Habari 👋🏾
Nimekuwa nikikutana na vitu viwili toka kampuni ya Azam ambavyo ni AzamPay na AzamPesa kupitia mitandao na mifumo ya kidijitali, ningependa kufahamu ni nini, na shughuli yake kubwa ni ipi.
Azam tv nawapongeza kwa kuandaa mapambano ya boxing na kusababisha mchezo huo kuwa na mashabiki wengi
Ushauri wangu ni kuwa mnatakiwa muwe na kipindi ambacho kinatoa elimu ya boxing kwani watazamaji wenu wengi hawana uelewa na mchezo huu.
Wanadhani ushindi ni mpaka mtu apigwe na kuanguka chini...
Ndugu zangu ya kweli haya? Kwamba Azam Media wameona ni ujinga kutumia taasisi yao ku facilitate vita binafsi? kama ni kweli basi hongereni sana azam tv
Abakize tu Asas ili akiwa anapost bidhaa zao atumie platform hiyo kutukana bidhaa za MO maana ndiyo style yake utasikia nipo na boss wa Asas...
Naangalia Azam News hapa(UTV live) ambapo taarifa ya habari ndio inaendelea. Katika taarifa yao, wameripoti kesi ya Mbowe inayoondelea Mahakama Kuu ila katika picha za Mahakamani, sijaona uwepo wa Wawakilishi wa Mabalozi waliohudhuria hiyo kesi.
Je, uwepo wao si muhimu, ni bahati mbaya tu au...
Nimepata ujumbe huu kutoka Azam TV: Ndugu Mteja, kutakuwa na mabadiliko kidogo ya kifurushi cha Azam Play ambapo kutakuwa na nyongeza ya chaneli na sasa kitakuwa Tsh 35,000 kuanzia Sept 1,2021.
Mwisho wa kunukuu.
Jamani kazi iendelee [emoji134][emoji134][emoji134]
Tunawashukuru sana Azam TV kwa kufufua mchezo wa ngumi , watu wameukubali na wanaunga mkono , lakini jaribuni kuwa wabunifu , haiwezekani mabondia wale wale wapigane mara zote .
Mabondia hawa hata kama hapa mnawaona wazuri kwa ajili ya promotion za biashara zenu , lakini hawana uwezo wa...
Lopolopo Hajj Manara lilidai lina mkataba wa simba milion 384 kwa mwaka kuonyesha contents za simba huko Azam TV.
Cha kushangaza ni contents za utopolo ndizo zinaonyeshwa huko Morocco ina maana hela yao imeliwa bure?
Habari wanajamii.
Mwaka jana mwezi wa Desemba nilikuwa naangalia filamu iliyotafsiriwa na Ahmada Abdulrahman maarufu kama Dj Mark nikajiuliza inashindikana nini kuingiza sauti za Kiswahili kama wanavyofanya Azam tv kwenye tamthilia zao kama Sultan, Jamai raja na Kufli. Jibu ni kwamba gharama ya...
1. Je, Kisheria baada ya jana Haji Manara kuitaja Kampuni ya Azam akiihusisha kuwa na Vita ya Chuki na Kampuni za Mohammed Dewji yuko salama kama aliyeguswa akitaka Kumshtaki?
2. Je, kati ya aliyekuwa CEO Magori ambaye hakuwa kumpa Mkataba wowote Haji Manara na CEO Barbara ambaye kwa mwaka...
Hoja ya Manara inajionyesha kabisa azam wa mission maana kama hawana huwezi kurusha matangazo bure 1hr na dk26 hivi hivi. Azam wanatamani sana wapate pia mkataba wa Simba na Azam. Sasa wanamtumia Manara kufanikisha deal
Tuwe machoooo. MO asimjibu Manara kama anataka kuendelea na Simba kwa...
Aliyewahi kuwa Msemaji wa Klabu Kongwe ya Simba Sports Club leo hii anazungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam juu ya Masuala mbalimbali ikiwemo ya yeye kuondoshwa katika klabu ya Simba
Kuwa nami hapa kwa updates/kinachoendelea
--------------------------------------------
Ameanza...
Itakuwa kazi bure kuwekeza sana kwenye timu za ligi luu bila kuangalia pia eneo la waamuzi ubora wa ligi.
Maamuzi mabaya viwanjani yanatia karaha watizamaji wa mpira. Kuna watu wasiopenda karaha wanaoamua wasiangalie kabisa mechi za ligi kuu zenye makosa makubwa ya wazi na makusudi ya waamuzi...
Bilionea Mohamed Dewji, wewe ni mdau mkubwa wa soka na unaufahamu vizuri sana. Najaribu kukushawishi uanzishe king'amuzi au decorder itakayoitwa mo sattelite tv. Pamoja na vipindi vingine uanzishe channel za soka za kuonyesha live mechi za ligu kuu ya bara. Ukiritimba wa azam na TFF ni hatari...
Kuna kitu kinaitwa "conflict of interest"
Je, inaswihi kwa Haji ambae Boss wake Mo ana biashara ya Maji na wakati huohuo Haji kwenda kutangaza biashara ya Maji kwa Azam? Mo ana maji ya masafi na Azam ana maji ya Uhai. Mo ana timu ya Simba na Azam ana timu ya Azam.
Hii imekaaje kikanuni?
Kuiga kitu kizuri kwa mwenzio sio vibaya ndio maana Leo China yuko vile kwa sababu alikubali kuiga na kucopy teknolojia kwenye maonesho ya kwanza ya sayansi na teknolojia yaliyofanyika nchini uingireza mwaka flani karne ya upinduzi wa viwanda.
Hivyo basi azamtv kwakua nyie mmeingia kandarasi...
Mfanyabiashara Mo Dewji anamiliki asilimia 49 ya hisa za Simba, Kama Simba watapata dili la kama la Yanga la bilioni 41 basi moja kwa moja asilimia 49 ya pesa hiyo itakwenda kwa Mo Dewji ambayo ni sawa na bilioni 20 na milioni tisa.
Hisa ni nini? Hisa ni namna ya kuchanga mtaji wa biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.