auawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda UGANDA: Waziri wa Kazi apigwa Risasi na Mlinzi wake

    Waziri wa Nchi, Kazi, Ajira na Mahusiano ya Viwanda, Kanali Mstaafu Charles Okello Engola ameuawa kwa kupigwa risasi asubuhi ya Mei 2, 2023 na mlinzi wake akiwa nyumbani kwake Kyanja, Kampala Mlinzi huyo baadaye alifyatua risasi kadhaa hewani kabla ya kujiua Sababu ya mauaji hayo bado...
  2. EricMan

    JamiiForums Tanzania Hawa viumbe wanakera sana

    Hivi wanakukera na wewe huko kiasi gani
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Diwani wa CCM Kiziguzigu auawa kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali Kigoma

    Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Kiziguzigu Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma Mwl. Martin Runaku Mpemba, amefariki usiku wa Aprili 3 katika Kijiji cha Kibingo Kata ya Kiziguzigu, baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana. Katibu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Kigoma, Christopher Palangyo...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mtoto mwenye umri wa miaka 5 auawa kwa kuchinjwa Kimara

    Mtoto Elvila Eliudi mwenye umri wa miaka mitano, amefariki dunia baada ya kuchinjwa na mtoto wa mmoja wa wapangaji waliokuwa wakiishi nyumba moja Temboni Kimara Dar es Salaam. Video: ITV Digital
  5. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Hamas auawa na Israel

    Msemaji wa kundi la wanamgambo la Hamas Abdel-Latif Al-Qanoua ameuawa katika shambulio la anga la Israel kaskazini mwa Gaza. Taarifa hizo zimeripotiwa na vyombo vya habari vyenye mafungamano na Hamas mapema leo, akiwa ni kiongozi wa juu kuuawa hivi karibuni tangu Israel ianzishe tena operesheni...
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa usalama wa Houthi auawa kwenye mashambulizi yanayofanywa na Marekani

    Mkuuu wa usalama wa magaidi ya Houthi wenye mlengo wa uislamu ameuawa, huko alipo anafaidi yale mavitu huaminishana.... The chief of the Houthi leader's security detail was reportedly killed during a US strike on Houthi targets in Yemen, according to Israeli media, citing a Saudi report on...
  7. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania General wa FARDC Auawa huko Uvira

    Generali Andrew Ehonza enzi za uuhai wake. Picha iliyopelekea kifo chake. Baada ya kupiga picha na raia wa Minembwe alikokuwa kiongozi, miaka ya nyuma, kwa sasa picha hii imekuja kutafusiliwa kama usaliti, ndo kilichopelekea kuuwawa na kundi la wazalendo.
  8. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Mwanakwaya auawa kikatili kwa kucharangwa na vitu vyenye ncha kali

    Mwanakwaya wa Kanisa Katoliki Parokia ya Buhangija, Manispaa ya Shinyanga, Agatha Nyahuma (32), mkazi wa Bugayambelele, Kata ya Kizumbi, amefariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana waliomtaka kwa vitu vyenye ncha kali katika maeneo ya mabega, mgongoni na mkono wa kulia. Kaimu...
  9. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Auawa akidaiwa kuiba simu aina ya TECNO POP2

    JESHI La Polisi Mkoa Wa Songwe Linaendelea Kuchunguza Kifo Cha Elvis Pemba ,20, Ambaye Ni Mkulima Na Mkazi Wa Maporomoko, Tunduma, Aliyeuawa Baada Ya Kushambuliwa Na Wananchi Waliomshutumu Kwa Wizi Wa Simu. Akizungumza Na Waandishi Wa Habari, Kamanda Wa Polisi Mkoa Wa Songwe, Augustino Senga...
  10. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Sweden: Aliyechoma moto Quran auawa kwa kupigwa risasi

    Amani kwenu wakuu Watu wameona kuendelea kumwachia MUNGU haiwezekan wameamua watende wenyewe, maana wameona MUNGU mwenyewe hampi ukichaa yule jamaa aliye choma Quran bali anazidi kudunda na kunenepa kila siku ================== Mwanaharakati anayeupinga Uislamu Salwan Momika amepigwa risasi na...
  11. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Mtu auawa kijijini Kenya kwa tuhuma ya kumtaka mke wa mwingine.

