Ukipewa timu ya AZAM utafanyaje ili angalau iwe kama TP Mazembe

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,541
15,199
Timu za simba na yanga mtazamo wangu simepewa Muda wa kutosha na zimethibitisha zaidi ya majungu, marktime za kisoka na Maneno maneno hazitatufikisha popote...

Nilipoiona AZAM na bosi tajiri yuko nyuma yake nikasema afadhali angalau tumepata team ambayo itakwenda hadi club bingwa duniani icheze na wakina Madrid au Barca.

Lakini kila nikiichungulia naona haina uwezo wa kuvuka siasa za simba na Yanga.

Mimi sio mpenzi wa soka ila ni mfuatiliaji wa karibu kila kitu kinachoendelea nchini.

Unadhani nini kikifanyika team ya tajiri huyu iwe angalau kama TP mazembe.
 
Kama tajiri mwenyewe timu ya Azam ikizifunga timu za kariakoo ANALIA unategemea wachezaji watafanya nn

ATOE SIASA ZA SIMBA NA YANGA KWANZA

mishahara midogo bonas za kawaida Sana imagine anatoa bonas ya mil 23 mechi ya pil.ya shirikisho had wachezaj wanagomabaniana na benchi la ufundi

Yanga na Simba bonas inafika had mil 500.kwa mechi

AZAM INA JINA KUBWA LAKN MASLAHI HAKUNA

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
nashauri AZAM kujikita na vitu vya majumbani zaidi kuliko hiyo timu
 
Ili timu iwe nzuri kushindana caf champions league ni lazima iwe na quality players kwa standard ya caf champions league..

Azam tajiri anatoa mishahara midogo ambayo haiwezi kumfanya quality player aache mazembe au mamelodi aje kucheza azam.

Azam tajiri anawekeza hela nyingi kwenye miundombinu ila kwenye rasilimali watu ambao ni wachezaji analipa mishahara ya kihindi
 
Azam kweni analipa kiasi gani kwa hawa wachezaji wanaotoka nje?
 
Azam FC ukiondoa uwanja wa chamazi na basi wanalotarajia kupokea hakuna kingine cha maana.

Bajeti ya Azam inaingia mara mbili kwenye bajeti ya simba, halafu wanajiita matajiri wa chamazi.

Azam ili waendelee kisoka, waajiri watu wa nje na waamue kuweka pesa nyingi kusajili wachezaji wakubwa barani afrika na nje ya Afrika.
 
Ahame nchi kabisa akikwepa usimba na uyanga kwa watumishi akikwepa kwa watumishi basi atakutana nao TFF na taasisi zingine za soka za kibongo nyoko.
 
Heri Azam wagejikita kwenye media na udhamini wa ligi kuliko kuwa na timu
 
Kama tajiri mwenyewe timu ya Azam ikizifunga timu za kariakoo ANALIA unategemea wachezaji watafanya nn

ATOE SIASA ZA SIMBA NA YANGA KWANZA

mishahara midogo bonas za kawaida Sana imagine anatoa bonas ya mil 23 mechi ya pil.ya shirikisho had wachezaj wanagomabaniana na benchi la ufundi

Yanga na Simba bonas inafika had mil 500.kwa mechi

AZAM INA JINA KUBWA LAKN MASLAHI HAKUNA

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kumbe muamedi ananafuu sana kuwepo simba.

Hebu waza huyu jamaa angewepo pale Simba na hizo bonus zake.

Heshima kwake Muamedi ama bwana Mudi aka Mo.

Watu wa uhasibu na revenue recognition..heri ya moja mkononi kuliko kenda ya ahadi.
 
Ni kufumua benchi la ufundi lote,kocha,waswahili wote nafukuza.
Naleta kocha mwenye cv iliyoshiba,naajiri watu ambao hawafungamani na hizi timu za kurithi kutoka misri na south africa..
Pesa nyingi nawekeza kwa wachezaji wenye majina makubwa...nanunua kutoka klabu kubwa kama Mazembe,alahly,mamelod,na club zingine kubwa nachukua wachezaji hatari barani africa ili kuimarisha timu iwe kubwa kwa nguvu ya pesa kama Mancity&Psg.
Wachezaji wa ndani nakuwa nawatoa kwenye academy wanapandishwa timu ya wakubwa kidogo kidogo.
 
Tatizo sio benchi wala nini...
Bajeti yao ni ndogo.
 
Back
Top Bottom