Kuna mwenye Video au Audio za hotuba za Sokoine?

The Boldly

JF-Expert Member
May 21, 2017
2,377
5,147
Habari wakuu.

Nauliza kama kuna mwenye video au audio ya sauti ya Marehemu Sokoine?

Msaada kwa mwenye nazo....
 
Bosi wake nani??

Nyerere?
Alikufa masikini yule mzee na kwa Mungu analo la kujibu. Huwezi kukaa mtop miaka yote ile unaacha familia katika hali ya kushangaza kiasi kile aseee!

Hivi ni kweli watoto wake ni wa kuonewa huruma kiasi cha kupewa tuvyeo kama hivi!?

Kuna tofauti kubwa kati ya kuhubiri maneno ya Mungu na kukamata Dola. Nitajie mtoto mmoja tu wa viongozi waliofuatia baada yake ambaye anaishi kwa kudunduliza kama mimi ambaye sina hata walau binamu tu huko juu! Hakuna

Yule mzee angehubiri neno la Mungu angefaulu kwa kiwango Cha juu sana
 
Kwahiyo ulitaka aibe au??

Hao watoto watafute vyao...🤣🤣
 
Alikufa masikini yule mzee na kwa Mungu analo la kujibu. Huwezi kukaa mtop miaka yote ile unaacha familia katika hali ya kushangaza kiasi kile aseee!

Hivi ni kweli watoto wake ni wa kuonewa huruma kiasi cha kupewa tuvyeo kama hivi!?

Kuna tofauti kubwa kati ya kuhubiri maneno ya Mungu na kukamata Dola. Nitajie mtoto mmoja tu wa viongozi waliofuatia baada yake ambaye anaishi kwa kudunduliza kama mimi ambaye sina hata walau binamu tu huko juu! Hakuna

Yule mzee angehubiri neno la Mungu angefaulu kwa kiwango Cha juu sana
Kiongozi kama huyu hawezi kuiletea nchi maendeleo, ukipenda kuishi kinyonge nyonge, kimasikini maskini huwezi kuendea maana every time uko kwenye confortable zone

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Yani nilitaka kusema hivyohivyo. Jamaa alikuwa very unreasonable, aliamini kwenye mambo ya ujamaa sana alikuwa hatoi nafasi ya kumsikiliza mtu Yani akikutuhumu ujue umekwisha. Matajiri wakipata shida sana. Nae ndio maana alikuwa mapema sana.
Aisee
 
Yani nilitaka kusema hivyohivyo. Jamaa alikuwa very unreasonable, aliamini kwenye mambo ya ujamaa sana alikuwa hatoi nafasi ya kumsikiliza mtu Yani akikutuhumu ujue umekwisha. Matajiri walipata shida sana. Nae ndio maana alikufa mapema sana.
Alikufa mapema kwa sababu majizi walimuua.

Wale baba zenu majizi wa kipindi kile ndio hasa waliomuua.
 
TBC wanazo wamezifungia kwenye maktaba yao sijui kwa manufaa ya nani badala waziweke public
TBC na TFC

Hata hotuba nyingi za Mwl Nyerere zimewekwa Youtube na waandishi wa habari wa nje ya nchi, wakati vyombo vyetu vikiwa vimezifungia nami huwa najiuliza swali kama hilo, kuna haja gani kujaza stores na vitu visivyo wanufaisha watanzania, inasemekana kuna video za Mzee Kawawa pia alipokuwa mwigizaji nazo wamezifungia sijui ni ufinyu wa mawazo au roho mbaya hata haieleweki
 
Alikufa masikini yule mzee na kwa Mungu analo la kujibu. Huwezi kukaa mtop miaka yote ile unaacha familia katika hali ya kushangaza kiasi kile aseee!

Hivi ni kweli watoto wake ni wa kuonewa huruma kiasi cha kupewa tuvyeo kama hivi!?

Kuna tofauti kubwa kati ya kuhubiri maneno ya Mungu na kukamata Dola. Nitajie mtoto mmoja tu wa viongozi waliofuatia baada yake ambaye anaishi kwa kudunduliza kama mimi ambaye sina hata walau binamu tu huko juu! Hakuna

Yule mzee angehubiri neno la Mungu angefaulu kwa kiwango Cha juu sana
Unaujua vizuri wakati wa mwalimu!?? Nilishamuona mbunge mmoja aliyekuwa mbunge nyakati za mwalimu sikuamini!??
 
Back
Top Bottom