Kwanini huyo mama analazimisha kuwa ni Rais wa awamu ya sita ilhali haupo uchaguzi uliofanyika tofauti na yeye kuwa Rais wa katiba?
Kwa nini analazimisha awe Rais wa awamu ya sita?
Kuna nini nyuma ya lazimisho hilo?!
Kifo cha Magufuli kimethibitisha pasipo shaka kuwa sisi kama nchi hatuna utaratibu wowote rasimi wa kikatiba, kisheria au usio wa kisheria unaotuongoza katika kuhesabu au kuzitambua awamu za serikali.
Kama utaratibu rasimi huo, basi ni wazi hauleweki na unapaswa kutazamwa upya ili kuondoa huu...
Kwanza nimshukuru Mungu mwingi wa rehema kwa kuendelea kuilinda nchi yetu
Naomba ieleweke hivi kila serikali iliyoko madarakani imechaguliwa na wananchi baada ya kuinadi ilani ya chama husika. Mwaka huu tunaomaliza nchi ilipitia kipindi kigumu sana kwa kuondokewa na Rais aliyechaguliwa na...
Msimamo wa Magufuli juu Corona unaeleweka, hizi sarakasi zote zinazoendelea ni kuwatayarisha kisaikolojia kuhusu linalokuja, nalo ni Chanjo ya lazima kwa wote, na jinsi watakavyofanya ni unpopular jambo ambalo litawafanya wasiopenda chanjo wamkumbuke Magufuli.
Kuna sababu kwa nini JWTZ...
Ukweli kabisa kwangu mimi ni mawaili tu mpaka sasa!
Mohamedi Mchengerwa na Geofrey Mwambe.
Hawa wamezishika nafasi zao kwa kujiamini na wanaendasha kazi za Uwaziri kama ipasavyo.
Mohamed Mchengerewa mpaka nimeanza kumfikia come 2030 akae pale juu. Huyu bwana anajitambua sana. Mwambe anajua...
Rais amesema " upigaji ulifanyika awamu ya tano lkn jumba bovu inaanushiwa awamu ya sita. Sitakubali".
Kama angekuwa mshiriki mkuuktk uendeshaji wa serikali ya awamu ya tano rais SSH asingekubali hata awamu ya tano idhalilike.
Lkn anaona ni sawa kwakuwa hakuhusika kwa chochote. Alikuwepo kama...
Mh Polepole naona anazunguka sana kuwataja majina na level zao wahuni ambao anadai Serikali ya Awamu ya Tano ilishindwa kumalizana nao.
Kwanza Polepole anakubali kuwa Wahuni hao ni wanachama wa CCM.
Pili Mh Polepole hakatai kuwa Wahuni hao (Hooligans) ni viongozi ndani ya chama na wengine...
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema Ufanisi na kuaminika serikali ya awamu ya sita umeondoka kabisa pia Mbatia amesema kuna mpasuko mkubwa Serikalini.
Mbatia amedai kukosekana kwa uchaguzi mwaka jana kumeleta matatizo mengi na hali sio nzuri.
Wana Jf
Kwa mara nyingi Marehemu JPM alisistiza na kukataa utitiri wa Mikoa, akadai wakati wananchi wanateseka na kodi kuzalisha, wao wanazunguka zunguka tu na matumbo.
Ona wenyewe
Na wengine kila Maamuzi ya Awamu ya 5 yalipokuwa yakifanywa mkialikwa Ikulu mkipewa muda wa Kuzungumza na Hadhira mlikuwa mkiyaafiki tena na mpaka Kupongeza leo mpo katika Awamu yenu hii ya 6 mmeyabadili bila hata Aibu ya Unafiki uliowajaa kutoka Bara mpaka Visiwani.
Kwangu Mimi KEROZENE Mchawi...
By Zitto kupitia twitter:
Mradi wa 300MW Mtwara ulisimama. Mradi wa 350MW Kilwa ulisimama. Mradi wa nyongeza Kinyerezi 185MW ulisimama. Mradi wa Kinyerezi 3 and 4 umesimama. Utapata wapi Umeme kulisha nyongeza ya shughuli za Uchumi baada kufungua Nchi?
Miradi yote ya Umeme iliyokuwa kwenye...
Nimesoma Twitter, Zitto Kabwe akitoa maoni kuhusu umeme.
Zitto anasema katika miaka mitano iliyopita hatukuongeza uzalishaji wa umeme wa maji na ukweli ni kwamba uzalishaji ulipungua. HILO LILIKUWA BOMU LA KWANZA LA SERIKALI YA WAMU YA 5 ambalo lazima kuna siku lingelipuka. Hili hapa...
Baada ya kuangazia makundi ya watu wanaochukia utawala wa Rais Samia sasa ni zamu ya makundi yanayoridhishwa ama kufurahishwa na utawala wake.
1. WAFANYABIASHARA
Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita wamepita kwenye dhoruba na sekeseke zito katika biashara zao ikiwemo kubambikiwa kodi...
Ukilala ukiamka, ukafuatilia uteuzi, utendaji na miradi mkakati iliyoanzishwa na serikali ya awamu ya tano, utaona wazi viongozi niliowataja walikuwa wanasali na kuomba JPM atakufa lini ili wafanye yakao.
Ila hawakumbuki kuwa wanaongoza wananchi 60m ambao hawajawahi kuwaomba kura wala...
Kwanza nianze kwa kusema mimi si mpenzi mkubwa wa Rais wetu aliyepita, JPM.
Hata hivyo, pamoja na figisu nyingi za JPM katika mambo mbali mbali, mengine ambayo yalikuwa miradi ya upendeleo ulio wazi kimaeneo, katika mradi wa bwawa la umeme Stieglers alikuwa spot on.
Mradi wa ujenzi wa bwawa la...
Waslaam wakubwa
Naomba nianze na swali la msingi ambalo limekuwa sehemu ya mjadala. JSerikali ya awamu ya Tano ni nini au ni nani?
Swali la serikali ni nini? bila shaka huu ni mfumo wa utawala wa pamoja, mfumo wa kitaasisi ambapo kiongozi akishirikiana na wenzake wengi kuunda serikali.
Awamu...
CAG kimsingi amekubali kukagua fedha za mikopo iliyoingiwa na serikali ya Awamu ya 5.
CAG Kichere amesha sema anasubiri maelekezo tu.
Kutokana na mijadala, hata humu JF, kuna watu wamepanic.
Kisirisiri wengi wanajua fedha zilivyoliwa, mitambo nyeti imenunuliwa at inflated prices, na hakuna...
Huu ndo ukweli wa mitiririko wa deni la Taifa watu wasiwadanganye.
-Awamu ya tatu deni lilikuwa milion 4$ USD.
-Awamu ya nne ikatlitoa kutoka milion 4$ mpaka milion 18$ USD
-Awamu ya tano imelitoa kutoka milion 18$ USD mpaka 25$ USD
_awamu ya Sita imetoa 25$ USD mpaka 28$ USD bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.