audio

  1. Mwl.RCT

    Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

    Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia. Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana. Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la...
  2. Komeo Lachuma

    Natafuta Audio Clip ya zaidi ya Dk 5 ambayo Rais Samia anazungumza Kiingereza

    Nitafurahi sana nikipata audio Clip ambayo itazidi dk 5 Rais wetu Mpendwa akichana mistari kwa kiingereza katika mahojiano au maelezo flani sehemu yoyote. Iwe imenyooka haijaungwa ungwa. Nitafurahi sana. Tuachane na haya madai ya watu kuwa yeye huwa mara nyingi anasoma tu. Tunataka kuwaonesha...
  3. C

    INAUZWA Modern Condenser Microphone for sale

    New Professional Microphone For recording Podcasts YouTube videos Video call & video conferencing Etc. Delivery : from Dar es salaam to all regions Offer: 99,000/- Call: + 255 658 700 510
  4. Mwl.RCT

    Audio: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu, amezungumza na waandishi wa habari leo, Januari 7, 2022

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Tundu Lissu leo, January 7, 2022 saa 4:00 asubuhi, saa za Afrika ya mashariki, amezungumza na waandishi wa habari. Chanzo: Chadema Media https://www.youtube.com/watch?v=WgIY7Q7w2uM =====
  5. The Palm Tree

    Video: Kesi ya F. A. Mbowe na wenzake, wakili aichambua hukumu ndogo ya Jaji M. Siyani...

    Jaji Mustapha Siyani katishwa akatishika na kuamua kuisigina haki hadharani mchana kweupe.... Amejitoa kuisikiliza kesi hii kwa maumivu makali katika nafsi yake kwa kuisigina haki mchana kweupe akidhani kwa kuwa yeye ni JAJI, wengine wote ni "wajinga" hatutaona upuuzi wake. Amekosea sana...
  6. Baraka21

    Singasung TV ikipasuka Screen inaweza kuplay USB/Flash nyimbo za audio?

    Wakuu kaTV kangu ka SingSung inch 24 imevunjika kioo. Nimeogonga kwa bahati mbaya. Nauliza TV ikipasuka kioo inaweza kupiga nyimbo kwa USB/flash ya kawaida. Yaani nina uhakika kila kitu kizima kasoro kioo tu ndio kimevunjika. Sasa kama inaweza kuplay USB nitumie njia gani maana kioo hakisomi...
  7. C

    INAUZWA Microphone for live streaming, video / Audio conferencing, podcasting, etc

    Microphone for live streaming, video / Audio conferencing, podcasting, etc New condenser microphone Noise/ echo cancellation YouTube, Skype, zoom meetings, podcast, etc Just plug & play OFFER: 99,000 /- COD: Dar es Salaam/Kibaha but we can ship to all regions. Call: +255 658 700 510
  8. barcelonista

    Audio Battle

    Muwe na Ijumaa Njema wadau... Audio Battle. ......Tukutane hapa kidogo... Hizi ni ngoma ambazo zilifanya vizuri saana,saana...Miaka kadhaa iliyopita.. Ukiambiwa uchague moja unadhani ipi ilikuwa kali zaidi kwa upande wako.. Mgwair ft Dark Master__She Got Ngwan. Vs T.I.D ft Jay...
  9. Mwl.RCT

    Harmonize - Teacher (Official Audio)

    Ingizo jipya kwenye burudani
  10. kayanda01

    AUDIO: Hili ni tatizo gani kwenye engine?