    Hizi habari za siku sita zilizopita. Imetokea Mfukoni location,sub section Kinoru. Huyu mtu Musanga amemkata shingo Bwana Muthomi kwa kuthubutu kumfuata mke wake Linat Karemi. Amemkata shingo mpaka kichwa kikawa kinaning'inia tu. Sasa,I don't want to discuss the adultery. I just want to discuss...
  12. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mtu mmoja auawa kwa kukatwa na panga wakigombea goli lilokataliwa uwanjani

    Anyulise Mwamkisu (49) ameuawa kwa kukatwa na mapanga, katika uwanja wa mpira wa miguu wa Kijiji cha Mofwile Halmashauri ya Wilaya ya Kyela, Mkoa wa Mbeya, kulikokuwa na Ligi ya mpira kati ya Nyuki FC na Mofwile FC na kuibuka kwa vurugu baada ya timu moja kushinda goli na kukataliwa, hali...
  13. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Mtendaji wa Kijiji auawa na kuchomwa moto porini. Makamu wa Rais atoa salamu ya shilingi ml 5 Kwa familia

    Serikali imesema baadhi ya watuhumiwa wanaodaiwa kumuua Afisa Mtendaji wa kijiji cha Nyahua wilayani Sikonge, Said Maduka kisha mwili wake kuuchoma moto na kuutelekeza porini, watafikishwa mahakamani wakati wowote kuanzia sasa baada ya uchunguzi wa kisayansi kukamilika. Mkuu wa Mkoa wa Tabora...
  14. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Mwanamke auawa kwa kukatwa na Panga, akatwa titi, akatwa sehemu za Siri.

    Wana Jamvi nimeskia kwamba kule Tabora, Watu watatu wameuawa na kisha kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali wakituhumiwa kumuua Sagali masanja kwa kumkatakata na panga kisha kumkata titi la kushoto pamoja na sehemu za siri na kuondoka nazo tukio lililotokea kijiji cha Mahene Wilaya ya...
  15. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Kikongwe miaka 72 auawa na mkwe wake Moshi,mwingine ajinyonga kwa msongo wa mawazo

    Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Deogratius Evarist Mbuya(40) mkazi wa Legho Kilema wilaya ya Moshi kwa tuhuma za kumuua Baba mkwe wake, Tibrus Camil Mneney(72). Mbali na mauaji hayo,mtuhumiwa pia anadaiwa kumjeruhi mama mkwe wake, Beritha Tibrus Mneney (58)ambaye amelazwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Iringa: Katibu wa CCM Kilolo avamiwa na kuuawa na Watu wasiojulikana

    Watu Wasiojulikana Wanadaiwa wamemvamia aliyekuwa Katibu wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa, Christina Kibiki na kumuua kwa kumpiga risasi. Taarifa ambayo Matukio Daima Media tumeipata inadai kuwa watu hao Wasiojulikana wamefanya uvamizi huo usiku wa kuamkia leo Novemba...
  17. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mazen Ahmad Mkuu wa Police wa Hamas, Auawa na Majeshi ya Israel

    Ninayo huzuni kutangaza kifo cha Mazen Ahmad ambaye ni Mkuu wa Polisi wa Hamas. Mina la faadhina Rajuun. Tumwombee asipunjwe thwawabu zake peponi. Amina. Webabu Ritz FaizaFoxy Adiosamigo na kimsboy
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Manyara: Watanzania tumefikia hatua ya kuwa Wanyama, Mhasibu wa vikoba auawa kisa laki 4

    Mtu Mmoja aliyefahamika Kwa jina la Yona Andrea (47) Mkazi wa kijiji cha loltepesi kata ya Sunya wilayani kiteto Mkoani Manyara, ameuwawa Kwa kupigwa na kitu kizito na watu wasiojulikana huku mkewe Catherine Andrea (45) akijeruhiwa mara baada ya kuvamiwa katika nyumba yao. Tukio hilo limetokea...
  19. Bams

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Hezbollah, Muhammad Naim auawa

    Muhammad Kamel Naim, kamanda wa kikosi maalum cha Radwan cha jeshi la Hezibollah, kikosi maalum cha makombora ameuawa kwenye shambulio la Israel kusini mwa Lebanon. Pia Israel imefanya shambulio jingine, kwa mara ya kwanza kaskazini mwa Lebanon na kuua watu 22. Haijajulikana bado kama hao 22...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Ndege za jeshi la Israel lashambulia jirani na ubalozi wa Iran Damascus Syria, naibu kamanda kikosi cha Jeshi Quds la iran auawa

    Wadau hamjamboni nyote? Jeshi la Israel limefanya shambulizi Jirani na ubalozi wa Iran uliopo Damascus Syria na kumuua Jenerali Mohammad Reza Fallahzadeh ambaye ni naibu kamanda kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran Shambulizi hilo lililotokea katika wilaya ya Mezzah huko Damascus, lilisababisha...
Back
Top Bottom