Azam TV nawapongeza kwa kuandaa mapambano ya boxing. Andaeni na vipindi vya kuwaelimisha watu kuhusu mchezo huo

Numero Uno

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
597
1,277
Azam tv nawapongeza kwa kuandaa mapambano ya boxing na kusababisha mchezo huo kuwa na mashabiki wengi

Ushauri wangu ni kuwa mnatakiwa muwe na kipindi ambacho kinatoa elimu ya boxing kwani watazamaji wenu wengi hawana uelewa na mchezo huu.

Wanadhani ushindi ni mpaka mtu apigwe na kuanguka chini ama kutokwa na madamu.

Ama kila bondia anatkiwa kupigana na kila mtu wanasahau kuwa kuna uzito
 
Back
Top Bottom