auawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Ecuador: Mgombea Urais auawa kwa kupigwa risasi

    Fernando Villavicencio ameshambuliwa wakati akitoka kwenye mkutano wa kampeni wa uchaguzi ujao wa Rais katika Mji wa Kaskazini wa Quito. Mwanasiasa huyo ambaye pia ni Mbunge baada ya kuhitimisha kampeni akiwa anelekea kupanda gari ndipo Mwanaume akajitokeza na kumpiga risasi tatu kichwani...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Urusi auawa Bakhmut, aisei huo mji unaendelea kuwatokea Warusi puani

    Yaani mpaka unamfikia kumuua kamanda utakua umefagia wanajeshi kama senene...jameni Urusi nani atawaokoa... Enzi za kunyang'anyana ardhi ziliisha, hatupo kwenye zama za kale ambapo mvamizi alikua anavamia na kujimegea, leo hii ramani zilishachorwa na kila mtu anaijua nchi yake na mipaka yake...
  3. B

    JamiiForums Tanzania SINGIDA: Auawa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu shambani

    MKAZI wa Kijiji Cha Merya Tarafa ya Ilongero wilayani Singida, Innocent Dube (49), ameuawa kwa kuchomwa kisu mgongoni baada ya kukutwa akifanya ngono na mke wa mtu shambani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Stella Mutabihirwa, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo wakati akizungumza na...
  4. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linachunguza kifo cha mtu mmoja aliyekutwa ameuawa ndani ya gari

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetangaza kuwa linachunguza tukio la kifo cha mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Felix Josephat Mgeni (47) anayedaiwa kuuawa na mwili wake kukutwa ndani ya gari ukiwa na baadhi ya vitu vingine vya jinsia ya kike. Akizungumza leo SACP Jumanne...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Jenerali wa Urusi auawa kwa shambulizi la kombora la Ukraine

    Haya makombora ya "Storm Shadow" ni habari nyingine. A high-ranking Russian general has been killed in Ukraine’s Zaporizhzhia in an airstrike carried out using British-supplied Storm Shadow missiles, according to multiple reports from both sides. Lieutenant General Oleg Tsokov was among the...
  6. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtu mmoja auawa, Raila atangaza maandamano ya kuingia Nairobi Julai 12, 2023

    Chama cha Azimio La Umoja One Kenya Coalition Party kimetangaza kuwa kitaendelea na maandamano ya kupinga serikali nchini kote Jumatano wiki ijayo, kikiahidi kuzidisha maonyesho kutokana na kile kilichoshuhudiwa Ijumaa wakati wa Siku ya Saba Saba. Viongozi hao washirika wa upinzani wakiongozwa...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Muuguzi KCMC auawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali uchochoroni

    Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma za kusababisha kifo cha Muuguzi wa hospitali ya KCMC Moshi Khudheifa Changa (26) Akitoa taarifaa hiyo kwa vyombo vya habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro ACP Simoni Maigwa amesema kuwa walio kamatwa ni...
  8. Nyendo

    JamiiForums Tanzania TANZIA ERICK ADAMU (Nezo B-Msanii wa Bongo Fleva) Auawa kisa kudaiwa pesa ya umeme (LUKU)

    Mwanamke anayefahamika kwa jina la Blandinda Fredi Mkazi wa Kijiji cha Ilkrevi Kata ya Olturoto Wilayani Arumeru Mkoani Arusha anatuhumiwa kumuua Erick Adam ambaye ni Msanii wa Bongofleva na Mfanyakazi wa kiwanda cha mikate chanzo kikidaiwa kuwa ni kudaiana pesa ya LUKU (umeme). Mashuhuda wa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Meja Jenerali wa Kirusi auawa huko Ukraine

    Meja General wa Kirusi kauawa huko Zaporizhzhia baada ya sehemu alipokuwa kupigwa Mzinga. =========== Russian media reported on Monday that a Ukrainian missile strike on the southern Zaporizhzhia front killed an experienced Russian general. “As a result of an enemy missile attack, the Chief...
  10. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Mpelelezi kesi Thabo Bester auawa

    Huko Afrika Kusini. Mpelelezi wa Kesi ya Thabo Bester ashapewa chuma na wahuni (wasiojulikana). Hii kesi itaisha kimafia. Na hakuna atakayefungwa bali vifo kadhaa vitatokea. Huyo Bester ni suala la muda nae atang'ata shuka huko huko jela (safari hii ataondoka kweli)
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Auawa na Wanafamilia akidai Tsh. 6500/-

