AzamPay | AzamPesa ni nini?

isajorsergio

Platinum Member
Apr 22, 2018
4,125
6,250
Habari 👋🏾

Nimekuwa nikikutana na vitu viwili toka kampuni ya Azam ambavyo ni AzamPay na AzamPesa kupitia mitandao na mifumo ya kidijitali, ningependa kufahamu ni nini, na shughuli yake kubwa ni ipi.
 
Sio aina mpya ya tozo hiyo!,maana sahivi sirikali imechangamka kweli..😅
Hahaha 😅

Sidhani hii AzamPay niliona picha ya nembo yake kupitia mtandao fulani, na hii leo nimeona nembo ya AzamPesa katika jezi za Azam FC.
 
Last time naangalia ilikuwa tu ni wallet kwa ajili ya kulipia bidhaa zao, ila nime Google naona wanataka ku expand nje ya hapo na kucompete na Tigopesa/mpesa
Wow! Asante Chief

Kwa maana hii tunategemea Azam Telecommunications au AzamPay/AzamPesa iliyokuwa kama NALA Money, PayPal au VISA na Mastercard?
 
Last time naangalia ilikuwa tu ni wallet kwa ajili ya kulipia bidhaa zao, ila nime Google naona wanataka ku expand nje ya hapo na kucompete na Tigopesa/mpesa
Umuhimu wako unaonekanaga hapa mkuu.
Thanks ila jamaa wanaweka azam pesa bila kuwa na mtandao wao?
 
Wow! Asante Chief

Kwa maana hii tunategemea Azam Telecommunications au AzamPay/AzamPesa iliyokuwa kama NALA Money, PayPal au VISA na Mastercard?
Kwa nilivyoelewa kama paypal,

Unatumia azam pay kama mtu wa kati kwa card yako hio hio ya Visa na Mastercard.
 
Kwa nilivyoelewa kama paypal,

Unatumia azam pay kama mtu wa kati kwa card yako hio hio ya Visa na Mastercard.
Yes! Hii safi sana katikia kufikia hatua kama taifa kujitegemea kiteknolojia na kidijitali. Naona kupitia hayo maelezo huduma itakuwa inatanuliwa kadri muda na watumiaji wanavyosogea.
-
Nisiwe muongo natumia bidhaa nyingi za Azam katika kusapoti kile anachokifanya.
 
Back
Top Bottom