Vyombo vya umma vya kisheria na haki vimepunguza Kasi katika awamu hii, viongeze kasi

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,618
20,946
Binafsi naona kasi ikipungua kwa Kasi ya hali juu kwa mashauri ambayo kimsingi mashauri yake yapo wazi kabisa tena hayana complications za aina yoyote ikimaanisha pande mbili ambazo zinashindana katika mgogoro kutoona umuhimu wa kuendelea na shauri usika na kuona wayamalize kinyumbani hapa Huwa nashindwa kuelewa ugumu kwa mashauri yaliyo wazi husababishwa na nini?

Ipo haja ya viongozi wakuu kutupia macho juu ya delays za namna hii

NB: Maamuzi yakishakamilika katika suala Fulani uamuzi wake nifanye kwa haraka ili mashauri mengine nayo yaweze kupata nafasi ya kujadiliwa.
 
Back
Top Bottom