awamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Awamu ya tano Tanesco hawakukarabati miundombinu ya umeme, sasa mmehitimisha ukarabati tusikie mgao tena

    Mmnetangaza wenyewe kuwa mmehitimisha ukarabati wa miundo mbinu ili umeme upatikane vizuri. Tunataka tusisikie habari ya mgao na umeme kukatika katika hovyo imeisha kama enzi za awamu ya tano.
  2. Babe la mji

    JamiiForums Tanzania Mbona harakati za kuidai Zanzibar huru ni kama zimekufa awamu hii?

    Kwa muda mrefu tangu muungano wa Tanganyika na Zanzibar hawa ndugu zetu kutoka Zanzibar wamekuwa hawaridhishwi na huu muungano, inasemakena hadi Rais wa kwanza wa Zanzibar alishawahi sema muungano ni kama koti likikubana unalivua. Pia nakumbuka awamu ya 4, Rais akiwa Kikwete kuliibuka wimbi...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Anayejua sehemu yoyote penye ujenzi wa barabara kwa sasa anistue. Mimi sijaona tangu awamu ya 6 iingie madarakani

    Wakuu naona kama tumepigwa. Sijui pesa za serikali na mikopo zinaenda wapi. Mimi kama mtanzania wa kawaida najaribu kutupia jicho huku na kule kuona kama kuna chochote cha maana kinaendela hasa miundo mbinu ya barabara na ambayo ina faida kwa wanyonge. Sisi hatupandi ndege kama wao. Barabara...
  4. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania CCM msituletee tena viongozi kama Awamu ya Tano

    Aina ya uongozi kama ule wa Awamu ya Tano ulikuwa balaa kwa mustakabali wa umoja wa nchi yetu. Sina haja ya kurudia madhambi mabaya ya Awamu ya Tano maana kila mtu yalimgusa. Kiini cha hayo matatizo ni kinyang'anyiro cha urais wa 2015 ambapo walijitokeza wagombea zaidi ya 40. Naona hili...
  5. James Martin

    JamiiForums Tanzania Inaonesha hila alizofanyiwa mfanyabiashara Ramadhani Ntunzwe zilikuwa na baraka za Serikali ya awamu ya tano

    Tangu mwaka jana nimekuwa nikimsikiliza mfanyabiashara Ramadhani Ntunzwe anavyosumbuliwa bila kupata ufumbuzi. Nina imani kabisa rais wa wakati huo kama kweli alikuwa na nia ya kumaliza jambo hilo lisingechukua muda mrefu kiasi hiki. Pia nadiriki kusema mateso aliyoyapata huyu mfanyabiashara...
  6. Replica

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia Suluhu Bungeni: Spika awaonya watakaovaa tai nyekundu

    Leo bunge limetengua kanuni kuruhusu wageni wasioruhusiwa kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge wakati wa hotuba ya Rais Samia Suluhu, miongoni mwao ni Makamu wa Rais, Philip Mpango na Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi. Pia spika Ndugai aliwashauri wabunge wasivae tai nyekundu kwasababu ni kwaajili...
  7. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Kwanini miradi aliyofanywa na Hayati Magufuli wanasema ni ya Awamu ya nne?

    Nimetembea Tanzania sehemu nyingi kabla ya Magu (RIP) kuwa Rais kulikuwa hakuna barabara za lami, leo hii kila mahali hadi Mitaani lami, lakini wanasema ni Awamu ya 4 ilijenga, kwa nini wanadanganya na kulazimisha uongo? I mean, kuna mambo mazuri tu yalifanywa na Awamu ya 4 kama UDOM au daraja...
  8. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Awamu ya sita ukipata teuzi unaweza kufanya tafrija kusherehekea

    Awamu ya Magufuli aliwaambia wateule wake nikikuteua usifanye sherehe maana umetwishwa mzigo. Yaani kama ukishindwa kuubeba anakutua wakati wowote. Tena alikua 0 tolerance vitendo vya ufisadi. Akasema ukila hela ya umma akijua utaitapika. Awamu ya 6 ukiteuliwa uwaziri au teuzi yoyote unaweza...
  9. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson alikuwa chaguo la Magufuli, hafai kuwa Spika wa Bunge litakalosimamia Serikali ya awamu ya 6

    Tunatoa sana ushauri humu JF na wakati mwingine tunaonekana kama wavurugaji waliotumwa na wapinzani au watu tusiokuwa na uzalendo na taifa letu, mwisho wa siku ushauri inapuuzwa na kumsikia mama analalamika kua wapo watu ndani ya serikali hawako naye na wengine hawaelewi. Tulishauri kwamba Mama...
  10. masara

    JamiiForums Tanzania Ikitokea unawaza kwa sauti juu ya mabadiliko yaliyotokea uongozi wa awamu ya tano na ya sita, kwa huu muda mfupi unafikiri tutasikia maneno

