi!
  4. President of China

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Azam FC wamegoma kuvaa jezi za GSM?

    Mchezo wa jana uliisha kwa Azam FC ikishinda mabao manne. Lakini cha kushangaza hatujawaona wakivaa jezi yenye nembo za GSM. Je, TFF ni waongo!?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Azam Media na TFF mnahujumu soka letu

    Wakuu Igweeeeee. Naomba radhi sana kwa wale ambao hawatapendezwa na huu Ukweli. Azam Media kwa kushirikiana na Bodi ya Ligi na TFF mmeamua kwa sababu zenu kuhujumu Soka letu katika kipengele cha Kuhakikisha Azam Media anauza zaidi haki za Matangazo na kuzuia timu kupata viingilio vya Milangoni...
  6. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Inasemekana Azam na Yanga nazo zina wagonjwa wa "mafua makali"

    Habari zinazozunguka mtandaoni kwa sasa zinasema kuwa klabu ya Yanga na Azam zina wagonjwa wa mafua makali na homa ambapo zinaweza kupelekea wachezaji hao kukosa mechi za ligi kuu zinazowakabili. Kocha wa Yanga,Nasreddine Nabi amesema kuwa kuna wachezaji wagonjwa klabuni hapo kuelekea mchezo...
  7. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Nchi haishi vituko hii: Raul Ganzalez kutua Azam fc

    | Nahodha wa zamani wa Real Madrid na mshambuliaji bora wa zamani wa Madrid Raúl González Blanco 🇪🇸 ni miongoni mwa makocha waliotuma maombi ya kuinoa Azam FC 🇹🇿. ===== Former Real Madrid captain and Madrid's best ever forward Raúl González Blanco 🇪🇸 are among the top coaches who have applied...
  8. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Azam Fc yafukuza benchi lote la ufundi

    Klabu ya Azam Fc ya Chamazi imetangaza kuachana na Kocha wake Mkuu, George Lwandamina na benchi lote la ufundi baada ya kutokufurahishwa na mwenendo wa timu hiyo kwa siku za karibuni. Taarifa zaidi zitakujia
  9. MAGAMBA MATATU

    JamiiForums Tanzania TV4Sale Nauza Tv smart na Azam dish Mwanza

    Nauza
  10. David Buzzizer

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa haya kuhusu ving'amuzi vya Azam

    Wakuu habari za saa hizi, Naomba kuuliza, Kati ya king'amuzi cha Azam antenna na King'amuzi cha Azam Dish kipi bora na kizuri? Naona Bei ni tofauti nilitaka kujua nini ambacho hakipo katika antenna na nini ambacho kipo katika Dish.[emoji120][emoji120]
  11. N

    JamiiForums Tanzania DVI: Kampuni hewa inayotumia jina la Azam Media na kuchota mabilioni ZBC kinyume cha sheria

    DVI: KAMPUNI HEWA INAYOJIPATIA MABILIONI AZAM MEDIA, IMETUMIA JINA LA AZAM MEDIA NA KUCHOTA MABILIONI ZBC KINYUME CHA SHERIA Ni kampuni ya mfukoni iliyosajiri jina DUBAI, UAE. Inamilikiwa na Mfaransa Gael Lancrenon. Hana Nyaraka halali wala ofisi Dubai, anatumia anuani ya Kampuni ya Ushauri wa...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Azam Media ongezeni kamera uwanjani

    Salaam, Naomba nianze kwa kuipongeza kampuni ya Azam kwa kuliheshimisha soka la bongo kwa kurusha LIVE matangazo ya mechi za ligi kuu ya NBC. Ombi langu kwenu AZAM MEDIA ni kuwa mtume timu ya wataalamu wenu waende uingereza,spain au ujerumani wakajifunze namna ya kurekodi na kurusha matangazo...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Waamuzi wanaihujumu Azam

    Watu wengi hawapendi kukutana na vitu vyenye maudhi kwao. Ili kuepuka maudhi watu Wana tabia ya kujizuia kukutana na vyanzo vya maudhi hayo. Watu wengi hawapendi kuangalia mechi za ligi kuu ili kuepuka maudhi yanayoletwa na waamuzi, hii inakwenda kuua moyo wa kuangalia TV na kwenda viwanjani...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Lwandamina unasubiri nani akwambie nini?

    Timu ya Azam haipati matokeo ikiwa mikononi mwako pia. Inawezekana tatizo ni wewe, wachezaji, au viongozi na au wote kwa pamoja. Lakini unasubiri hadi Azam ushuke nayo daraja ndio uondoke au unasubiri kutupiwa virago? Wote tunafahamu kuwa wachezaji wako wana mgomo baridi kwaajili ya wachezaji...
  15. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Azam tv kuonyesha Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1) kuanzia kesho

    Baada ya Messi kuhamia PSG inayoshiriki ligi kuu ya ufaransa (Ligue 1) hatimae kituo maarufu cha televisheni hapa nchini cha AzamTv wataanza kurusha mubashara matangazo ya ligi hiyo! ikumbukwe AzamTv huonyesha pia Bundesliga, NBC Premier League, FA Cup na Carabao cup. Mashabiki wengi wa soka...
  16. 0ozg Tz

    JamiiForums Tanzania King'amuzi cha antenna azam kinauzwa 70,000

    Nipo mwanza, Sengerema Namba: 0759589005 Ni kipya kabisa Kama una king'amuzi cha Azam cha dishi tutabadilishana na nitakupatia 100,000
  17. Loraa sum's

    JamiiForums Tanzania TV4Sale Used Smart TV inch 43 na Dish la Azam

    used smart tv : inch 43 imetumika miezi 3 Kampuni: homebase Ina :warranty,boksi,stand ya ukutani na chini, remote na waya zake Eneo: Dar-es-Salaam, Ubungo Riiverside Bei: 650,000 Contact: 0712518770.
  18. kidadari

    JamiiForums Tanzania Azam Tv; bei ya Ving'amuzi ni kitanzi kwenu

    Ni ukweli usio na kipingamizi kua king'amuzi cha Azam ni kati ya vingamuzi vinavyopendwa Tanzania na pia nchi kadhaa za Africa Mashariki, lakini bei yake imekua gumzo sana mtaani kiasi cha kuzua maswali je ni nini hasa kinapelekea bei kua kubwa kiasi hicho. Kwa mkoa wa Iringa Mbeya na Njombe...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Azam tv msirushe tamthilia yenye jina hili, mtakosea

    Unyanyapaa ni kosa sawa na makosa mengine, hasa likifanywa na taasisi Wafanyakazi wa ndani ni kundi kubwa sana kwenye jamii zetu, ambao kazi zao ni muhimu sana. Kazi Yao inawaingizia kipato lakini pia inasababisha utulivu mkubwa maofisini miongoni mwa watumishi wenye watoto wadogo nyumbani...
  20. I wish i have

    JamiiForums Tanzania Lini Kampuni ya Azam Marine itaanza Safari Zake za Boti Mpya ziwa Victoria?

    Uzoefu wake kwa kweli kwa sasa inabidi aongeze mipaka!? Watu wale maisha ya kisasa.. Tunamkaribisha KANDA YA ZIWA VICTORIA... UTAJILI WA MTU MMOJA UNA MAANA KUBWA DUNIANI
Back
Top Bottom