    Toyota IST ncp61. Huo mlio wa kugonga gonga kwenye engine unasikika baada ya engine kupata joto (warm up). Yaani unapowasha gari hausikiki, ila baada ya muda fulani engine ikiwa imewaka au ukiendesha halafu ukapark at idle ndipo huo mlio unasikika. Gari ikiwa kwenye mwendo hausikiki. Nikisimama...
  11. Likwanda

    Msaada: Audio Drivers

    Habari wanajamii forums wenzangu hususani wa jukwaa hili la technologia!! Shida niloyonayo ni kushindwa kupata drivers za laptop aina ya Dell vostro 14 3000. Nimejaribu kuangalia ktk driver pack solutions sijaweza kufanikiwa na pia dell drivers online support nazo sijaweza kufanikiwa...
  12. Yericko Nyerere

    AUDIO, Uchambuzi; Siku 100 za Rais Mama Samia Suluhu

    Siku 100 za Rais Mama Samia Suluhu nimeziadhimisha kwakufanya uchambuzi kwa mahojiano ya Radio, Kuhusu Hali ya Kijamii, Kisiasa, Kiuchumi, na kuhusu vuguvugu la Katiba Mpya. Sikiliza mwanzo hadi mwisho!
  13. The Boldly

    Kuna mwenye Video au Audio za hotuba za Sokoine?

    Habari wakuu. Nauliza kama kuna mwenye video au audio ya sauti ya Marehemu Sokoine? Msaada kwa mwenye nazo....
  14. rosemarie

    Unabii wa Godbless Lema kwa Ole Sabaya umetimia?

    Lema: Acha kujipendekeza kwa kiwango cha kuumiza watu. Amri uliyopewa ya kucontrol Polisi na Bunduki, kuwa mstaarabu. Magufuli sio Mungu, haya unayofanya kuna siku you will pay. Acha mambo ya Kishamba, acha ulimbukeni. Acha kuumiza watu kwa Silaha, acha mambo ya kutekatwka watu kuchukua hela kwa...
  15. Yericko Nyerere

    Audio: Mahojiano yangu ya Radio Inland, Dunia yetu, Matarajio ya hotuba ya Rais kesho

    Mahojiano yangu ya Radio Inland, Idhaa ya Kiswahili kuhusu Hotuba ya Rais Kesho na matarajio. Na Yericko Nyerere
  16. SEASON 5

    Kuna uwezekano wa kurekodi video kwenye simu huku Audio ikiendelea ku play in background?

    Naombeni msaada ndugu zangu,natumia samsung s6 edge plus,tatizo nililo nalo ni wakati wa kirekodi video huwa natamani audio iwe ina play lakini matokeo yake nikiplay audio Nikigusa video record Ile audio ina acha kuendelea kuimba. Hii inanifanya nashndwa kucheza huku nikijirekodi,nataka...
  17. D

    Toyota IST... ikiwa kwenye silencer, unasikika mlio wa 'kugonga

    Wataalaamu wa magari, Sikiliza audio ya silencer kama nilivyoirekodi kwenye engine ya Toyota IST. Kuna mlio wa 'kugonga' hivi kwenye engine. Asubuhi napowasha gari hamna shida, silencer inakuwa normal and smooth. Lakini jioni au usiku naposimama na kuweka 'P', silencer inakuwa inasikika hivyo...
  18. Nafaka

    Watalaam wa audio recording na sound engineers, je huu mziki umerekodiwa kwa vyombo live?

    Eti huu wimbo, unaweza kuwa umerekodiwa wakati wa kuteneneza video? Yani hii video na audi vimefanyika wakati mmoja, vyombo vikipigwa live kama inavyoonekana. Au ni kwamba wamerekodi video wakaimba ila audio ikawa replaced na audio waliosharekodi kwenye studio. Napenda huyo mpiga drum...
  19. John abruzzi

    New music audio Zuchu ft Diamond Platnumz

    Available in all digital platforms isikilize halafu leta maoni yako hapa Personally nimependa sana ubunifu wa Diamond platnumz kutumia current situation pale anasema "Tena wasipoteze muda kwa kura zao za kata,mi ndo kamati kuu hapa jimbo umepata." All in all nyimbo ni nzuri
  20. N

    Namna ya ku-download (kupakua) Audio kutoka AudioMack

    Naomba msaada namna ya kupakua/Kudownload audio kutoka Audiomack to MP3 file tofauti na IDM.
Back
Top Bottom