auawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ileje: Binti Mjamzito auawa kwa kuchomwa Kisu na Mwili wake kuchomwa Moto

    MWANAMKE mmoja mkazi wa kijiji cha Ilanga kata ya Mlale wilayani Ileje mkoani Songwe, Subira Kibona(16) amefariki dunia baada ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali mgongoni kisha mwili wake kuchomwa moto na anayesadikika kuwa mume wake, Shukrani Kamwela (16) kabla ya kutupa mabaki ya mwili huo...
  2. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Kijana mkoani Kilimanjaro auawa kwa panga kwa madai ya kutaka kushiriki tendo la ndoa na mke wa mtu

    Mkazi wa kijiji cha Kibaoni wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro, Juvenal Claudi (20) ameuawa kwa kukatwa katwa na mapanga baada ya kufumaniwa akitaka kufanya mapenzi na na mke wa mtu. Taarifa zinadai kuwa kijana huyo aliyeuawa alikuwa akichati na mke wa mtu ambapo baadaye mume wa mwanamke huyo...
  3. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya kumpumzisha aliyekatwa shingo na "wasiojulikana"

    Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema. Ikumbukwe kuwa kuna uzi uliletwa humu juzi kuwa Moshi, Kilimanjaro kata ya Mwika Uuwo kuna mama alikatwa shingo hadi kufa na watu wasiojulikana na jeshi la polisi mkoa wa Kilimanjaro akasema chanzo cha kifo ni wivu wa kimapenzi basi leo ndio...
  4. mshale21

    JamiiForums Tanzania Moshi, Kilimanjaro: Mwanamke auawa kwa kuchinjwa, Polisi yasema kuna viashiria vya visasi

    Moshi. Elice Matafu, Mkazi wa Kijiji cha Mrimbo Uuwo, Kata ya Mwika Kaskazini, Wilaya ya Moshi ameuawa kwa kukatwa shingo na watu wasiojulikana nyumbani kwake. Mwanamke huyo ameuawa usiku wa saa 2 akiwa nyumbani kwake. Kamanda wa Polisi Mkoani Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kuuawa kwa...
  5. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Arusha: Polisi auawa kwa panga akijaribu kumkamata mwizi usiku nyumbani kwake

    Askari polisi katika kituo kidogo Cha polisi Mbughuni wilayani Arumeru, Mkoani hapa, ameuawa kwa kukatwa na panga kichwani wakati akijaribu kumkamata mtuhumiwa.wa wizi. Tukio hilo limetokea Jana majira ya saa tano usiku katika Kijiji Cha Makiba wakati Askari huyo( jina linahifadhiwa) alipoenda...
Back
Top Bottom