    MKAZI wa Mtaa wa Nyakabungo, Nyamagana mkoani Mwanza, Peter Domini, ameuawa kwa kushambuliwa na kupigwa na kitu chenye ncha kali wakati alipokwenda kwa jirani yake kudai Sh. 6,500. MKAZI wa Mtaa wa Nyakabungo, Nyamagana mkoani Mwanza, Peter Domini, ameuawa kwa kushambuliwa na kupigwa na kitu...
  12. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mwanamuziki maarufu auawa katika vita Sudan

    Shaden Gardood (37) ameuawa wakati mpigano ya kugombea madaraka yakiendelea kati ya vikosi vya Jeshi la Sudan dhidi ya Rapid Support Forces (RSF) katika Mji wa Omdurman, ikiwa ni siku moja baada ya pande hizo zinazopigana kuafikiana kupunguza mapigano. Gardood alikuwa mmoja wa watu maarufu...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mwanahabari auawa na wasiojulikana Cameroon

    Mtangazaji na Mwandishi maarufu wa Habari za Michezo nchini Cameroon Anye Nde Nsoh, ameuawa katika mji wa Bamenda uliopo Kaskazini Magharibi mwa nchi. Ripoti zinasema kuwa Nsoh alikuwa kwenye baa alipovamiwa na watu wasiojulikana na kushambuliwa kwa risasi. Kwa miaka mingi sasa Bamenda imekuwa...
  14. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maandamano Kenya: Mmoja auawa kwa kupigwa risasi

    Imeelezwa tukio limetokea Mjini Kisumu wakati wa maandamano ya kupinga Serikali yanayofanyika kwa mara ya pili yakiratibiwa na Umoja wa Azimio. Imeelezwa kumetokea vurugu kati ya Polisi na umati wa watu uliokuwa ukishiriki maandamano, Askari walitumia mabomu ya machozi lakini waandamanaji...
  15. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Senegal: Mmoja auawa katika maandamano ya kuipinga Serikali

    Tukio hilo limetokea Machi 20, 2023 Kusini mwa Senegal wakati wa vurugu zilizohusisha Wanausalama na waandamanaji wanaomuunga mkono Kiongozi wa upinzani, Ousmane Sonko. Imeelezwa kijana aliyefariki alipigwa risasi katika Mji wa Bignona wakati waandamanaji wakipinga Sonko kushtakiwa kwa tuhuma...
  16. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwalimu auawa na Mwalimu mwenzake shuleni

    GEITA. Kuna tukio la mauaji limetokea Mkoa wa Geita Wilaya ya Geita. Mwalimu Emmanuel Peter Chacha wa shule ya msingi Igaka iliyoko halmashauri ya Wilaya ya Geita ameuawa Leo March 15 Kwa kuchomwa kisu na mwalimu mwenzake. Marehemu alichomwa kisu wakati akielekea darasani kufundisha...
  17. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Auawa wakati akiamulia ugomvi wa wanandoa

    Kenya. Jumatatu ya Machi 13, majira ya jioni ni siku ambayo Dan Ouma aliaga dunia baada ya kuamua kuingilia ugomvi kwa kusudi la kuwatenganisha wa wanandoa ambao mume alikuwa akipigwa na mke wake, tovuti ya Tuko imeripoti tukio hilo. Matokeo yake Ouma mwenye umri wa miaka 24, alipigwa na kitu...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Mhasibu wa Benki atekwa, achomwa petroli porini

    Gazeti la kila siku la Nipashe la leo limekuja na habari nzito inayoelezea namna ya mhasibu mkuu wa bank moja hapa nchini alivyotekwa na watu wasiojulikana kupigwa ,kuteswa kisha kuchomwa moto kwa petrol porini. ========= JESHI la Polisi mkoani Pwani limesema mhasibu wa benki ya BOA tawi la...
  19. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Gavana wa Taliban auawa katika ofisi yake

    TalibanCopyright: Taliban Gavana wa Taliban Muzamili aliuawa katika ofisi yakeImage caption: Gavana wa Taliban Muzamili aliuawa katika ofisi yake Gavana wa Taliban wa jimbo la Balkh kaskazini mwa Afghanistan ameuawa katika shambulio la kujitoa mhanga linalodaiwa na kundi la Islamic State (IS)...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi auawa madai kuiba duka la M-Pesa

    MWANAFUNZI wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya Kutwa ya Ndugu, Mbozi mkoani Songwe, Daud Simkoko (17), ameuawa kwa kipigo kisha kuchomwa moto na wananchi kwa tuhuma za wizi katika duka la huduma za kifedha. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Rashid Ngonyani, amethibitisha...
Back
Top Bottom