    Kwanza natoa pongezi kwa uongozi wote wa awamu ya sita kwa jitihada kubwa inayofanywa hasa ya kuondoa ujinga kwa watoto wetu kwa kuwekeza nguvu kubwa kwenye kujenga shule na hospitali kila mahali kwa speed ya hali ya juu na kuendana na mahitaji na muda unaotakiwa, jambo ambalo limelazimika hadi...
  11. masara

    JamiiForums Tanzania Napendekeza siku ya Kumbukizi ya Hayati Magufuli tuandamane na mabango hadi kaburini ili kuhiji na kuonesha hisia zetu

    Bado ni mwaka mpya maana hata watoto hawajaenda shule bado. Pamoja na yote natambua juhudi na kazi kubwa inayofanywa na rais wetu mpedwa mama Samia kwa kuhakikisha usalama wa nchi na kuifikisha Tanzania sehemu fulani. Kwa sehemu yangu nakupongeza sana mama na hiyo inathibithisha kuwa kweli...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Je, awamu ya 6 ya Jamhuru ya Muungano ya Tanzania itapeleka umeme kwenye vitongoji?

    Enzi ya Dr. Kalemani tuliingiza umeme kwa Tshs.27,000/, sasa hivi enzi ya Makamba tunaingiza umeme kwa Tshs.300K je, serikali ya awamu ya sita kwa viwango hivi itamaliza kusambaza nishati hii adhimu ya umeme kwa vijiji na vitongoji vyote by 2024? Wakati wa bei ya Tshs. 27,000 JPM alikuwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Leo siku ya 3, system ya evaluation ya TRA hakuna

    Kipindi cha Mwendazake, mambo kama haya yalikuwa hayafanyiki. Leo siku ya 3, hii system ya evaluation ya TRA hakuna. Je, kuna nini inaendelea nyuma ya pazia?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Sita imeshakopa Trillion 10 ndani ya miezi 9 madarakani. Tunaomba ufafanuzi

    Mbatia katika hotuba yake ya mwisho wa mwaka alisikika akisema mpaka sasa Serkali ya awamu ya sita imeshakopa takriban Trillion 10 tokea iingie madarakani! Nauliza kwanini serikali haiji kutoa ufafanuzi wa kutosha badala yake kufunika funika mambo?. Mheshimiwa Spika Ndugai japo kaomba msamaha...
  15. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Awamu ya kwanza ya bandari ya Lamu yakamilika, mpaka sasa meli tisa zimeitumia

    Mambo yanakwenda kimya kimya.... Construction of the $400 million first phase of Kenya’s second commercial port in Lamu has been completed. The second and third berths were completed in December, paving the way for the government to float a tender to private companies to construct 20 more...
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Awamu ya 5 ilifikiria nini kukataza watu kumuombea Tundu Lissu?

    Wakati kina Askofu Mwingira wanafunguka,nami nimewaza kitu. 1. Hivi awamu ya tano ilifikiria nini kukataza watu wasimuombee Lissu uzima baada ya kupigwa risasi? Iliitishwa pia albadri kuombea mabaya wote waliompiga Lissu risasi,serikali ikapiga marufuku. Ilikuwa na interest gani na hayo maombi...
  17. nyboma

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya URAIS inadharaulika sana awamu hii ya sita

    Tukifuata itifaki ni kwamba pale unapomu address kiongozi mkuu wa nchi basi ni vyema kutanguliza maneno mfano “ Mh. Rais Mama Samia Suluhu Hassan” baada ya hapo inafuatiwa risala. Ama unapotoa risala ikakulazimu kumtaja Rais wa nchi basi ni vyema kuzingatia itifaki ya utambulisho kwa kum...
  18. vnn

    JamiiForums Tanzania Kama hii ni kweli, basi mikopo ya awamu ya tano ilikua ya ajabu sana, ukweli ndio unajulikana sasa

    Hiki ni kichekesho, inamaana hata reli yenyewe haijakamilika tayari mkopo wake umeshaanza kulipwa? hivi vitu walikua wanafanya wasomi au?
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Assessment ya Utawala wa Awamu ya 6 tangu Machi hadi leo Desemba 31, 2021. So far so good, hongera Samia!

    Utawala wa Awamu ya sita ulianza rasmi tarehe 17 mwezi machi mwaka 2021, Rais Samia alichukua kiti cha Uongozi baada ya kifo cha JPM. Katika miezi hii 9 na ushee Mama huyu alipochukua kiti cha Uongozi napenda kusema nimeridhika kwa namna ambayo analiongoza Taifa letu pendwa la Tanzania. Amepata...
  20. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila na Hujuma Kwa Serikali Ya Awamu ya Tano

    David Kafulila bila Shaka ni mtaalamu mkubwa wa hujuma. Alikuwa Chadema huko alishirikiana na kundi lake kulihujumu hicho chama. Baadaye alihamia NCCR Mageusi huko nako alihujumu kabla ya kutimkia CCCM. Akiwa CCM ametumika sana. Na katika hawamu ya 5 amepiga kila haina ya hujuma. Kwa sasa...
Back
Top Bottom